Ila ujasusi wa Sasa umejikita kiuchumi zaidi naona aisee
Blog yake inaitaje nijipinde huko piaYaani hii stori ukiisoma ukajaribu ku tune ubongo kwenye uhalisia ukija kusoma lile darasa la Jasusi Chahali wa Uskochi katika blog zake za ujasusi, podcasts na barua zake unaeza kuishi maisha amaizing Sana
Na nadhani hicho kitengo kingekuwepo hata ma ufisadi plus kuingizwa mikataba ya hovyo isingekuwepo kabisa nchini. But mifumo yetu Iko weak kutegemea hisani za wanasiasa, while ukisoma hi story Kuna baadhi ya scene waziri mkuu wa Uingereza hakuambiwa ukweli wote wa mambo yanayoendelea hata operation okoa Oleg ilishaanza huku yeye ndio kupewa taarifa ya go ahead kumbe jambo limeshaendelea mbele.Kwa nchi zilizoendelea, Yes upo sahihi ujasusi upo kwny uchumi zaidi. Kukopy teknolojia ya mwenzio nk...
Kwa nchi hizi zetu za kiafrica, idara zetu zingekuwa na kitengo hicho, hakuna mikataba ya kibwege sijui ya madini au manunuzi ya kijinga yangefanywa na Serikali bila approval ya intel unit.
Na nadhani hicho kitengo kingekuwepo hata ma ufisadi plus kuingizwa mikataba ya hovyo isingekuwepo kabisa nchini. But mifumo yetu Iko weak kutegemea hisani za wanasiasa, while ukisoma hi story Kuna baadhi ya scene waziri mkuu wa Uingereza hakuambiwa ukweli wote wa mambo yanayoendelea hata operation okoa Oleg ilishaanza huku yeye ndio kupewa taarifa ya go ahead kumbe jambo limeshaendelea mbele.
Tunayo safari ndefu tuko conservative mno imagine budget kubwa inatumika kulinda wanasiasa madarakani badala ya hyo nguvu kubwa kutumika Kwa ajili ya mstakabali na maendeleo ya nchi. We need reformation kulingana na nyakati za Sasa ni ujinga kuendelea kuwa maskini wakati we have all machinery to change. Miaka ya uhuru nchi ka china, malysia, tulikuwa almost the same kwenye maendeleo Yao, ila ilibidi wabadilike kulingana na nyakati, Sasa china inatishia kuipita USA kama superpower, sisi huku intelligence system inasifika kulinda wanasiasa na kuiba kura, ni aibu sanaIntel services zetu nyingi Africa zimejengwa katika mazingira kuwa, ni uzalendo kuwalinda wanasiasa waliopo madarakani na walio stahafu, wao na mali walizoibia taifa.
Intel za Africa ni ngumu ku leak taarifa za kiongozi kama mawaziri vile akiliibia taifa, rather taarifa hizo zitakuwa very classified kama ishara ya uzalendo
Na nadhani hicho kitengo kingekuwepo hata ma ufisadi plus kuingizwa mikataba ya hovyo isingekuwepo kabisa nchini. But mifumo yetu Iko weak kutegemea hisani za wanasiasa, while ukisoma hi story Kuna baadhi ya scene waziri mkuu wa Uingereza hakuambiwa ukweli wote wa mambo yanayoendelea hata operation okoa Oleg ilishaanza huku yeye ndio kupewa taarifa ya go ahead kumbe jambo limeshaendelea mbele.
Hatari sana..Intel services zetu nyingi Africa zimejengwa katika mazingira kuwa, ni uzalendo kuwalinda wanasiasa waliopo madarakani na walio stahafu, wao na mali walizoibia taifa.
Intel za Africa ni ngumu ku leak taarifa za kiongozi kama mawaziri vile akiliibia taifa, rather taarifa hizo zitakuwa very classified kama ishara ya uzalendo
[emoji2][emoji2] kweli technologia nzuri ila Sasa kufanya mambo ya physical ni salama maana waweza dukuliwa hivi hivi ukijiona, ila uzuri intelligence Yao ilikuwa serious Kwa masilahi ya taifa sio huku Huwa kulinda wanasiasa uchwara.Yani Charles Powell ilibidi aende hadi Scotland alipo waziri mkuu ili apewe go ahead, maana anasema aliogopa kupiga simu ingesikilizwa..
Ila mwamba Oleg alitoa siri nyingi sana kwa taifa la wingereza hasa maafisa wao wanao itumikia kgb, hadi leo hii baadhi ya hayo majina ni kipengele
Hii mbinu ya kukimbia technologia ndo ilifanya Osama aishi miaka mingi bila kukamatwa, jamaa alikua anakutana na mtu face to face anampa mission[emoji2][emoji2] kweli technologia nzuri ila Sasa kufanya mambo ya physical ni salama maana waweza dukuliwa hivi hivi ukijiona, ila uzuri intelligence Yao ilikuwa serious Kwa masilahi ya taifa sio huku Huwa kulinda wanasiasa uchwara.
