Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Kuna lile puuzi la Hatma ya Maisha yake na Kijana wa Buguruni lihuni tu.Nime enjoy every seconds ya kua kwenye uzi huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna lile puuzi la Hatma ya Maisha yake na Kijana wa Buguruni lihuni tu.Nime enjoy every seconds ya kua kwenye uzi huu.
Mkuu Salute sana kwa huu uzi. Bila huu Uzi I think wengi wetu tusingejua issue ya Traitor Oleg Gordievsky ama tungechelewa sana kuijua. Maua yako mengi sana Mwamba.AFTERMATH.
Baada ya haya yote, kesi ya Oleg imebaki kuwa Case study kwa vyombo vya usalama vya nchi za magharibi Hadi Sasa. Kutokana na hadhi aliyopewa ,ameshasafiri nchi mbalimbali za dunia , ikiwemo New Zealand, South Africa, Australia, Canada, ufaransa, ujerumani, Israel, Saudi Arabia na nchi za Scandinavia Katika kutoa Somo kwa Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo. Nchi nyingi duniani zililazimika kubadili muundo wa kiutendaji kwa taasisi za kijasusi za nchi hizo kutokana na hili swala la Oleg.
Maafisa mbalimbali wa M15 na M16 waliohusika na kesi hii ya Oleg wengine ni wastaafu ,na baadhi wametangulia mbele za haki na wengine bado kazini mpaka stori hii ilipowekwa kitabuni. Na wengi wa maafisa walibadilishwa vitengo waliohusika na Hili swala la Bwana Oleg Ili kuficha identity zao .
Na kwa upande wa bwana Aldrich Ames , madhara aliyoisababishia CIA ni kwamba ilipoteza majasusi wake wengi kwa Siri alizokuwa anatoa kwa nchi ya Russia. Na inakadiriwa Bwana Ames alipata kiasi Cha Dola milioni 4.6 kutokana na information alizokuwa anatoa kwa Urusi na wengi wa majasusi wa CIA waliokuwa Soviet walipotezwa mazima.
Yote kwa yote bwana Ames alikamatwa na maafisa wa FBI tarehe 21 Feb 1994 ,akiwa na mpenzi wake Rosario dupuy na kutiwa ndani.
Miezi miwili baadaye alikutwa na kesi ya kujibu kuhusiana na ujasusi na akafungwa kifungo Cha maisha jela . Mkewe Rosario dupuy alikutwa na hatia na kosa la ukwepaji Kodi na kosa la kutaka kufanya uhaini , na alipewa kifungo Cha miaka mitano baada ya plea bargaining. Kwa Sasa Ames ni mfungwa namba 40087-083 na anaitumikia adhabu yake kwenye geraza la federal correctional institution Terra Haute huko Indiana marekani.
Baadaye Ames alipohojiwa akiwa gerezani 1997 Alikiri na kusema aliwasaliti wengi kwa ajili ya pesa na akasema hakuwahi mjua Oleg na hakumsaliti.
Swala la nani aliyemchomesha Oleg mpaka Sasa limebakia kuwa kitendawili au fumbo la imani.
View attachment 2615407
Aldrich Ames akitiwa pingu na makachero wa FBI muda mfupi baada ya kukamatwa 1994. Hii ni baada ya kuvujisha Siri za CIA kwa KGB kwa zaidi ya miaka 10.
View attachment 2615409
Aldrich Ames na mkewe Rosario dupuy wakiwa kwenye arrest photography.muda mchache baada ya kukamatwa . Rosario aliachiliwa baada ya kukamilisha kifungo chake ,ila mumewe Aldrich still yupo jela.
Credit: ziende kwa
1.Ben MacIntyre@The spy and the Traitor.2018
2. Duka la vitabu la Elite Bookstore pale Shoppers Plaza Dodoma
3.wana jf wote na wale wote walionipa maua yangu[emoji39][emoji39][emoji39] Appreciation kwao for their encouragement.
Shukrani sana Japo hii story imewauma baadhi ya watu kuwekwa hapa. Sasa sijui hawakutaka na wengine wajue humu?. All in all nitajitahidi kwa kadiri niwezavyo ku share topik hizi humu .Mkuu Salute sana kwa huu uzi. Bila huu Uzi I think wengi wetu tusingejua issue ya Traitor Oleg Gordievsky ama tungechelewa sana kuijua. Maua yako mengi sana Mwamba.
Hebu naomba tuwekee vitabu vingine vya kijasusi vinaopatikana google tukadili navyo papendicula sasa kwanzia dk hii maana ndio utamu umeshanoga
Asante Kwa story nzuri ubarikiwe mpaka ushangae.AFTERMATH.
