Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Njoo huku carihaHatari hii Mimi nasubiria tu updates niendelee kujifunza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo huku carihaHatari hii Mimi nasubiria tu updates niendelee kujifunza
Nimefika mleta mada leo kaamua bandika banduaNjoo huku cariha
Shafika
DuhSEHEMU YA SABA
Licha ya kuwekwa kwenye radar za idara ya ujasusi wa Denmark ndoa ya bwana Oleg ilikuwa na mgogoro . Kumbuka huyu mwanadada Yelena alikuwa na harakati za kifeminist. Oleg alikuja kugundua bibiye alitoa ujauzito kabla ya kuingia Denmark. Mgogoro ulianza pale Oleg alipotaka kuwa na watoto lakini mkewe hakutaka kwa wakati huo. Alikuwa ni mtu wa frustration muda wote ,kila alipotoka kazini hakutamani kuwa karibu na mkewe maana ilikuwa ni stress juu ya stress. Wakati ndoa yake ikianza kutengeneza ufa ,Kuna mambo yalianza kujitokeza ndani ya muungano wa Soviet kama mawimbi madogomadogo ya bahari. Wimbi la mabadiliko.
Mwezi January 1968, Alexander Dubçek kiongozi mkuu wa chama Cha Czechoslovakia communist party alianzisha harakati na sera za kuikomboa nchi yake na kujitenga na muungano wa Soviet. Alikuwa na malengo ya kudhibiti matumizi ya nguvu za police kwa raia,kuanzisha mashirikiano na nchi za magharibi , vilevile kufanya uchaguzi wa huru na haki.
Kwa. Upande wa Oleg lilikuwa ni jambo jema kwa maana aliona endapo jamhuri ya Czechoslovakia itafanikiwa kujitenga na Soviet basi na zingine zitafuata mkondo huo. Hata ndani ya Ubalozi wafanyakazi wake walikuwa na hisia na maoni mseto kwa waliokuwa wanayashuhudia na kuusikia huko Czech .
Huko Moscow , KGB waliona swala la Czechoslovakia kutaka kujitenga na Soviet lilikuwa ni kipimo Cha kitisho kikuu kwa kusambaratika kwa muungano huo. Hata majeshi Ya Soviet yaliyokuwa front kupambana na jeshi la reformist walianza kupuputika kwa speed kubwa. KGB. hawakutaka kupewa maagizo kutoka Kremlin ikulu wakaamua kutuma kikundi kidogo Cha spies ambao ni illegal ku deal na kuzima vuguvugu la mapinduzi huko Czechoslovakia.
Mwaka huo zaidi ya majasusi 30 walipenyezwa Hadi Czechoslovakia kwa order ya mkurugenzi mkuu wa KGB wa wakati huo bwana Yuri Andropov kuzima vuguvugu la mapinduzi huko. Hawa walijipenyezwa kama watalii. Na miongoni mwa waliopenyezwa katika Hilo kundi mojawapo alikuwa Vasili Gordievsky kaka yake Oleg.
Waliolengwa hususan kwenye hili vuguvugu walikuwa ni walimu, waandishi wa habari wanafunzi wa vyuo vikuu, viongozi na watu mashuhuri.
Mwezi mmoja Hawa majasusi akiwemo kaka mtu yaani Vasili walipanga kuteka viongozi wa vuguvugu la mapinduzi huko Czechoslovakia. Target wao walikuwa ni vaçlav Havel na Jan prochazka viongozi wa kuu wa vuguvugu. Plan yao ya kwanza ilikuwa ni kuwateka viongozi wote wa vuguvugu lakini ilifeli . Wakaanza kuchapisha karatasi zilizokuwa zinaeneza propaganda za kupinduliwa kwa serikali . Vilevile wakaanzisha vuguvugu na kutunga stori kwamba hao viongozi wa vuguvugu walitaka kupindua serikali kijeshi.Hiyo ikawapa urusi ithibati ya kuivamia Czechoslovakia kijsehi kwa kile walichokiita kujilinda dhidi ya marekani na ubepari.
Na kweli usiku wa tarehe 20 august 1968 zaidi ya vifaru 2000 na wanajeshi laki mbili kutoka nchi mbalimbali chini ya mwavuli wa Soviet walivamia Czechoslovakia. Kulikuwa hakuna namna yoyote kwa Czechoslovakia wangeweza kucheza huo mziki hivyo dubçek akaomba raia wake wasi resist kwa namna yoyote ile kuepusha bloodshed . Hivyo kufika asubuhi nchi nzima ya Czech ilikuwa imesalimu. Na bwana Brezhnev rais wa urusi akatangaza kwamba "any Warsaw pact country attempting to renounce or reform orthodox communism would be brought back into the fold, by force." Hivyo ndivyo maandamano yalizimwa.
