Huyu ni stig bergling afisa police na pia afisa wa usalama wa taifa wa sweeden aliyekuwa anafanya ujasusi kwa niaba ya KGB 1973. Alikamatwa na kusekwa ndaniView attachment 2603779
Mchepuko wa Oleg, bibiye Leila aliyeva mfanyakazi wa WHO (walikuja kuoana baadaye kama mke wa pili).
View attachment 2603782
Kwenye hij picha wa kwanza kushoto ni Bwana arne treholt mwanasiasa mwenye ushawishi kwenye chama Cha Norwegian labour party akiwa na balozi wa urusi wakati huo bwana Gennadi titov katikati pamoja na bodyguard wake wakienda kwenye mkahawa mmoja kupata Cha mchana mitaa ya Oslo Norway. Alikuwa kwenye payroll ya KGB akiuzia urusi intelligence informations.
View attachment 2603786
Hapa ni mwanamama Gunvor galtung haavik katibu wa wizara ya mambo ya nje ya Norway aliyekuwa anaiuzia KGB info za kiintelijensia akiwa Yuko chini ya ulinzi muda mfupi baada ya kukamatwa 1977.
Nina stori nyingi sana ila am not a good story Teller.. hapa na practice if I'm good enough at storytelling [emoji28][emoji28].ila shukrani kwa appreciation.Thanks kwa uzi murua,
I must emphasize that I have been following this thread closely not because of the story but because of your unique way if narrating it, Which is kinda hard to get in JF this day
I must say that i wish you prosperity and happiness in finishing this thread
Your truly fan
Beberu [emoji4]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Oleg ni zaidi ya Yuda iskariote, hafu haya mambo waweza tumika ukijifanya mwamba mwisho wa siku lazima siku igundulike tu15
Ndugu Oleg aliendelea kuwatonya M16 pia hata majirani wa Denmark kama Sweden na Norway , kulikuwa na mapandikizi ya KGB kwenye nchi hizo.
Kwa mfano aliwatonya kwamba Gunvor galtung haavik codename GRETA mwanamama aliyekuwa mfanyakazi wa wizara ya mambo ya nje ya Norway ambaye alikuwa ni nesi ,alikuwa kwenye payroll ya KGB,akiwafanyia kazi kwa takribani miaka 30. Alikuwa anawavujishia KGB taarifa za kutosha kipindi hicho na alikuwa analipwa pesa ndefu sana kwa wakati huo. Na mpaka huyu mwanamama kujikuta anawafanyia kazi KGB ni kwamba kipindi Cha vita ya pili ya dunia wakati huo Norway ikiwa chini ya Nazi ,alikuwa anafanya kazi hospitali Moja iliyokuwa inawahudumia wafungwa wa kivita hususan wa ki Russia na ndipo akawa anatoka kimapenzi na mfungwa mmoja aiyeitwa Vladimir kozlov . Alimsaidia kutoroka jela bwana kozlov Ilisadikika kozlov alikuwa ni agent wa KGB.Baada ya vita kwisha aliajiriwa na wizara ya mambo ya nje ya Sweden kwenda kufanya kazi huko Moscow ubalozini . Huko wakakutania Tena na mpenzi wake aliyemtorosha kwa Siri. Baadaye KGB wakagundua hili swala hivyo waka mu approach mwanamama huyu awafanyie kazi kwa sharti la kutovujishiwa mahusiano yake na kozlov na iwe skendo. Alikubali na kuanza kutoa taarifa za nchi yake kwa KGB za kutosha huku akiendelea kupata mshiko kutoka Moscow.
Mwingine aliyetajwa na Oleg ni mwanasiasa na celebrity machachari wa Norway aliyekuwa pia kwenye payroll ya KGB . Ambaye pia alikuwa anawania kuwa kiongozi mkubwa serikalini miaka ya 1960s.
