Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Interesting.... msaliti ana maisha mafupi mno.

Shusha madini kamanda....
 
Duh!Mambo hayo.
 

Your browser is not able to display this video.

Nadhani bosi wetu wa zamani kauli kama hizi hazikua nzuri kwa wanausalama.
 
Ni Bromhead sio Guscott, aliekutana na Oleg rekebisha hapo
 
Htr
 
Mbona hata Rost Tamu nae rumors ni kwamba yupo kwenye payroll za langley.
Hear says tu hiz ingawa kwa vi nchi vya kipumbavu pumbavu kama hiv vya africa utawazuia nini CIA au Mossad kupata wanachokitaka??
Hao wakenya tu na waganda na wanyarwanda wana watu kibao walio kwenye payroll zao na wako kwenye post nyeti serikal yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…