Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Silaha kubwa ya jasusi/kachero ni kuwa invisible, wana mafunzo ya combat n.k, japo wengi hudhani jasusi ni kama James Bond kuvaa suti za bei kali na kila aina ya gadgets za ajabu n.k.

Kuna majasusi hata Mandonga mtu kazi anawatwanga lakini kwenye ulimwengu wa kijasusi ni watu hatari na nusu.

Japo kuna wings ndani ya idara za kijasusi zenye agents kazi zao ni mauaji na utekaji hawa wana mafunzo ya combat ya hali ya juu. Jasusi wanao ogopwa zaidi ni hao ma spy, ukiwaona huwezi dhani tukiachana filamu kama Kingsman na James Bond.
 
12.

Kwenye dunia ya manjagu ,pale majasusi wanapotaka kukutana ,Huwa Kuna mind games zinafanyika . Bwana bromhead jasusi wa M16 alitafakari na kuwazua ,kwanini Oleg alichagua wakutane kwenye hotel ya østerport iliyo karibu na uelekeo wa ubalozi wa Soviet. What if ilikuwa ni set up? Na Je vipi mpango wa ku mu approach ateme Siri za USSR bwana Oleg ukienda kombo. What if yeye akawa ndio chambo na akawa recruited na KGB? Maana kwenye ulimwengu wa ujasusi linawezekana muda wowote swala la usaliti na Utiifu unatengwa na mstari mwembamba sana. Siku tatu baadaye bwana bromhead alikatiza cemetery nyuma za ofisi ya ubalozi wake Hadi mitaa iliyokuwa hotel ya østerport kwenda kukutana na Bwana Oleg.
Alifika na kukaa kwenye nafasi ambayo angeweza kumuona kila anayeingia ndani. Na muda huohuo Oleg alifika na kuchukua nafasi. Mazungumzo Yao yalikuwa ni maswala ya miziki, falsafa, siasa na dini. Huku wakipata kahawa na snacks , Bwana. Bromhead alimwambia kama mazungumzo haya yote anaweza kuyaweka kwenye file.[emoji102][emoji102] Oleg aliafiki hili swala. Na hapo wakaagana. Kila kikao Bwana bromhead alikuwa anawatonya manjagu wenzake wa M16 huko London. Hiki. Kikao pia bwana Oleg alireport pia Moscow kwa boss wake .
Swala la ajabu likatokea ni kwamba kwa zaidi ya miezi nane hakukuwa na mawasiliano ya aina yoyote baina ya bromhead Wala Oleg . Haikuwai fahamika ni kwanini. Hili swala hata bwana guscott huko London lilimshangaza sana kwa kuwa hakukuwa na update za aina yoyote kuhusiana na mazungumzo au kukutana kati Oleg na bromhead . Ikawa imeonekana mpango huu kabambe umekuwa terminated. Kwa Bwana Oleg aliona hakukuwa na Mpango wa bwana bromhead kutaka wakutane tena. Ukimya huu huenda ungeleta faida , Gordievsky aliwaza .

Iliwahi semwa kwenye ulimwengu wa manjagu nanukuu: in spying, as in love, a little distance,a little uncertainty,an apparent cooling, on one side or the other, can stimulate desire". Na kweli ukimya huu ulimpa Oleg kiwewe kwa kiasi fulani cha kutaka wakutane tena na bromhead.

Lakini bwana bromhead alionekana Tena 1 oktoba 1974. Ikasemekana alikuwa kikazi huko Ireland kaskazini . Akakutana na bwana Oleg kwenye hotel Moja ya kifahari sana iliyokuwa inamilikiwa na shirika la ndege la Scandinavia SAS. Kikao hiki kilikuwa Cha Siri maana Oleg hakumtaarifu boss wake kwa namna yoyote ile. Wakiwa katika Convo za hapa na pale bwana bromhead alivunja ukimya ,akamwambia Oleg kwamba tayari yeye anajua ni KGB agent anayefanya kazi idara ya FCD kitengo kidogo cha political intelligence. Bromhead akamuuliza ni nani anayesimamia hicho kitengo na ndipo bwana Oleg Kwa kifupi alifunguka na na alijibu tu IAM. Kikao hakikuwa na mambo mengi sana baada ya kupata kilaji guscott alinyanyuka na kuafikiana wangekutana Tena wiki tatu zijazo. Guscott aliondoka na bwana Oleg akafuata akaondoka .