Hizi taarifa alizotoa bwana Oleg kuhusiana na high profile figures wa Norway kutumiwa na KGB kulivutia attention kubwa kwa Mashirika ya kijasusi ya nchi za magharibi ikiwemo PET, M16 lakini Washirika wao wa Norway hawakutilia maanani. Lengo la haya mashirika kichukulia hizi taarifa kwa uzito ni kwamba Urusi kipindi hicho ilikuwa inatafuta ushawishi kwa nchi za Nordic ikiwemo Norway , Sweden , Denmark katika kuzifanya kuwa sehemu ya Soviet Ili urusi iweze kupata access ya bahari ya kaskazini katika kufanya military operations zake na kujilinda dhidi ya NATO . Na ikumbukwe nchi hizi karibu zote zilikuwa neutral kipindi Cha vita kuu ya pili ya dunia. Na pia haya mashirika maafisa wengi hawakuwahi kujua chanzo Cha hizi infos zote zinatolewa na nani au kutoka wapi maana ni maafisa kadhaa wa ngazi za juu waliopaswa kujua na walifahamu chanzo Cha hizi taarifa nyeti. Licha ya nchi ya Norway kutoonekana ikitilia mkazo wa hizi infos ,lakini walianza kuwatilia mashaka baadhi ya viongozi wake wa ngazi za juu serikalini.
Taarifa zote Oleg alizokuwa anazitoa M16 Walikuwa wanazi modify technically zisije kuoneka zimetoka kwa mtu Fulani au sehemu Fulani . Infos na baadhi ya Siri pia walikuwa wanamegewa shirika la ujasusi la CIA na washirika wao lakini kamwe hawakuambiwa kuhusu SUNBEAM (Oleg) hata kama walikuwa Wana mahusiano ya kikazi ya kubadilishana taarifa . Kulikuwa na sababu maalumu za kutoishirikisha CIA kuhusu Oleg.
Tukirudi upande wa urusi , . Wao waliamua kumbadilisha balozi wao hapo Denmark bwana mogilevchik na kumuweka bwana Mikhail lyubimov ambaye alikuwa ni rafiki wa Oleg wa muda mrefu. Oleg alimshirikisha rafiki yake huyu kuhusiana na ndoa yake inavyompelekesha na akawaza kumtaliki Yelena. Lakini lyubimov alimwambia asubiri ni mapema mno kutoa talaka akiwa nchi za watu. Na pia ingezua mashaka makubwa .
Kama kawaida utaratibu wakukutana na Hawkins kwa Siri kwenye safe house ukiendelea huku akiendelea kutema Siri nyingi za KGB kwa kachero wa M16. Siku hiyo wakiwa wamekutana ,bwana Hawkins alimwambia Oleg kwamba huenda naye akabadilishwa kazi muda wowote kwahiyo alimtambulisha kwa afisa Geoffrey guscott (nadhani huyu mnakumbuka, ). aliyeambatana naye muda huo akipose Kama msaidizi wa Hawkins (kiuhalisia alikuwa ndio boss wao,yeye pamoja na afisa bromhead ). Na ndio huyu bwana alikuwa anamtumia stanislav kaplan katika kumshawishi na kumpeleleza Oleg katika kuwafanyia kazi west. Uzuri wa guscott alikijua ki Russia hivyo haikuwa tabu ku match na Oleg at first sight.
Huyu bwana guscott alimpatia Oleg kamera ndogo za Siri (miniature camera) ,ambayo angetumia katika kupiga picha kwa baadhi ya ma file na documents hapo kwenye ofisi za ubalozi alikokuwa anafanya kazi . Lakini hii Oleg alikataa kutokana na uwezekano wa kukamatwa nayo na kwanza ilikuwa ni kifaa Cha made in England. Na pia taarifa nyingi za Siri hususan za urusi ziliwekwa mfumo wa Kanda kama za kaseti hivyo bwana Oleg alitaka apewe kifaa kidogo ambacho kingeweza kukopi taarifa kutoka kwenye Kanda hizo pasipo kuwa detected na kinachofaa kubebeka mfukoni. Wazo lake likafanyiwa kazi na bwana Guscott .Oleg akapewa hicho kifaa.