Baada ya haya yote, kesi ya Oleg imebaki kuwa Case study kwa vyombo vya usalama vya nchi za magharibi Hadi Sasa. Kutokana na hadhi aliyopewa ,ameshasafiri nchi mbalimbali za dunia , ikiwemo New Zealand, South Africa, Australia, Canada, ufaransa, ujerumani, Israel, Saudi Arabia na nchi za Scandinavia Katika kutoa Somo kwa Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo. Nchi nyingi duniani zililazimika kubadili muundo wa kiutendaji kwa taasisi za kijasusi za nchi hizo kutokana na hili swala la Oleg.
Maafisa mbalimbali wa M15 na M16 waliohusika na kesi hii ya Oleg wengine ni wastaafu ,na baadhi wametangulia mbele za haki na wengine bado kazini mpaka stori hii ilipowekwa kitabuni. Na wengi wa maafisa walibadilishwa vitengo waliohusika na Hili swala la Bwana Oleg Ili kuficha identity zao .
Na kwa upande wa bwana Aldrich Ames , madhara aliyoisababishia CIA ni kwamba ilipoteza majasusi wake wengi kwa Siri alizokuwa anatoa kwa nchi ya Russia. Na inakadiriwa Bwana Ames alipata kiasi Cha Dola milioni 4.6 kutokana na information alizokuwa anatoa kwa Urusi na wengi wa majasusi wa CIA waliokuwa Soviet walipotezwa mazima.
Yote kwa yote bwana Ames alikamatwa na maafisa wa FBI tarehe 21 Feb 1994 ,akiwa na mpenzi wake Rosario dupuy na kutiwa ndani.
Miezi miwili baadaye alikutwa na kesi ya kujibu kuhusiana na ujasusi na akafungwa kifungo Cha maisha jela . Mkewe Rosario dupuy alikutwa na hatia na kosa la ukwepaji Kodi na kosa la kutaka kufanya uhaini , na alipewa kifungo Cha miaka mitano baada ya plea bargaining. Kwa Sasa Ames ni mfungwa namba 40087-083 na anaitumikia adhabu yake kwenye geraza la federal correctional institution Terra Haute huko Indiana marekani.
Baadaye Ames alipohojiwa akiwa gerezani 1997 Alikiri na kusema aliwasaliti wengi kwa ajili ya pesa na akasema hakuwahi mjua Oleg na hakumsaliti.
Swala la nani aliyemchomesha Oleg mpaka Sasa limebakia kuwa kitendawili au fumbo la imani.
View attachment 2615407
Aldrich Ames akitiwa pingu na makachero wa FBI muda mfupi baada ya kukamatwa 1994. Hii ni baada ya kuvujisha Siri za CIA kwa KGB kwa zaidi ya miaka 10.
View attachment 2615409
Aldrich Ames na mkewe Rosario dupuy wakiwa kwenye arrest photography.muda mchache baada ya kukamatwa . Rosario aliachiliwa baada ya kukamilisha kifungo chake ,ila mumewe Aldrich still yupo jela.
Credit: ziende kwa
1.Ben MacIntyre@The spy and the Traitor.2018
2. Duka la vitabu la Elite Bookstore pale Shoppers Plaza Dodoma
3.wana jf wote na wale wote walionipa maua yangu[emoji39][emoji39][emoji39] Appreciation kwao for their encouragement.
Hii story iko episode ngapi, leo naishia hapa nikirudi nijuwe naendelea mpaka ngapi kufika mwisho?13
Wiki tatu baadaye bromhead na Oleg walikutana kwa Siri sana kwenye local bar iliyoko uchochoroni kwenye Giza Giza . Na mpaka wanafika eneo Hilo walihakikisha hakukuwa na dalili za kufuatiliwa (dry-cleaning) . Mazungumzo Yao yalikuwa ni kama business talk tu ya kawaida Lakini tangu mwanzo lugha baina ya Hawa jamaa wawili ilikuwa ni kipengele sana hususan kwenye kujadili Mambo seriously kidogo. Oleg kingereza kilikuwa hakipandi, alikuwa anajua kijerumani na ki danish na kirussia ,yeye mwenzake alikuwa anajua kingereza tu huku lugha nyingine ni za kuungaunga.
Bromhead alimwambia tu Oleg kwamba muda mfupi ujao ataondoka Copenhagen (alitarajiwa kupangiwa majukumu mengine) hivyo , jukumu la kukutana naye angemwachia ofisa mwenzake hapohapo Denmark ambaye pia ni muongeaji mzuri wa lugha ya kijerumani. Vilevile huyu bwana alipaswa kumwonyesha eneo ambalo ni SAFE HOUSE kwa ajili ya kukutana . Eneo ambalo sio rahisi kushtukiwa kuliko hiyo ya kukutana kwenye bar au hotelini . Na vilevile angepewa funguo za nyumba hiyo ikiwemo na usafiri wa siri. Kweli ndani ya week bwana Oleg alionyeshwa nyumba hiyo na bromhead iliyokuwa Mitaa ya Charlottenund.
