Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Duh
 
Interesting story kazi nyingine zinahitaji usmart wa hatari Yani unaishi roho juu juu.
Hivi na intelligence yetu Ina vitu amazing kama hivi [emoji2][emoji2] au inteligensia ya police?[emoji28]
Wanavyo, japo si kwa kiwango hicho. KGB,CIA na MOSSAD zamani hizo walikuwa hatari. KGB ina jina jingine baada ya kuvunjika SOVIET UNION..
 
Safiiii
 
Wanavyo, japo si kwa kiwango hicho. KGB,CIA na MOSSAD zamani hizo walikuwa hatari. KGB ina jina jingine baada ya kuvunjika SOVIET UNION..
Aisee kazi kubwa inahitajika nikisoma hii story ina reflect mengi hata vita vya Ukraine si Bure Wala. Ila kuwekeza kwenye intelligence makini ni muhimu Kwa msitakabali wa taifa lolote makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…