Kwa ufaham wangu huyu Oleg, hakuwa agent Mi6 wakt anapelekwa katika ubalozi wa Russia nchini Denmark. Maana Oleg, baba yake naye alikuwa KGB officer. Akiwa Denmark, alichukizwa na matendo ya Russia dhidi ya Czech, ndipo aliamua kubadili nia yake ya kuwa mtiifu kwa Russia. Simu yake moja kwa mkewe kuonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Russia kwa Czech ndio ilitoa signal kwa shirika la intelligence la Denmark kwamba huenda Oleg anataka kuwa double agent.
Denmark kwakua hawakuwa na skills za kumtongoza high rank official na intel, wakawaomba wabia wao Mi6 wawasaidie. Kwahio hapa, ndipo Mi6 ilimnasa baada ya vikao kama viwili, na cha mwisho alicho insists Oleg kuwa, yupo tayr kwa kuongea nao kuwa double agent kwa sharti moja tu kikao kinacho fuata atakutana na waingereza pekee bila kuwepo raia yyte wa Danish.
Alifanya kazi ba Mi6 nadhani kwa miaka 4 hivi kwa ku leak top Russian secrets na micro films za raia wa Russia walio majajsusi Europe, pia maafisa na raia wa Europe wanaofanya kazi kwa russia. Baada ya miaka minne, alirudishwa russia makao makuu kgb, pale alikuwa ndio ana handle docs zote za siri za Europe nk.
Baada ya miaka minne, alipewa post ingine, safari hii alipelekwa London kwy ubalozi wa russia. Hapa ndio alifanya maangamizi makubwa kwa russia. According to Charles Powell, ambaye alikuwa mshauri wa usalama na katibu wa waziri mkuu Magret, anasema there was nothing more secret in uk than the existence of Oleg and who he was. Mawaziri wala nani, hamna aliemjua than Mi6.
Alipilirudishwa russia, Kwan upande Mi6, wao hawakufanye any attempt ya kuwasiliana naye, ila walimpaga Oleg namb maalum ya simu ya ku initiate mazungumzo wakati wowote wanapo potezana. Pia walipeana signal ya kushika plastic bag, sehm moja maalum nchini russia wakt wowote ikitokea anahisi anafuatiliwa na anahitaji atoroke. Na ili kujibu hii signal, ofisa wa Mi6 atattokea kutoka kwny crowd na kula brand fulani ya chocolate, kama majibu kuwa ameeleweka.
Katika mission zake zote hizo abroad hakuwa na mkewe, na hata siku anatoroka pia alimficha mkewe. Speeches as Reagan kuhusu nuclear, na ile pressure iliokuwa kubwa kuwa mda wowote vita utaanza, ilfanya russia ihisi kuna mtu ndani yao anatoa siri. Kumbuka kuwa CiA walaikuwa wakipewa " drip fed information on need to know basis kutoka kwa Mi6, swala ambalo liliwaudhi.
Kwahiyo CiA wakampa kazi mkuu wao wa CiA counter russia, ya kufuatilia source ya info wanazopata mi6. Ambacho CiA hawakakujua ni kuwa huyo afisa wao, Naye ni agent wa KGB. Huyu afsa ambaye baade CiA walimshtukia, alipopewa kazi hiyo na ili kutoonekana alikuwa compromised, alivujisha document Kibao ikiwepo hisia zake kwa newly appointed boss katika embassy ya Russia jijini London ambaye ni Oleg.
KGB walipoliona Jina lake kutoka kwa source yao, wakamwita arudi nyumbani haraka on pretext ya kulewa promotion. Oleg McHale zilimcheza, ila alijua kukaidi direct order kurudi russia itaonyesha wazi kuwa yupo guilty na angeshughulikiwa. Alirudi russia bila kuwaaga mi6. Alipofika haraka sana walimpeleka kwny jumba lao, wakatilia sumu ya kumlewesha, wakatocha lakn uzuri wa Oleg hakutoa siri ya uhusika wake na Mi6. Wakaamua kuchenj tactics kwa kumpa house arrest, na hapa ndipo baadae aliroroshwa, nadhani kwa operation ilioitwa piplico ..