Bromhead alimwelezea huyu bwana swala la yeye kuwapa infos za urusi lilijulikana na maafisa wachache sana wa PET , vilevile hata M16 ni maafisa wa ngazi wa juu wachache wanaofahamu uwepo wake kama agent SUNBEAM. Na hawajui jina lake halisi ni nani . Idara za ujasusi zina amini sana Siri haiuwi kwa mtu mmoja maana ni hatari na vilevile haipaswi watu wengi waijue. Hivyo Siri Ili iwe Siri kikundi kidogo sana Cha watu kinapaswa kufahamu. Ndivyo ilivyokuwa kwa file la bwana Oleg. Kwa sababu bromhead alimsisitizia lazima iwe Siri maana yawezekana Kuna agents walioko ndani ya PET au M16 wakasanukia mpango wakamrepoti huko Moscow ikawa ni kizaazaa.
Alijulikana kwa codename SUNBEAM tu na sio jina lake halisi. Alimwakikishia usalama wake kwa kiasi fulani.
Baada ya hapo bromhead aliagana na Oleg akimtakia kila la heri na kurudi makao makuu M16 huko London kwa maboss wake.
Baada ya kutua tu London boss wa bromhead alimuuliza maswala kadhaa kuhusu asset hiyo muhimu . Lengo ni kutaka kuhakikisha mipango Yao inaenda sawia kuhusiana na swala la bwana Oleg jasusi wa KGB kuwafanyia kazi mashirika ya kijasusi ya magharibi hususani M16.
Wanasema kwamba kuhamisha file la KAZI kwenye idara za ujasusi kutoka kwa agent mmoja kwenda kwa mwingine sio kazi nyepesi hata kidogo na inachukua mchakato sana . Kwa maana file la Oleg au SUNBEAM lilikuwa ni file zito kidogo na ilihitajika juhudi za ziada maana one mistake inge compromise kila kitu ikiwemo maisha ya Oleg yawe hatarini na kuwe na mgongano au Mgogoro wa kidiplomasia baina ya west na Urusi.
Hivyo January 1 1975 bromhead alirudi kwa siri sana huko Denmark akipitia Sweden akitumia utambulisho fake Hadi mwonekano wake. Lengo la safari hii ni kwamba alikuja kukutana na agent mwenzake wa M16 aliyeitwa Philip Hawkins kwa ajili ya kumkabidhi file la Oleg aweze ku deal naye. Baada ya hapo bromhead alikutana na Oleg kwenye safe house kwa ajili ya kutambulishana na Hawkins ,baada ya mazungumzo ya hapa na pale bromhead aliondoka. Ikawa kwamba Oleg na Hawkins wangeshirikiana.
Tujadili,[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Swali ni kuwa kwanini mtu huamua hufanya ujasusi, inakuwaje mtu anahatarisha usalama wa hata familia yake, au anaamua kuacha kazi yenye kipato kizuri na kuwa jasusi ,Na Je Nini kinafanya mtu kuamua kufanyia ujasusi idara nyingine na kuisaliti idara iliyomwajiri..?
Wanasema ujasusi Huwa unakuja na shepu ya kila aina . Mwingine anaweza kuingia kwenye ujasusi kwa kusukumwa na itikadi,siasa na pia uzalendo. Wengine huingia huko kwa ajili ya kulipiza kisasi, wengine kulaghaiwa kingono ,kitapeli ,ujinga na pia sifa na majigambo ya kutaka kuonekana (kujipendekeza) . Pesa ikiwa kama kichocheo tu.
Bwana Pavel sudoplatov ambaye alikuwa ni KGB spy master enzi za Stalin aliwahi kusema kwenye kuajiri Hadi mtu kujiunga kuwa jasusi ni kwamba: nanukuu " search for people who are hurt by fate or nature-the ugly, those suffering from an inferiority complex,craving power and influence but defeated by unfavourable circumstances... .......In cooperation with us, all these find a peculiar compensation. The sense of belonging to an influential and powerful organization will give them a feeling of superiority over the handsome and prosperous People around them".
Hapa kwa tafsiri ya harakaharaka na isiyo rasmi ni kwamba mtu kujiunga na kuwa jasusi mzuri ni kuwatafuta wale ambao wako broken hawana mvuto ,wanaosumbuliwa na kutokujiamini ila wanataka kulazimisha kukubalika na wenye njaa na madaraka .wakiwekwa kitengoni watafanya vizuri na pia watafanya kazi kwa kujiamini kuliko wale wenye mvuto au wenye elimu kubwa kuwaliko wao hivyo watajihisi wenye nguvu wakiwa kitengoni [emoji39][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Kwa mujibu wa KGB wanasema kwamba Kuna kanuni ya Hadi mtu kuwa jasusi MICE.
M-money
I-ideology
C-coersion
E-ego
1. Kwamba pesa inamfanya mtu awe tayari kujiunga na idara au kuuza Siri za nchi yake kwa vipande kadhaa vya shekeli. Money talks even there's great moment of silence.
