Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Mkuu Salute sana kwa huu uzi. Bila huu Uzi I think wengi wetu tusingejua issue ya Traitor Oleg Gordievsky ama tungechelewa sana kuijua. Maua yako mengi sana Mwamba.
Hebu naomba tuwekee vitabu vingine vya kijasusi vinaopatikana google tukadili navyo papendicula sasa kwanzia dk hii maana ndio utamu umeshanoga
 
Shukrani sana Japo hii story imewauma baadhi ya watu kuwekwa hapa. Sasa sijui hawakutaka na wengine wajue humu?. All in all nitajitahidi kwa kadiri niwezavyo ku share topik hizi humu .
 
Asante Kwa story nzuri ubarikiwe mpaka ushangae.
And I think mpaka story kutoka ilishafikia kipindi chake chakuachiwa for public consumption ambako Kila nchi Huwa na Sheria ku release baadhi ya taarifa.
 
Hii story iko episode ngapi, leo naishia hapa nikirudi nijuwe naendelea mpaka ngapi kufika mwisho?
 
Asante Kwa story nzuri ubarikiwe mpaka ushangae.
And I think mpaka story kutoka ilishafikia kipindi chake chakuachiwa for public consumption ambako Kila nchi Huwa na Sheria ku release baadhi ya taarifa.
Yeap Japo Kuna wahafidhina wachache nimewaona kupitia comment zao hawakutaka hii story ifike jf. Hapa ni sehemu ya kujifunza na kuelimishana na pia kuburidika.
 
Yeap Japo Kuna wahafidhina wachache nimewaona kupitia comment zao hawakutaka hii story ifike jf. Hapa ni sehemu ya kujifunza na kuelimishana na pia kuburidika.
Wahafidhina hawakosekani pia wengine I think ni vile wanalipisha watu, Sasa kama kitabu kimetoka why hutaki wengine wasome na huko telegram only few will understand ila ukiweka JF watu wengi Wana kuwa na free access hata Kwa kutumia google pia ku share na uzoefu wa wengine. So watu waache ubinafsi au kuandika story na kukimbizia Whatsapp naona ka ubinafsi.
Mimi nakupongeza sana maana Kuna wengine story ikinoga humu wanaanza kuringa na kupotea humu mpaka wabembelezwe.
 
Inawezekana ndio sababu ya mvunjiko WA USSR.
 
Shukrani
 
Shukrani sana Japo hii story imewauma baadhi ya watu kuwekwa hapa. Sasa sijui hawakutaka na wengine wajue humu?. All in all nitajitahidi kwa kadiri niwezavyo ku share topik hizi humu .
Mkuu hao ni wachawi tu na kama ilivyo desturi mchawi hataki kitu anachokijua yeye basi na mwingine akijue Aaaa Never asee.... Hawa ni wachawi kabisa na ni wachawi wa maarifa ama ujuzi na ni wabinafsi wasikuumize kichwa we endelea kushusha Nondo hii vita tutashinda tu.
Natamani tupate visa vya CIA, MOSSAD, BND na Ofcoz FSB na hao MI6 Hawa ndio inaelezwa kwamba ni wababe wa UJASUSI ijapokuwa tutaambulia za zamani sana ambazo sio CLASSIFIEDS kwa sasa. Hawa wakwetu sidhani ata kama wana issue yoyote ya maana 😆
 
Anza nyingine dogo
 
Na wengine wanaamini anachokijua basi mwingine hakijui. All in all hii thread imekimbiza sana sikutegemea.....tukipata wasaha tuta share nondo... Sema Kuna kitabu Fulani hivi kimendikwa na mwanamama anaitwa Stephanie mayer.. kinaelezea jinsi uingereza ilivyochangia kuwahifadhi wale magaidi walioitingua world trade center na pia kulipuliwa kwa usafiri nadhani kama sio wa basi ni treni za underground nchini uingereza. Japo uingereza ilionywa kuhusiana na sera yake ya kukaribisha wahamiaji wa kila nchi kutakuwa na madhara hapo Baadaye viongozi wa serikali wakakaza kichwa ,matokeo yake ugaidi ukashamiri. Changamoto ya hiki kitabu kwa mujibu wa mwandishi kina utata sana .
 
Lete mkuu ndio tunataka visaa kama hivyo
 
Sio Stephanie Mayer ni Melanie Phillips nimechanganya majina ya waandishi sorry
 

Shukran nyingi ni kwako ndugu yangu, sio watu wote wenye uwezo wa kuandika mada kama hizi halafu waandika na kuiwasilisha kwa wepesi kama wewe.
Kwangu mimi wewe ni mwandishi mzuri ukilinganisha na wengine hapa Jf

Shukran nyingi sana, na pia samahani kwa changamoto na kadhia uliyokutana nazo wakati unaandika mada hizi na kuipandisha hapa jukwaani.

Matumaini yangu ukijaliwa tena nafasi utatuletea mada nyingine yenye maudhui ya namna hii kwani huwa zinajenga sana fikra kwa sisi wasomaji.

Ahsante sana.
 
Shukrani ndugu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…