Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

Kama ni kweli hii habari njema
 
Hawa watu waliwagea waTanzania mtu wa kumpigia kura ambaye wanaamini hana uwezo wa kuongoza hata mtaa. Kwakua chadema inaamini hivyo naamini hata JPM kushinda kwa 80%+ inawezekana kabisa.

Kwakua hawana imani naye yawezekana hawakujisumbua hata kwenda kupiga kura. Kama ni hivyo naamini kabisa hata chaguzi za serikali za mitaa wameshindwa fair and square kutokana na tabia ya kuweka wagombea ambao wao wenyewe hawana imani nao.

Mfano: Kwenye Halmashauri ya Mbulu kuna mtaa mmoja waliweka mgombea ambaye wakazi wote wanajua huyu mgombea ana ugonjwa wa akili.

Hawa watu siyo wa kawaida
 
Kinyonge saaana kudadadadeq
 
Inaonekana Wafuasi Wa Lisu Hawajiamin Kabisa, Yaan wanajua mbowe akigombea basi lisu hatoboi, ndio maana kiu yao kubwa mbowe asigombee, maana kama kweli lisu angekuwa na ushawish kwa wanaCDM basi angeachwa mbowe agombee kisha wao wasimchague wanchague huyo lisu ila wanajua akigombea atashinda kwasababu wafuasi wa lisu wapo huko X na wafuasi wa mbowe ndio wajumbe wa mkutano mkuu wa CDM.

Matusi ruskaa
 
Labda sio Mbowe wa sasa ,hivi unategeme huyu Mzee Mbowe atafanya nini nje ya siasa?
 
Maccm kwa nini mnataka Mbowe aendelee? Mnamuogopa sana Lissu.
 
Nilishaandika humu jf wale hawagombani wala hawagombanishwi na yeyote yule katika Inji hii 😳🙌 !
 
Kama ni kweli hili ni pigo kubwa kwa CCM kwani wamewekeza nguvu kubwa kuhakikisha Mbowe anaendelea kuwa mwenyekiti.
 
Maneno kuntu haya,Mbowe alinde heshima tuliyompa kwa miaka 20 kwa kustaafu na abaki kuwa mlezi akitumia busara zake kuganga majeraha yatokanayo na mtanange huu na kuwaunganisha wanachama wawe wamoja kuikabili CCM mwakani.
 
Siku zote naitakia mema CHADEMA
 

Chadema wamejitahidi kujikuza kwa mara ya kwanza tanzania hadi chama
Tawala wanaongelea Uchaguzi wa ndan wa chama pinzani yaan nje ya chadema kuna makundi yamegawanyika kila Mtu kwa
Masilah yake anataka mgombea tofauti

Kitendo cha chadema kuweza kuofanya CCM na wanachama wao ifatilie
Uchaguzi wake wa ndan hata kama Kwa lengo tofauti kinaonyesha kuwa wanajua chadema wametengeza base nzuri to kwa raia. So wanajaribu kuwafanya wavurugane

Kawaida chaguzi za vyama za upinzan bongo zilikuwa hazina mvuto wa kuweza kutrend karibu wiki nzima lakin kwa chadema imekuwa tofauti

Na chadema wakichamga karata vizuri hapa watavuna wanachama
Wapya sana..
 
Nimeagiza mahindi milipuko... Tayari kuangalia hii tamthilia

Ipasuke mara ngapi tena?

Usisahahu John Mnyika aeshasema, 'wanenda kutiana ngeu'
Chadema watatoka wamoja baada ya mbowe kumuunga mkono Tl, muda ni rafiki mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…