Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

WEWE NI KUROPOKA UPUMBAVU TU
BAN INAKUSAIDIA NINI??????????

UMEKOSA MAMBO YA MAANA YA KUANDIKA????
 
Mtu anajiita Ziro yaani sifuri atatoa wapi hoja zenye akili?
 
Wewe subiri ukandwe
Unaandika kwa hasira, uchungu,wivu na kuchanganyikiwa.FYI;Timu zote zinazokutana na Simba wanatetemeka sana na kutojua dhahma itakayowakuta.Mola akurehemu sana.Chuuuuuuraaaaaa aka utopolo.Majina yamewakaa vema sana.
 
Subiri ukandwe mkishakandwa ndio mtaongea vizuri sasa hivi elewa tu Stellenbosch haji kucheka na kima mtachapwa mshangae
 
Laban naona umebadilisha id
 
Subiri ukandwe mkishakandwa ndio mtaongea vizuri sasa hivi elewa tu Stellenbosch haji kucheka na kima mtachapwa mshangae
Subiri mahojiano yatakayofanywa kwa hao Stellenbosch ndiyo utajua ulikuwa hujui kuogelea ukiwa umevaa suti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…