Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

🤣🤣
.....
 
Sema sometimes haya maswala ya kijasusi na mambo ya kishirikina ni kama mtu na kaka yake yaani. Ni ulimwengu uliojaa mambo ambayo ni untold na yakija kutokea juu huwezi tegemea yanafanyika
Sawasawa...
 
Sema sometimes haya maswala ya kijasusi na mambo ya kishirikina ni kama mtu na kaka yake yaani. Ni ulimwengu uliojaa mambo ambayo ni untold na yakija kutokea juu huwezi tegemea yanafanyika
Hapo Kwa ushirikina yaweza kuwa kweli maana hapo ni vitani silaha yoyote tu inatumika
 
Huo ni uzembe wa mtu binafsi , unagombanaje na mkeo kwenye gari ,kama jasusi siunakausha TU
Majasusi wengi swala la mahusiano Huwa linawatesa sana na wapenzi wao huwapelekesha
 
Wanajifunza mengi..
Mengine si ya kawaida.
Yes waweza jifunza mengi Sasa yabidi yalete positive change sio ku cremisha tu madesa loh ni Kama vile samaki anayo mengi ya kusema ila maji yamejaa mdomoni hazungumzi
 
Ujamaa ilikuwa kero sana heri ujamaa wa Sasa hivi ka wa china, na huo ujamaa ndio ulileta hyo chuki
Ujamaa ulikuwa mzuri, ila uliangu(shwa)ka...pia uliambatana na udikteta ndipo shida ilipoanzia..
 
[emoji28][emoji28] na kilichoangusha hasa u dictator na viongozi kutotoa uhuru wa baadhi ya mambo lazima uzalishe kina Oleg wa Kila aina
Ila shida imebakia kwa wale waliokuwa wakiufata ujamaa nusunusu..huku Afrika.
Urusi na China wameweza kubadilika kujenga uchumi wao. Afrika bado tuko nyuma.
Wanaopewa nafasi wanaharibu tu...
 
Ila shida imebakia kwa wale waliokuwa wakiufata ujamaa nusunusu..huku Afrika.
Urusi na China wameweza kubadilika kujenga uchumi wao. Afrika bado tuko nyuma.
Wanaopewa nafasi wanaharibu tu...
Sasa nchi nyingi za Africa hazitaki kubadilika pia ujamaa unavi favor vyama tawala so wakibadilika wanahofia nafasi zao, china imechange na Ina power kubwa inayozitishia western countries, hata vita vya Russia na Ukraine ni all about power struggles na mambo ya uchumi sana sana, licha ya sanctions zote still Russia inahimili tu western sio wajinga kutumia Ukraine loh, but all in all nchi zetu za Africa zinitafakari way forward na wasiwe too conservative Kwa mifumo waliyoiga china na Russia ambao wame move on loh
 
Sawasawa 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…