2. Ideology au itikadi (capitalism vs communism) . Hata hapa kwetu huenda walioko huko kitengoni TISS ni matunda ya itikadi za ujamaa za Nyerere [emoji2][emoji2].
3.coercion.Hii ni labda mtu analazimishwa kufanya ujasusi kwa kulazimishwa pasipo ridhaa Yake. Mfano kushikiliwa mateka kwa familia yake ,mke na watoto au watoto tu. Haya hutokea . Au labda kutishiwa kuuawa endapo asipofanya kazi za kitengo.
4.Ego- nafikiri hii ni sababu ya kisaikolojia zaidi , kiburi ,kujifanya much know wa kila kitu ,kutaka kuonekana wewe ndio wewe ,yaani wewe ndio kusema ,ni sababu mojawapo watu kujiunga humo . Na hapa ndio pale wale hata kama kweli kaajiriwa kitengoni aonekane au ajulikane na kila mtu Ili aogopwe."UNAJUA MIMI NI NANI?" wako kwenye hiki kipengele [emoji38][emoji38][emoji38].
Na wanasema wapweke huwa ni rahisi kuwa majasusi wazuri na vilevile wengi wa majasusi ni wapweke wa kutupwa.. Kuna ukweli kiasi fulani.
Baadhi ya Wanasaikolojia wanasema kwamba mpaka jasusi wa nchi Moja kuisaliti nchi yake kuamua kuifanyia kazi nchi nyingine inawezekana ni mgongano kati ya inner world and outer world Kwa maana ya Mgogoro wa nafsi. Hili yawezekana kwa bwana Oleg. Kiitikadi alikuwa ni mcommunist Lakini baada ya kutoka nje ya Russia na kwenda kufanya kazi na kuonja ladha ya umagharibi kiitikadi alikuwa compromised . Mfumo aliokuwa akiutumikia ulikuwa wa kinyonyaji na katili kuliko mfumo alioenda kuukuta kwenye dunia nyingine. Je hii ilikuwa ni Sababu ya Oleg kuamua ku switch kuwa jasusi wa KGB na kuwafanyia kazi west?.
na pia dunia ya nje iliyoamua Oleg kuwa double agent labda ni mpasuko wa kiitikadi kati ya West na east pale aliposhuhudia ujenzi wa ukuta wa Berlin.
Na pia the inner world au tuseme Mgogoro wa nafsi , kutaka kulipiza kisasi kutokana na madhila ambayo familia yake ilipitia hususan mama yake alivyoteswa na mfumo wa kikomunisti zamani zile za Stalin . Hakukuwa na majibu ya uhakika kwenye hili.
Yeap Japo Kuna wahafidhina wachache nimewaona kupitia comment zao hawakutaka hii story ifike jf. Hapa ni sehemu ya kujifunza na kuelimishana na pia kuburidika.Asante Kwa story nzuri ubarikiwe mpaka ushangae.
And I think mpaka story kutoka ilishafikia kipindi chake chakuachiwa for public consumption ambako Kila nchi Huwa na Sheria ku release baadhi ya taarifa.
Wahafidhina hawakosekani pia wengine I think ni vile wanalipisha watu, Sasa kama kitabu kimetoka why hutaki wengine wasome na huko telegram only few will understand ila ukiweka JF watu wengi Wana kuwa na free access hata Kwa kutumia google pia ku share na uzoefu wa wengine. So watu waache ubinafsi au kuandika story na kukimbizia Whatsapp naona ka ubinafsi.Yeap Japo Kuna wahafidhina wachache nimewaona kupitia comment zao hawakutaka hii story ifike jf. Hapa ni sehemu ya kujifunza na kuelimishana na pia kuburidika.
Mpaka sehemu ya 36 then Kuna aftermath ndio inafika mwishoHii story iko episode ngapi, leo naishia hapa nikirudi nijuwe naendelea mpaka ngapi kufika mwisho?
Inawezekana ndio sababu ya mvunjiko WA USSR.Inawezekana huu uzi ndio umekwisha, shukrani kubwa kwa mleta mada kwa jinsi alivyojitahidi kuleta episodes mfululizo hadi kuleta raha kufatilia.
My take kuhusu huu uzi, kwa njia moja ama nyingine mimi au wewe msomaji unaweza kuingia mazingira ya watu fulani, kampuni ficho za kijasusi kukutumia kwa fedha kuuza taarifa nyeti za nchi kutoka na wadhifa wako. Usidhubutu kutoa ushirikiano hata chembe, usaliti kwa ardhi uliyotwaliwa ni laana kwako na kizazi chako lakini ikitokea idara za usalama zikaja kushtuka utalipia gharama kubwa wewe na familia yako yote.
Ni vizuri kubakia na somo hili maana hii habari ya Oleg imempa ushujaa na pengine kuishi kama executive citizen wa UK na kuleta ushawishi wa kuwa double agent [emoji23] lakini pengine hatujafikiria kiwango cha damage aliyofanya kwa Taifa lake hadi leo. Oleg kusaidia kuepusha vita ya nyuklia inawezekana ni kachumbari tu ila hiyo vita iliepukwa na mambo mengi wakati ule.