Huku Denmark waandamaji raia wa nchi hiyo waliandamana Hadi ofisi za ubalozi wa urusi nchini mwao kupinga kile walichokiita kuivamia Czechoslovakia kimabavu. Kiukweli bwana Oleg aliona aibu sana na kuwa na msongo wa mawazo .kwa maana hakuwa namna ya kuzuia maamuzi ya nchi yake ya urusi hususan ya kuzikalia kimabavu nchi zilizopo mashariki ya ulaya na ukitilia ndani yeye pia ni jasusi,wakoroga na wapika sumu wenyewe.[emoji1]
Vyombo vya habari vya nchi za magharibi hususani magazeti ziliandika habari kuhusu uvamizi wa urusi nchini Czechoslovakia na zilimfedhehesha bwana Oleg. Na zaidi aliwaza ni jinsi gani rafiki yake stanislav kaplan amelichukuliaje kwa nchi yake kuvamiwa na urusi.
Uvamizi huu ulipelekea zaidi ya raia laki tatu wa Czechoslovakia kuikimbia nchi Yao.
Na kwa upande wa bwana Oleg majukumu yake ndani ya nchi ya Denmark yalikaribia kufika mwisho. Hii ilitokana na bwana Oleg nyendo zake kuanza kushtukiwa na majasusi wa PET ,hivyo wakubwa wake wakaona ni Bora arudishwe nyumbani. PET walikuwa wanafuatilia nyendo za Oleg kuliko member of staff yoyote yule hapo ubalozini.Hivyo baada ya kuona mambo yasije kuharibika na kuzusha Mgogoro wa kidiplomasia , KGB walimpunguzia majukumu. Kwa bwana Oleg misukosuko aliyopitia , uvamizi wa urusi nchini Czechoslovakia, ujerumani n.k kulimfanya apoteze mzuka na kazi lakini mawazo ya kutaka kujitoa KGB ilikuwa ni kama haiwezekani hata kuwaza hivyo.
Kwakuwa siku PET walikuwa wanajua mwamba anakaribia kuondoka walitumia mbinu Moja iliyojulikana kama honey trap kumnasa Ili aweze kuwapa Siri za urusi na ikiwezekana aajiriwe kabisa.
Siku Moja akiwa anapata Moja moto Moja baridi kwenye baa Moja bwana Oleg alijikuta akizungumza na kijana mmoja wa ki danish mlevi mlevi . Huyu kijana akamwomba bwana Oleg watoke "out " lakini bwana oleg akakataa. Na kusema anataka kwenda home. Huyu kijana alikuwa ni afisa wa PET,hivyo kusema kutaka kutoka out na mwamba bwana Oleg ni kutaka kuanzisha mahusiano naye ya kimapenzi kama mtego. Kwa maana PET walikuwa wanahisi huyu mwamba atakuwa ni muumini wa mapenzi ya jinsia Moja kwakuwa walishamnasa kwenye radar zao akinunua majarida ya ngono hususan gay porn usiku kwenye maduka ya kuuza hizo bidhaa. Idara ya kijasusi haikujua kwanini bwana Oleg alikataa offer hii . Kwa maana ya kuwa na mpenzi wa kiume aliyeenda kujitongozesha kwake.
Baada ya hayo yote bwana Oleg alipaswa kurudi urusi mwaka 1970.
😊😊😉Haha[emoji28] noma sana
Jambo jema sana sio wale wa kuchelewesha...Nimefika mleta mada leo kaamua bandika bandua
Wanavyo, japo si kwa kiwango hicho. KGB,CIA na MOSSAD zamani hizo walikuwa hatari. KGB ina jina jingine baada ya kuvunjika SOVIET UNION..Interesting story kazi nyingine zinahitaji usmart wa hatari Yani unaishi roho juu juu.
Hivi na intelligence yetu Ina vitu amazing kama hivi [emoji2][emoji2] au inteligensia ya police?[emoji28]
SafiiiiSEHEMU YA SABA

Aisee kazi kubwa inahitajika nikisoma hii story ina reflect mengi hata vita vya Ukraine si Bure Wala. Ila kuwekeza kwenye intelligence makini ni muhimu Kwa msitakabali wa taifa lolote makiniWanavyo, japo si kwa kiwango hicho. KGB,CIA na MOSSAD zamani hizo walikuwa hatari. KGB ina jina jingine baada ya kuvunjika SOVIET UNION..