DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Kwa sababu yeye ndiye mshika-mpini, akitangaza kugombea lazima tu ashinde. Hii ni kutokana na hulka za wajumbe ambazo tayari zimeshaonekana wazi kabla ya muda wenyewe.Sijui itakuwaje huko mbeleni ila FAM atatangaza kugombea na atashinda. Labda Lissu atahamia ACT baada ya hapo.
Haahaa mkuu uko nchi Gani😂😂Kesho Ijumaa 21.12.2024 ni kesho Ijumaa 21.12.2024!!
Lemma keshakimbiaYeriko na wenzake watakimbia.
Bora zimwi likujualo halikuli likakwisha😂Chama cha ukanda, ukabila, udini na utaifa katika ubora wake, ccm itaendelea kutawala japo ina madhaifu yake
Natamani iwe hivyoWasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Wengi wanaoitakia chadema mabadiliko ya kweli na mema wanaomba iwe hivoNatamani iwe hivyo
Unaweza kumtetea tajiri kwa kumtukana mshindani wake, tajiri akakushangaza siku ukiwakuta wako meza moja na uliyemtukana kwa niaba yake wanakula bia na kucheka😄Haahaa nitaamini nikiona, wale machawa kina boni yai na yeriko itakuwaje?
Agombee kifeWasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Atakuwa amefanya vyema sanaWasalaam

Ruzuku tamu sitegemei kuona Mbowe akiachia kiti na nikichanganya na maigizo ya jana ndio sina imani kama hilo jambo litatokea.Wasalaam
Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu.
Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha wanaCHADEMA wote ili kuing'oa CCM madarakani katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Hivyo wale wote mliokua mnategemea CHADEMA ipasuke na kuvugana imekula kwenu.
Huo ndio uamuzi pekee wa HEKIMA na BUSARA alionao sasa...
Nje ya hapo, anakwenda kudhalilika bila sababu za msingi....
Achilia mbali kushinda uchaguzi iwapo atagombea, lakini hata ikitokea amegombea na akashinda, uongozi wake awamu hii utakuwa mgumu sana....
Na kwa maamuzi yake ya kuendelea, ajue tu kuwa ata - demoralize kundi kubwa la wana CHADEMA, wapenzi (nikiwemo mimi) na mashabiki wa chama hiki...
Kwa kifupi atabaki na watu haohao waliokuja kwake jana kumwaga sumu dhidi ya mpinzani wake Tundu Lissu...
Miaka ya 2009, 2014 na 2019 tulimtetea kweli aendelee kuwa mwenyekiti kwa sababu hakukuwa na mtu sahihi wa kuvaa viatu vyake...
Mwaka huu 2024, mtu sahihi, makini na mwenye misimamo thabiti pengine kuliko yeye amepatikana na karibu dunia nzima inasema HUYU NDIYE MTU SAHIHI KUKALIA KITI HICHO...
Please, ndugu Freeman Mbowe pumzika kwa amani na kwa heshima zote huku ukiwa umekiacha chama kikiwa imara bila lawama tena mikononi mwa mtu sahihi kabisa Mh Tundu Lissu...
Na afahamu tu, Tundu Lissu hawezi ku back down hii vita kirahisi. Watapambana hadi dakika ya mwisho na wasipokuwa makini watararuana na kuacha makovu makubwa chamani na kutibika kwake itachukua miaka kadhaa...
Freeman Mbowe aache kujisifu kupita kiasi hata kujiona yeye ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Dhana hii ni hatari sana...