Nimeona niangalie kwa jicho tofauti hasa somo nyuma hii stori.
ShukraniKwa shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama directorate K. Hii idara ilikuwa na kazi maalumu ya kufanya bugging , kile kitendo Cha kupandikiza vinasa sauti na video camera kwa Siri kwenye ofisi za walengwa maalumu waliokusudiwa , kusikiliza mawasiliano Yao ya simu au pia wakati mwingine kwenye makazi Yao binafsi.
Ilichukua nusu dakika kufungu vitasa viwili vya mlango wa mbele wa chumba namba 220 kwenye ghorofa ya nane katika mtaa wa Leninsky prospekt . Hili lilikuwa ni jumba la ghorofa lililokuwa linakaliwa na maofisa wa KGB pamoja na familia zao.
Kwa Siri sana wanaume waawili waliokuwa wamevalia overall pamoja na gloves kwa haraka haraka wangedhaniwa kuwa ni mafundi tu wa kawaida kwa ajili ya kufanya matengenezo madogo madogo katika jumba Hilo , lakini uhalisia haukuwa hivyo. Baada ya kufungua vitasa vya chumba hicho kwa ustadi na kuingia ndani wakaaanza kufanya kilichowaleta.wanaume hao wawili wakaaanza kuweka camera pamoja na vinasa sauti kwa Siri kwenye sehemu sehemu mbali mbali chumbani maeneo ambayo sio rahisi kushtukiwa. Vinasa sauti viliwekwa ukutani kwenye maiki za simu ya mezani ,pamoja na kwenye Kona za kitanda ,jikoni ,maliwatoni n.k.
Pia kamera ndogo za Siri ziliwekwa kwenye taa za kila Kona ya chumba hicho ,baada ya hapo wakavaa mask usoni na kuanza kunyunyiza vumbi lenye mionzi kwenye nguo na viatu vilivyokuwa kabatini katika Hali ambayo isingeweza kushtukiwa na mlengwa wao. Hili vumbi lingewasaidia ku track movements za huyo mlengwa wao popote aendapo kwa kutumia kifaa kilichojulikana kama Geiger counte. Baada ya kumaliza kilichowaleta wakaurudishia mlango na kuufunga kama walivyoukuta na wakatokomea.
Masaa machache baadaye ,afisa wa ngazi za juu wa KGB alishuka kwenye uwanja wa ndege wa Moscow na shirika la ndege la Aeroflot akitokea London. Kanali Oleg antonyevich Gordievsky alikuwa katika kilele Cha mafaniko ya kazi Yake katika idara ya KGB. Mpaka kufika kuwa afisa wa ngazi za juu kwenye shirika Hilo alipitia vyeo mbalimbali ,amefanya kazi kama balozi kwenye nchi za Scandinavia, uingereza pamoja na hapo Moscow.
Akiwa na miaka 46 aliteuliwa kuwa mwakilishi wa KGB kwenye ubalozi wa USSR hapo London. Kwa kuwa alikuwa jasusi mbobevu alipanda vyeo kwa haraka ndani ya idara kiasi kwamba akawa na uwezo wa kujua Siri nyingi za kijasusi (Disclassfied material) pamoja na mtandao wa kijasusi kwenye mataifa mbalimbali ikiwemo mataifa ya magharibi.
Mwenye muonekano wa mwili wa mazoezi,akiwa hana hofu Wala wasiwasi huku akitabasamu alikatiza katikati ya umati wa watu hapo uwanja wa ndege kwa ajili ya kutafuta teksi imuondoe hapo impeleke anapoishi.
Bwana Oleg afisa wa kijasusi mtiifu wa shirika la KGB aliyependwa na mabosi wake kama asset muhimu waliokuwa nayo kipindi hicho ,pia alikuwa ni JASUSI MTIIFU WA UINGEREZA. Kwa kifupi alikuwa ni double agent.
Akiwa afisa wa KGB tayari alikuwa ni mwajiriwa rasmi wa shirika la kijasusi la uingereza la MI6 kwa miaka takribani 12 .na alipewa jina jina la uficho (codename) la NOCTON.
Na baadaye ikaja semekana alikuwa ndiye JASUSI wa thamani sana enzi zile za vita baridi. Taarifa za Siri alizokuwa anazivujisha kutoka KGB na mipango ya Siri ya USSR zilibadilisha kabisa mkondo wa vita baridi kwa wakati ule. Bwana Oleg aliweza kutoboa Siri ikiwemo mikakati ya nyuklia za USSR..mtandao wa majasusi uliokuwa kwenye nchi za magharibi,pamoja na sera za nje za urusi kwa wakati huo kwa wakubwa wa MI6.