Taarifa nyingi bwana oleg aliziiba kwa mfumo huo na kumpatia Guscott naye guscott angezihifadhi kupitia diplomatic bag na kuzisafirisha Hadi uingereza kupitia sweeden. Na kadiri siku zilivyoenda ndivyo bwana Oleg alikuwa akiwavujishia na kuwapa taarifa nyeti na motomoto na za gharama sana. Na mwishowe Oleg Gordievsky alikubali kupokea pesa . Guscott alimwambia pesa zake atazipokea kupitia account ya Siri iliyofunguliwa huko sweeden.[emoji39][emoji39].
Bwana Oleg Sasa alikuwa ni WA thamani zaidi ya pesa kiasi kwamba alipokea barua personal ya shukran kutoka kwa chief wa M16 wa wakati huo Maurice Oldfield....barua hii ililetwa na bwana Guscott na baada ya Oleg kuisoma , guscott aliichukua. Haikupaswa kubaki na Oleg Kwa sababu za kiintelijensia. Naye Oleg alimwandikia barua kama kujibu.ambayo iliwekwa kwenye makumbusho ya M16 Hadi leo.ilisema hivi:
I must emphasize that my decision is not the results of irresponsibility or instability of character on my own part. It has been preceded by a long spiritual struggle and agonizing emotion,and an even deeper disappointment at developments in my own country and my own experiences have brought me to the belief that, democracy and the tolerance of humanity that follows it, represents the only road for my country, whi is European in spite of everything. The present regime is the antithesis of democracy to an extent which westerners can never fully grasp. If a man realizes this,he must show the courage of his convictions and do something himself to prevent slavery from encroaching further upon the realm of freedom.
Ndivyo barua yake ilivyotanabaisha.
Ni kwamba tukirudi kwa upande wa Norway , taarifa za kiintelijensia zilizokuwa zinatolewa na Oleg zilianza kufanyiwa kazi kuhusiana na viongozi wa serikali kuuza Siri za nchi kwa urusi
Ni kwamba huyu Gunvor haavik aliyepewa jina la GRETA na KGB.,kiongozi mkubwa tu wa serikali ya Norway alipanga kukutana na Aleksandr printsipalov ni mfanyakazi wa ubalozi wa urusi Norway . Hiyo ilikuwa ni 27 January mwaka 1977. na walipanga kukutana kwenye mtaa wa wenye Giza kidogo . Tayari huyu bwana Aleksandr aliwasili mapema kabla ya huyu mama. Baada ya kufika tu walijitokeza maafisa watatu waioweka mtego wa shirika la kijasusi la Norway na kuwabananisha. Na kweli kilitembezwa kichapo heavy hatimaye walifanikiwa kumdhibit huyu Aleksandr ,mwanamama alitulia tuli akatiwa pingu na hatimaye alifikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya uhaini . Alikufa kutokana na shambulio la ghafla la moyo miezi sita baadaye kabla ya kesi yake kuendelea kunguruma mahakamani.
Baada ya tukio hili balozi wa urusi nchini Norway bwana gennadi titov alifukuzwa nchini . Na ikawa kashfa kubwa sana kwenye magazeti wakati huo kwamba jasusi aliyekuwa anaitumikia urusi amekamatwa. Taarifa hizi zote Oleg alizipata. Na alitarajia huenda labda kungeitishwa kikao Cha dharura kuhusiana na Hilo tukio wao kama ubalozi lakini haikuwa hivyo .ila kwake ilikuwa ni kama wake up call kwamba muda wowote kuanzia Sasa KGB wangeamzisha msako wa msaliti MIONGONI MWAO.alikuwa sahihi
Kwenye ndoa ya Oleg ,Yelena alianza kuhisi mumewe ana mahusiano , kutokana na kubadilika tabia kwa mmewe, hususan excuse za hapa na pale , kuchelewa kutoka kazin n.k.lakini Oleg aliyakana na hakutaka hizi migogoro ndani ya ndoa yajulikane na maafisa wenzake . ingekuwa ni shida kubwa na kuleta matatizo mazito ,yafike ofisini kwa wakubwa ,hakutaka iwe hivyo .
