Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Freedom of speech sponsored by interenet bundles! 😊
 
Mpaka sehemu ya 36 then Kuna aftermath ndio inafika mwisho
Kumbe Niko nyuma sana. Nadhani inabidi kama anayo amesave sehemu episode zote ni vizuri zipandishwe kwenye thread kama updates, maana kwa mtu kama Mimi itakuwa ngumu kupitia page zote ili kupata mtiririko mzuri.
 
Yes waifanyie hivo itakuwa Vizuri na rahisi Kwa users wanaoanza kuisoma kuliko kufatilia comments moja moja inachosha
 
Jino kwa jino ila Oleg ni too much kawauza kgb wengi sana kaitia USSR hasara kubwa anatakiwa apate adhabu ya kipekee.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
No . Oleg ni Cha mtoto , Kuna mtu aliitwa Kim Philby huyu ni mwingereza na alifanya kama alivyofanya Oleg tu . Ingetokea Oleg amekamatwa na KGB adhabu ilikuwa ni Moja tu angepigwa shaba ya kichwa na kuzikwa kwenye kaburi ambalo halina alama yoyote.. Of course alihukumiwa adhabu ya kifo.na ikitokea yupo exposed mahali popote uraiani lazima awe assassinated . Ndio maana uingereza wanamficha sana... Kwa Sasa nadhani ni mzee sana anakaribia tisini huko
 
Mkuu ikikupendeza upatapo nafasi tushushie kazi za kim philby Naona UK kumtumia Oleg ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa Ussr kwa kumtumia Kim philby na vilevile M16 walipata siri nyingi za Kgb

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…