Taarifa alizokuwa anazivujisha bwana Oleg ziliwafanya MI6 na CIA ku share kwa pamoja baadhi ya taarifa, lakini ajabu ni kwamba DG na top officials wa MI6 hawakutaka kutoa identity ya Oleg kwa Margaret thatcher Wala Ronald Reagan waliemwajiri ndani ya Kremlin kwa maaana ya USSR kwa kuwapa sensitive Disclassfied informations. Na kulikuwa na sababu maalumu ya kufanya hivyo.
Pia mkewe bwana oleg hakuwahi kujua mumewe ni spy wa uingereza.
Lakini imekuwaje amekuja ghafla Moscow kwa kuitwa na wakubwa zake? . yaani ni kwa mfano balozi polepole kateuliwa balozi Tz Cuba, lakini ghafla hajamaliza hata miezi mitatu anaitwa nyumbani ghafla ,lazima hata kama ni wewe utajiuliza tu.
Lakini wanasema JASUSI ni jasusi tu . bwana Oleg aliweza kunusa hatari iliyokuwa mbele Yake ,akiwa anakatiza katikati ya watu hapo uwanja wa ndege baada ya kutua ndani ya nafsi yake alihisi upweke uliochanganyika na mashaka . Baada ya kukaguliwa nyaraka zake na hati ya kusafiria na wale maafisa wa passport uwanjani hapo alikabidhiwa akaagwa akaondoka.
Kikawaida kwa wakati huo afisa yoyote hususani mwakilishi akitokea nje ya nchi lazima kunakuwa na courtesy ya maafisa wenzake kuja kumpokea mwenzao airport lakini haikuwa hivyo. Akiwa anaangaza huku na kule asione dalili yoyote ya mapokezi alinotice jambo lisilo la kawaida, kulikuwa na wanaume na wanawake wamesimama hapa na pale uwanjani hapo pasipo jambo la muhimu waliokuwa walikilifanya zaidi ya kushangaa huku na huko.
Lakini bwana huyu akiwa ndani ya teksi alijiambia ikiwa KGB wanajua ukweli kumhusu yeye muda huo angekuwa tayari amewekwa chini ya ulinzi muda huo punde alipokanyaga ardhi ya Russia,aburuzwe Hadi kwenye cell za KGB ahojiwe,ateswe mwisho wa siku auliwe kwa kupigwa risasi ya kichwani .
Mpaka anaingia kwenye teksi Hadi kufika yalipo makazi yake mtaa wa Leninsky prospekt hakuwa anafuatiliwa kwa namna yoyote ile.alikwea lift Hadi ghorofa ya nane kwenye jumba Hilo kitasa Cha kwanza Cha mlango wake kilifunguka na Cha pili vilevile lakini kitasa Cha tatu Cha mlango kilikuwa locked bwana Oleg hakuwahi tumia kitasa Cha tatu kwa kuwa hakuwa na funguo zake, lakini ajabu ni kwamba alikuta kitasa kimefungwa na hapo hapo akahisi Kuna watu waliingia na kutoka wakajisahau wakafunga Hadi kitasa Cha tatu. Alikuwa sahihi . Alikuwa anatiliwa wasiwasi. The spy was being spied upon by his fellow spies.
Mkuu hao ni wachawi tu na kama ilivyo desturi mchawi hataki kitu anachokijua yeye basi na mwingine akijue Aaaa Never asee.... Hawa ni wachawi kabisa na ni wachawi wa maarifa ama ujuzi na ni wabinafsi wasikuumize kichwa we endelea kushusha Nondo hii vita tutashinda tu.Shukrani sana Japo hii story imewauma baadhi ya watu kuwekwa hapa. Sasa sijui hawakutaka na wengine wajue humu?. All in all nitajitahidi kwa kadiri niwezavyo ku share topik hizi humu .
Anza nyingine dogoAFTERMATH.
Baada ya haya yote, kesi ya Oleg imebaki kuwa Case study kwa vyombo vya usalama vya nchi za magharibi Hadi Sasa. Kutokana na hadhi aliyopewa ,ameshasafiri nchi mbalimbali za dunia , ikiwemo New Zealand, South Africa, Australia, Canada, ufaransa, ujerumani, Israel, Saudi Arabia na nchi za Scandinavia Katika kutoa Somo kwa Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo. Nchi nyingi duniani zililazimika kubadili muundo wa kiutendaji kwa taasisi za kijasusi za nchi hizo kutokana na hili swala la Oleg.
Maafisa mbalimbali wa M15 na M16 waliohusika na kesi hii ya Oleg wengine ni wastaafu ,na baadhi wametangulia mbele za haki na wengine bado kazini mpaka stori hii ilipowekwa kitabuni. Na wengi wa maafisa walibadilishwa vitengo waliohusika na Hili swala la Bwana Oleg Ili kuficha identity zao .