Aisee nimekuja uko vizuri lazima upate wine tu
Nasikitika picha hazifunguki, na wasiwasi hata wanasiasa wa nchi hii huuza taarifa na wengine hutumika aisee in the name of haki sijui za kisiasa, ka huyo mwanamama katibu wa wizara anauza taarifa si hatari hiiView attachment 2603779
Mchepuko wa Oleg, bibiye Leila aliyeva mfanyakazi wa WHO (walikuja kuoana baadaye kama mke wa pili).
View attachment 2603782
Kwenye hij picha wa kwanza kushoto ni Bwana arne treholt mwanasiasa mwenye ushawishi kwenye chama Cha Norwegian labour party akiwa na balozi wa urusi wakati huo bwana Gennadi titov katikati pamoja na bodyguard wake wakienda kwenye mkahawa mmoja kupata Cha mchana mitaa ya Oslo Norway. Alikuwa kwenye payroll ya KGB akiuzia urusi intelligence informations.
View attachment 2603786
Hapa ni mwanamama Gunvor galtung haavik katibu wa wizara ya mambo ya nje ya Norway aliyekuwa anaiuzia KGB info za kiintelijensia akiwa Yuko chini ya ulinzi muda mfupi baada ya kukamatwa 1977.
Tumia browser usitumie appNasikitika picha hazifunguki, na wasiwasi hata wanasiasa wa nchi hii huuza taarifa na wengine hutumika aisee in the name of haki sijui za kisiasa, ka huyo mwanamama katibu wa wizara anauza taarifa si hatari hii
He is unique and good narrator using flashback loh.Thanks kwa uzi murua,
I must emphasize that I have been following this thread closely not because of the story but because of your unique way of narrating it, Which is kinda hard to get in JF these days
I must say that i wish you prosperity and happiness in finishing this thread
Your truly fan
Beberu [emoji4]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Exactly , mbele ya pesa kila mwanasiasa ana bei yake kabisa ananunulika.Nasikitika picha hazifunguki, na wasiwasi hata wanasiasa wa nchi hii huuza taarifa na wengine hutumika aisee in the name of haki sijui za kisiasa, ka huyo mwanamama katibu wa wizara anauza taarifa si hatari hii
Broswer ilishanidhinda siku mingi Wacha tu niteseke no optionTumia browser usitumie app
Kazi ipoExactly , mbele ya pesa kila mwanasiasa ana bei yake kabisa ananunulika.
14
Ni rasmi Sasa Oleg angekuwa mshirika wa karibu wa M16, kwa kuwafanyia kazi kwa kuwavujishia Siri . Lakini alimwambia bwana Hawkins atawafanyia kazi kwa masharti kadhaa.
La kwanza ni kwamba hakutaka majasusi atakaowataja waingie matatizoni, pili hakutaka kupigwa picha au kurekodiwa kwa Siri kwa namna yoyote ile na la mwisho hakuhitaji pesa yoyote au malipo ya namna yoyote ile.hizo ndizo condition zilizowekwa na bwana Oleg. Hizi standards alizoambiwa bwana Hawkins zilimpa wakati mgumu kidogo . Kwa mfano Hawkins alijiuliza kwanini huyu bwana anawalinda wenzake ,pili inakuwaje jasusi kama yeye anakataa malipo ya pesa . Maana pesa kwenye ulimwengu wa ujasusi ni kichocheo kizuri na motisha kwa jasusi na vilevile inampa thamani. Na swala la au kipengele Cha kutokupigwa picha hakikuwa kizito maana wangeweza kumpiga picha pasipo yeye kujua.