Ila Oleg naye alikuwa noma pia hata haya mambo bado yanaendelea kama kina Snowden aliyekimbilia Russia na kulindwa, hii Dunia uwanja wa fujo.
Ila hii story nilivoisoma mbona nchi hii kama hatuna majasusi hatari Hawa wa level ya Oleg, Ahmes Aldrich hivi
Ahahahahah...mkuu mcTobby kwann umelenga specifically Rwanda?? Why not Mozambique au Kenya???Hii comment hii dah ?[emoji848][emoji848][emoji28] Huu nadhani hautakuwa na impact. Wenye impact ni ule ambao wewe ni upo TISS halafu unaitumikia Tena idara ya kijasusi ya Rwanda [emoji3578][emoji3578][emoji1]
Technology Ina faida na hasara zake vile vile sisi tunaotegemea watu wa nje Kwa vifaa hatuko salama tuko uchi wa mnyamaHii mbinu ya kukimbia technologia ndo ilifanya Osama aishi miaka mingi bila kukamatwa, jamaa alikua anakutana na mtu face to face anampa mission
[emoji2][emoji2] kweli technologia nzuri ila Sasa kufanya mambo ya physical ni salama maana waweza dukuliwa hivi hivi ukijiona, ila uzuri intelligence Yao ilikuwa serious Kwa masilahi ya taifa sio huku Huwa kulinda wanasiasa uchwara.
Ila Oleg naye alikuwa noma pia hata haya mambo bado yanaendelea kama kina Snowden aliyekimbilia Russia na kulindwa, hii Dunia uwanja wa fujo.
Ila hii story nilivoisoma mbona nchi hii kama hatuna majasusi hatari Hawa wa level ya Oleg, Ahmes Aldrich hivi
Siyo tatizo letu, tatizo lipo kwenye mifumo ya Dunia. Somo kubwa unapaswa kujifunza kwenye maandiko km haya..hivi Kama Soviet ilikuwa inachezewa hivi, Tanzania kuna nguvu gani ya kupambana na hawa majasusi kwenye nyanja zote!? Kwenye nchi Kama zetu hayo mataifa makubwa ndiyo yanaamua namna yetu yote ya kujiongoza.Intel services zetu nyingi Africa zimejengwa katika mazingira kuwa, ni uzalendo kuwalinda wanasiasa waliopo madarakani na walio stahafu, wao na mali walizoibia taifa.
Intel za Africa ni ngumu ku leak taarifa za kiongozi kama mawaziri vile akiliibia taifa, rather taarifa hizo zitakuwa very classified kama ishara ya uzalendo
Tunapenda mafanikio lakini hatuko tayari kupay the price...sisi tulivyo ni sawa sawa na kupenda Pepo halafu hutaki kufa 😂!Tunayo safari ndefu tuko conservative mno imagine budget kubwa inatumika kulinda wanasiasa madarakani badala ya hyo nguvu kubwa kutumika Kwa ajili ya mstakabali na maendeleo ya nchi. We need reformation kulingana na nyakati za Sasa ni ujinga kuendelea kuwa maskini wakati we have all machinery to change. Miaka ya uhuru nchi ka china, malysia, tulikuwa almost the same kwenye maendeleo Yao, ila ilibidi wabadilike kulingana na nyakati, Sasa china inatishia kuipita USA kama superpower, sisi huku intelligence system inasifika kulinda wanasiasa na kuiba kura, ni aibu sana
Sasa kama nchi hatuna vision mbele Wala nyuma hatujui tunataka Nini si hatari Kwa taifa.Siwezi kusema hatuna, ana hatukuwa na watu kama Oleg, ila kinacho watofautisha majasusi wao na hawa wakwetu ni malengo ya nchi zao duniani.
Ingekuwa Tanzania ina mission ya kwenda Qatar na kutaka kuwa na share kwny gesi yao, lazma ungesikia majina ya majasusi wetu kushinda ana kushindwa kwao kama ilivyo hao akina Oleg.
Shida ya intel organs za kiafrica, zipo chini ya wanasiasa na wakt mwingi zinapokea maagizo ya anacho kiamua mwanasiasa, yani hazipo huru.
Ukiona nchi ni maskini, ujue shida na uongozi. Ukiona nchi ni tajir ujue wa kupongezwa ni viongozi.
Kazi ipo price must be paid bila hivo ngumu kutoboaTunapenda mafanikio lakini hatuko tayari kupay the price...sisi tulivyo ni sawa sawa na kupenda Pepo halafu hutaki kufa [emoji23]!