Na kwa upande wa bwana Aldrich Ames , madhara aliyoisababishia CIA ni kwamba ilipoteza majasusi wake wengi kwa Siri alizokuwa anatoa kwa nchi ya Russia. Na inakadiriwa Bwana Ames alipata kiasi Cha Dola milioni 4.6 kutokana na information alizokuwa anatoa kwa Urusi na wengi wa majasusi wa CIA waliokuwa Soviet walipotezwa mazima.
Yote kwa yote bwana Ames alikamatwa na maafisa wa FBI tarehe 21 Feb 1994 ,akiwa na mpenzi wake Rosario dupuy na kutiwa ndani.
Miezi miwili baadaye alikutwa na kesi ya kujibu kuhusiana na ujasusi na akafungwa kifungo Cha maisha jela . Mkewe Rosario dupuy alikutwa na hatia na kosa la ukwepaji Kodi na kosa la kutaka kufanya uhaini , na alipewa kifungo Cha miaka mitano baada ya plea bargaining. Kwa Sasa Ames ni mfungwa namba 40087-083 na anaitumikia adhabu yake kwenye geraza la federal correctional institution Terra Haute huko Indiana marekani.
Baadaye Ames alipohojiwa akiwa gerezani 1997 Alikiri na kusema aliwasaliti wengi kwa ajili ya pesa na akasema hakuwahi mjua Oleg na hakumsaliti.
Swala la nani aliyemchomesha Oleg mpaka Sasa limebakia kuwa kitendawili au fumbo la imani.
View attachment 2615407
Aldrich Ames akitiwa pingu na makachero wa FBI muda mfupi baada ya kukamatwa 1994. Hii ni baada ya kuvujisha Siri za CIA kwa KGB kwa zaidi ya miaka 10.
View attachment 2615409
Aldrich Ames na mkewe Rosario dupuy wakiwa kwenye arrest photography.muda mchache baada ya kukamatwa . Rosario aliachiliwa baada ya kukamilisha kifungo chake ,ila mumewe Aldrich still yupo jela.
Credit: ziende kwa
1.Ben MacIntyre@The spy and the Traitor.2018
2. Duka la vitabu la Elite Bookstore pale Shoppers Plaza Dodoma
3.wana jf wote na wale wote walionipa maua yangu[emoji39][emoji39][emoji39] Appreciation kwao for their encouragement.
Na wengine wanaamini anachokijua basi mwingine hakijui. All in all hii thread imekimbiza sana sikutegemea.....tukipata wasaha tuta share nondo... Sema Kuna kitabu Fulani hivi kimendikwa na mwanamama anaitwa Stephanie mayer.. kinaelezea jinsi uingereza ilivyochangia kuwahifadhi wale magaidi walioitingua world trade center na pia kulipuliwa kwa usafiri nadhani kama sio wa basi ni treni za underground nchini uingereza. Japo uingereza ilionywa kuhusiana na sera yake ya kukaribisha wahamiaji wa kila nchi kutakuwa na madhara hapo Baadaye viongozi wa serikali wakakaza kichwa ,matokeo yake ugaidi ukashamiri. Changamoto ya hiki kitabu kwa mujibu wa mwandishi kina utata sana .Mkuu hao ni wachawi tu na kama ilivyo desturi mchawi hataki kitu anachokijua yeye basi na mwingine akijue Aaaa Never asee.... Hawa ni wachawi kabisa na ni wachawi wa maarifa ama ujuzi na ni wabinafsi wasikuumize kichwa we endelea kushusha Nondo hii vita tutashinda tu.
Natamani tupate visa vya CIA, MOSSAD, BND na Ofcoz FSB na hao MI6 Hawa ndio inaelezwa kwamba ni wababe wa UJASUSI ijapokuwa tutaambulia za zamani sana ambazo sio CLASSIFIEDS kwa sasa. Hawa wakwetu sidhani ata kama wana issue yoyote ya maana [emoji38]
Lete mkuu ndio tunataka visaa kama hivyoNa wengine wanaamini anachokijua basi mwingine hakijui. All in all hii thread imekimbiza sana sikutegemea.....tukipata wasaha tuta share nondo... Sema Kuna kitabu Fulani hivi kimendikwa na mwanamama anaitwa Stephanie mayer.. kinaelezea jinsi uingereza ilivyochangia kuwahifadhi wale magaidi walioitingua world trade center na pia kulipuliwa kwa usafiri nadhani kama sio wa basi ni treni za underground nchini uingereza. Japo uingereza ilionywa kuhusiana na sera yake ya kukaribisha wahamiaji wa kila nchi kutakuwa na madhara hapo Baadaye viongozi wa serikali wakakaza kichwa ,matokeo yake ugaidi ukashamiri. Changamoto ya hiki kitabu kwa mujibu wa mwandishi kina utata sana .