Kiuhalisia Oleg Gordievsky kutotaka majasusi wa nchi yake wasiingie matatizoni ni kwamba alikuwa anajilinda yeye mwenyewe , kwa maana kwa mfano ingetokea amewachomesha hao spies wa KGB kwa M16 au PET na kukamatwa au kufukuzwa kutoka Denmark ,ingeleta mtafaruku miongoni mwa KGB wakiamini huenda Kuna msaliti miongoni mwao kwa wao na ni kwamba lazima Oleg angehisiwa maana hao majasusi ikiwa wangekamatwa lazima wangehojiwa na kutaja washirika wenzao. Pili kukataa pesa kwa bwana Oleg , kwamba asilipwe ni kwamba hakutaka kuwa na pesa nyingi halafu aitumie extravagantly kiasi kwamba ikazusha suspicion kwa maboss wake mwisho wa siku ashtukiwe.
Ni kwamba bwana Hawkins haya masharti yote yaliyotolewa na Oleg aliyatuma kwa M16 huko London kupitiwa upya na Sasa rasmi ikawa kwamba bwana Oleg na Hawkins walitakiwa kukutana mara Moja au mbili kwa mwezi kwenye safe house iliyoandaliwa hapo jijini Copenhagen.
Kikao Cha kwanza Cha Hawa majasusi wawili kilianza na Oleg alianza kutema Siri kuhusiana na organizational structure ya KGB. Kila department na kiongozi wake ,namna ya kulipwa , promotion,mafunzo,n.k . Haya yote bwana Hawkins alikuwa Anayaandika kupitia wino maalumu wa Siri pamoja na kurekodi kila alilolizungumza bwana Oleg Kwa Siri pasipo yeye kujua. Ajabu ni kwamba licha ya Siri alizokuwa anatoa bwana Oleg , hakuwahi kumuuliza lolote Hawkins kuhusu M16. Hizi taarifa zilivyofika huko makao makuu uingereza ,ziliwavutia sana wakubwa wa kitengo kutokana na unyeti wa taarifa hizo kuhusu their rival KGB. Kumbuka Bwana Oleg alikuwa ni deputy ambassador,hivyo alikuwa na access ya taarifa nyeti na za Siri za KGB.
Oleg aliweza kutoa details za kutosha kuhusiana na idara aliyowahi kuifanyia kazi miaka kadhaa nyuma ya FCD , namna ya kupandikiza majasusi illegals sehemu mbalimbali duniani, operation za Siri kwenye nchi tofauti na malipo yanavyofanyika na kila methodologies zilizokuwa zinatumika.
Baada ya kukusanya taarifa zote hizi bwana Hawkins alizitafsiri kutoka kijerumani to kingereza Kisha kuzichakata na kuzihifadhi kwenye kaseti na kuzituma uingereza kwa kutumia diplomatic bag.
Diplomatic bag ni begi ambalo hutumika na maafisa wa ubalozini ambalo ukiwa nalo airport haliwezi kukaguliwa kilichopo ndani .
Hivi ndivyo taarifa hizo za Siri zilikuwa zinatumwa uingereza pasipo kugundulika.
Ni kwamba hata mkewe Yelena hakujua bwana ake Nini kinaendelea kwenye maisha yake. Na hili swala Oleg alimficha maana laiti mkewe angejua lazima angemrepoti mumewe na mwisho wa siku yawe mengine .wanasema kwamba " A spy has to deceive even his nearest and dearest" . Ndicho alichokifanya bwana Oleg..
