Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

Inaitwa stellenbosch fc na sio Stollenbosch mods rekebisheni asije pata chaka la kujitetea.
 
Tuahidi kitu kizuli Iko umekikalia
 
Simba kamaliza mwendo. Send off kwa Mkapa, South ni kugawa uroda kama kawaida yake.
 
Stellenbosch ni team nzuri, Wameuza wachezaji wengi wazuri msimu huu ndani na wengine wameuzwa belgium, Norway na Sweden.
Simba wakijipanga vizuri watafika fainali na kumtoa Stellenbosch.
Fadlu anafahamu soka la Afrika kusini na hii itakua advantage dhidi ya wapinzani wao wageni wa mashindano.
 
Hakika ni kweli kabisa tunakubariana na wewe kwamba Stollenbosch ni timu nzuri inakutana na Simba timu mbovu sasa mzigo msimsakazie kocha sijui kaishi SA kacheza soka SA aaha tusubiri kuona mnapigwa na kukandwa halafu mkishamaliza kukandwa ndio mje muongee vizuri Stollenbosch hufanya nini? Kauza wachezaji wapi?
 
Weka Tangazo la kugawa huwo Mfereji Wako wa Mavi ndio utaonekana Mtu wa Maana/ Toa Ahadi ya kugawa Tigo Yako hiyo
 
Weka Tangazo la kugawa huwo Mfereji Wako wa Mavi ndio utaonekana Mtu wa Maana/ Toa Ahadi ya kugawa Tigo Yako hiyo
Wote makolo mnawaza kinyesi tu ndio michezo yenu kinyume nyume Fc
 
Una tatizo la afya ya akili
 
Mimi sio shabiki wa Simba, Nina futilia mpira na huku nilipo mechi za ligi ya Afrika kusini zinaonyeshwa na huwa naangalia sana.
Stellenbosch ni wazuri lakini huwezi wapa 100% kumtoa Simba.
Utakacho ongeza ni juu yako.
 
Hizo ahadi hizo!Haya bandeko.
 
Mimi sio shabiki wa Simba, Nina futilia mpira na huku nilipo mechi za ligi ya Afrika kusini zinaonyeshwa na huwa naangalia sana.
Stellenbosch ni wazuri lakini huwezi wapa 100% kumtoa Simba.
Utakacho ongeza ni juu yako.
Mkuu kwa mujibu wa takwimu zinaonyesha kwamba Simba anaenda kukandwa yaan hio hauipuki hio haikwepeki Simba kukandwa kupo palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…