Sio Stephanie Mayer ni Melanie Phillips nimechanganya majina ya waandishi sorryNa wengine wanaamini anachokijua basi mwingine hakijui. All in all hii thread imekimbiza sana sikutegemea.....tukipata wasaha tuta share nondo... Sema Kuna kitabu Fulani hivi kimendikwa na mwanamama anaitwa Stephanie mayer.. kinaelezea jinsi uingereza ilivyochangia kuwahifadhi wale magaidi walioitingua world trade center na pia kulipuliwa kwa usafiri nadhani kama sio wa basi ni treni za underground nchini uingereza. Japo uingereza ilionywa kuhusiana na sera yake ya kukaribisha wahamiaji wa kila nchi kutakuwa na madhara hapo Baadaye viongozi wa serikali wakakaza kichwa ,matokeo yake ugaidi ukashamiri. Changamoto ya hiki kitabu kwa mujibu wa mwandishi kina utata sana .
AFTERMATH.
Baada ya haya yote, kesi ya Oleg imebaki kuwa Case study kwa vyombo vya usalama vya nchi za magharibi Hadi Sasa. Kutokana na hadhi aliyopewa ,ameshasafiri nchi mbalimbali za dunia , ikiwemo New Zealand, South Africa, Australia, Canada, ufaransa, ujerumani, Israel, Saudi Arabia na nchi za Scandinavia Katika kutoa Somo kwa Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo. Nchi nyingi duniani zililazimika kubadili muundo wa kiutendaji kwa taasisi za kijasusi za nchi hizo kutokana na hili swala la Oleg.
Maafisa mbalimbali wa M15 na M16 waliohusika na kesi hii ya Oleg wengine ni wastaafu ,na baadhi wametangulia mbele za haki na wengine bado kazini mpaka stori hii ilipowekwa kitabuni. Na wengi wa maafisa walibadilishwa vitengo waliohusika na Hili swala la Bwana Oleg Ili kuficha identity zao .
Na kwa upande wa bwana Aldrich Ames , madhara aliyoisababishia CIA ni kwamba ilipoteza majasusi wake wengi kwa Siri alizokuwa anatoa kwa nchi ya Russia. Na inakadiriwa Bwana Ames alipata kiasi Cha Dola milioni 4.6 kutokana na information alizokuwa anatoa kwa Urusi na wengi wa majasusi wa CIA waliokuwa Soviet walipotezwa mazima.
Yote kwa yote bwana Ames alikamatwa na maafisa wa FBI tarehe 21 Feb 1994 ,akiwa na mpenzi wake Rosario dupuy na kutiwa ndani.
Miezi miwili baadaye alikutwa na kesi ya kujibu kuhusiana na ujasusi na akafungwa kifungo Cha maisha jela . Mkewe Rosario dupuy alikutwa na hatia na kosa la ukwepaji Kodi na kosa la kutaka kufanya uhaini , na alipewa kifungo Cha miaka mitano baada ya plea bargaining. Kwa Sasa Ames ni mfungwa namba 40087-083 na anaitumikia adhabu yake kwenye geraza la federal correctional institution Terra Haute huko Indiana marekani.
Baadaye Ames alipohojiwa akiwa gerezani 1997 Alikiri na kusema aliwasaliti wengi kwa ajili ya pesa na akasema hakuwahi mjua Oleg na hakumsaliti.
Swala la nani aliyemchomesha Oleg mpaka Sasa limebakia kuwa kitendawili au fumbo la imani.
View attachment 2615407
Aldrich Ames akitiwa pingu na makachero wa FBI muda mfupi baada ya kukamatwa 1994. Hii ni baada ya kuvujisha Siri za CIA kwa KGB kwa zaidi ya miaka 10.
View attachment 2615409
Aldrich Ames na mkewe Rosario dupuy wakiwa kwenye arrest photography.muda mchache baada ya kukamatwa . Rosario aliachiliwa baada ya kukamilisha kifungo chake ,ila mumewe Aldrich still yupo jela.
Credit: ziende kwa
1.Ben MacIntyre@The spy and the Traitor.2018
2. Duka la vitabu la Elite Bookstore pale Shoppers Plaza Dodoma
3.wana jf wote na wale wote walionipa maua yangu![]()
Appreciation kwao for their encouragemen![]()
Shukran nyingi ni kwako ndugu yangu, sio watu wote wenye uwezo wa kuandika mada kama hizi halafu waandika na kuiwasilisha kwa wepesi kama wewe.AFTERMATH.

Shukrani ndugu..Shukran nyingi ni kwako ndugu yangu, sio watu wote wenye uwezo wa kuandika mada kama hizi halafu waandika na kuiwasilisha kwa wepesi kama wewe.
Kwangu mimi wewe ni mwandishi mzuri ukilinganisha na wengine hapa Jf
Shukran nyingi sana, na pia samahani kwa changamoto na kadhia uliyokutana nazo wakati unaandika mada hizi na kuipandisha hapa jukwaani.
Matumaini yangu ukijaliwa tena nafasi utatuletea mada nyingine yenye maudhui ya namna hii kwani huwa zinajenga sana fikra kwa sisi wasomaji.
Ahsante sana.