Rasmi Sasa bwana Oleg tokea hapo akawa ni jasusi mtiifu wa KGB anayefanya kazi na idara ya ujasusi ya uingereza ya M16 .[emoji88][emoji88][emoji91].
Oleg akiwaza kuhusu familia yake ,kifo Cha bro wake Vasili. Utawala wa kikomunisti wa Soviet, manyanyaso yote waliopitia Czechoslovakia na Hungary , Mgogoro wa ndoa yake , na culture barrier Baina ya West na east Soviet ,hayo yote Sasa ilibidi Aishi maisha ambayo ni DOUBLE LIFE . Kama double Agent. Alihisi ni usaliti mtakatifu anaoufanya . Na ni nini kitampata endapo maafisa wa KGB hususan wakubwa zake wakagundua usaliti wake. Hayo yote yalikuwa kichwani mwake

Hili swala baada ya bromhead kureport bwana Oleg Yuko tayari kushirikiana nao ,huko London kuliitishwa kikao Cha dharura Cha maafisa wa ngazi za juu za usalama wa taifa la uingereza . Walikutana kwenye kambi ya mafunzo ya M16 Monckton Kwenye mji wa Portsmouth kusini mwa uingereza. Agenda ya kikao hicho ni namna ya kumtumia SUNBEAM (Oleg). Report yake ilijadiliwa kwa kina wakichambua hasara na faida za kumtumia Oleg jasusi wa KGB kupata Siri za Soviet union. Baada ya kuafikiana na mpango ukapewa baraka zote kama walivyopanga walitawanyika.
 
Huyo aliyekuwa ana mfatilia Oleg why alipotea Kwa mda flani na kumwacha Oleg gizani?
 
Dadavua vizuri kiundani hii maana nalinganisha na scenario flani hivi. Nifungue akili
Yani ni kwamba mfano Kama unahitaji kitu kutoka kwa mtu unakua una muonjesha vitu fulani ako na interest navyo.. Halafu humalizii kumwambia.. Yani unampa nusu.. Alafu unapotea kwa muda.. Hapa una create uhitaji kwake wa kutaka kukuoona na kusikia lolote kutoka kwako... Hivo ukimrudia almost kila utalomwambia afanye atafanya
 
Mimi nimemwelewa maana hata kwenye hicho kitabu Kuna namna mwandishi alitoa maelezo yake binafsi nikamwelewa kuhusiana na hili tukio ...
Kwa mfano maoni ya mwandishi anasema kwamba kukaaa kule kimya ilifanyika makusudi Ili wakuu wa KGB wasahau tukio la kijana wao Oleg kama alifanya contact na agent wa M16 Ili kusijekuwa na suspicion baadaye na blaablaa kibao.. anyway ngoja niendelee na stor
 
Oooh Asante Kwa ufafanuzi mzuri
 
Yani ni kwamba mfano Kama unahitaji kitu kutoka kwa mtu unakua una muonjesha vitu fulani ako na interest navyo.. Halafu humalizii kumwambia.. Yani unampa nusu.. Alafu unapotea kwa muda.. Hapa una create uhitaji kwake wa kutaka kukuoona na kusikia lolote kutoka kwako... Hivo ukimrudia almost kila utalomwambia afanye atafanya
Oooh got you
 
Hapa bongo kwa upande wa jeshi la ulinzi vyuo vyao vya mafunzo baadhi vinafahamika mfano chuo cha ulinzi na usalama pale Kunduchi..pia chuo cha maafisa pale Monduli na makambi ya mafunzo ya kijeshi kama pale Bagamoyo na kadhalika.

Jeshi la polisi pia baadhi vinafamika mfano CCP moshi pale..pia nishakutana na chaka la polisi lililojificha kule milimani Kidatu kwenye uzalishaji wa Umeme watu wanakula trainning huko n.k n.k

SWALI:
Vipi kuhusu vyuo vya usala wa taifa yaan tiss hata bongo hawa watu wanakula trainings wapi?? Au wao ni kwenda nje tuu???
 
Hapa town.

Wanacho hapa hapa mujini.
 
Back
Top Bottom