Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Hatari
 
Kisen*ge
I wapi jamiiforum ninyoijua?

Moderator
 
Kutokana na watu kupenda heavy duty topics kama hizi za kiintelijensia,nadhani hii ikikamilika tutashusha nyingine HEAVY [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji108]. Matumaini yangu tutafurahia na kujifunza
 
Heavy duty zinaimarisha ubongo mada ka hizi tulizi miss sana JF. Naomba iendelee kutuletea hizi topic kama namuona buyobe akichabo Kwa mbali [emoji2][emoji2]
 
Kutokana na watu kupenda heavy duty topics kama hizi za kiintelijensia,nadhani hii ikikamilika tutashusha nyingine HEAVY [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji108]. Matumaini yangu tutafurahia na kujifunza
Ndo tumchane huyo boya buyobe ajifanye yake na hiyo
 
Itakua poa
 
Ndo tumchane huyo boya buyobe ajifanye yake na hiyo
Nakumbuka huyu buyobe Kuna mtu alipostig story yake humu JF alilalamika Kila corner na ku report Uzi ufungwe JF na kweli ukafutwa Sasa nashangaa yeye ku paste za watu wengine na kujichukulia ujiko, ila hata huko Twitter sikuhizi kumevamiwa na vilaza ka wa FB wanachotwa tu akili
 
Hii ndiyo maana ipo hivi ilivyo kwa sababu imejaa lundo la wajinga. Sasa wewe nini ulichoandika hapa ambacho hakijaandikwa na mwenye thread!? Kwa nn huwa mnapenda kujivua nguo kiasi hiki? Yaani lengo lako kila mtu akujue kama wewe ni mjinga au??
Alichoandika mwenye thread na mm, kuna mambo mengi ni tofauti sana.

Tulia kwanza unywe maji basi
 
Alichoandika mwenye thread na mm, Luna mambo mengi ni tofauti sana.

Tulia kwanza unywe maji basi

Fungua uzi wako mkuu kama ni tofauti na hii
Haikuwa na ulazima kutupa summary yako hata haieleweki
Anzisha yako tutaisoma tu ila sio juu ya uzi wa mwingine
 
Kutokana na watu kupenda heavy duty topics kama hizi za kiintelijensia,nadhani hii ikikamilika tutashusha nyingine HEAVY [emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji108]. Matumaini yangu tutafurahia na kujifunza
Nakuandalia 25000 kama tuzo ,tumechoka stori za mapenzi , kuachwa ,kufumaniwa ,nk mkuu fanya hiyohiyo KAZI ,tutakuandalia utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…