Siku kadha Wa kadha katika harakati zake za kazi alikutana na mwanadada mrembo aliyeitwa Leila aliyeva , mpiga chapa wa shirika la WHO mjini Copenhagen ,mwenye asili ya nusu mrusi ,nusu mu Azerbaijan . walikutana hapo ubalozini kwenye hafla fupi ilifanyika na hapo ndipo walipo fahamiana. Kwa kifupi mwamba alimwelewa mrembo huyu mwenye miaka 28 wakipishana miaka 11 na Oleg. Huyu bibiye hakujua Oleg ni jasusi wa KGB. Kwa kuwa mkewe Yelena muda mwingi alikuwa home ,alijiachia kwa Siri na Leila pasipo kushtukiwa ,kwa maana angejulikana na wenzake anamhusiano na huyu mrembo mpya ingekuwa ni disaster.
Oleg alikuwa na mahusiano ya aina mbili . Yeye na Leila ,na pia yeye na M16. A coincidence.
Kwenye tukio Moja ,ni kwamba kijana mmoja ambaye ni jasusi wa PET katika pitapita zake mitaani kipindi Cha winter akiwa anaenda home mitaa ya ballerup ,aliona gari lenye namba za ubalozini (diplomatic number plates) limepaki pembezoni kidogo mwa mtaa. Akalisogelea kwa Siri na kugundua ni gari la ubalozi wa Soviet embassy. Akashangaa imekuwaje gari la ofisi za ubalozi wa urusi linafanya Nini usiku wa saa Moja Tena weekend. Akasogea Hadi karibu nalo na kuona hatua za viatu fresh vikielekea kwenye apartment Moja jirani na hapo umbali wa yadi 200 hivi. Akafuata nyayo zilizokuwa zinaelekea upper stair ya jengo hilo Hadi second floor. Kwenye Mlango jirani alisikia sauti baina ya watu wawili au zaidi wakiongea asitambue ni lugha gani ,ila ilikuja kujulikana ni kijerumani.alichukua note akaandika address ya hiyo nyumba pamoja na zile plate namba. Na baada ya wiki file likatua mezani kwa mkurugenzi wa PET bwana Jørn bruun. Ikasemekana kwamba Kuna afisa wa kisoviet ambaye ni suspect KGB officer alikutwa anazungumza kwa Siri kwenye apartment Moja hivi kijerumani na wenzake mazungumzo yasiyoeleweka. Report ikahitimisha kwamba Kuna suspicion hivyo ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo. Lakini bwana jørn bruun D.G. Mwenyewe akaamua kuizima hii report kimya kimya na Tena juu kwa juu. Huyu bwana bruun ,ni kwamba alikuwa anajua kinachoendelea kwa kuwa M16 Walimpa taarifa what's going on. Bwana Oleg alikuja kushtuka baadaye kusikia hizi taarifa baada ya kugundua ilibaki kidogo anaswe.
Siku baada ya siku bwana Oleg alianza kuwa point baadhi ya majasusi walioko hapo Denmark pamoja na viongozi wa serikalini walio na ushirikiano na urusi, ambao wapo kwenye payroll ya KGB .
Kwa mfano alimtaja bwana Gert Petersen askari police na pia ni afisa wa uhamiaji mwenye tamaa na mlafi wa pesa. Huyu alikuwa anawasaidia KGB kupitisha illegal ndani ya Denmark na nchi za Scandinavia ikiwemo Sweden.
Huu umekuwa ni ugonjwa sugu, mods lifanyieni kazi.Hili swala uongozi wa JF walifanyie kazi . Inakera Sasa kadiri siku zinavoenda
Kaka ukiwa na pesa hata Kama umezichimbia porini walimwengu watakujua tu, na ndicho alichokiogopa kwani zingemchomesha mapema.Oleg kinachomfanya atoe siri bure ni nini maana sio kuuza jamaa hataki pesa kabisa yani, mpaka wapewa taarifa hawajui wampe nini, taarifa zake ni za thamani zaidi ya pesa!!! Ajabu hii
Urusi ilimfanyia nini mwamba aisee,