Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

Boni Yai atakonda mpk atakuwa mwembamba kama fimbo. Na baada ya mwezi mmoja ataenda peponi.
 
Approch ya Lissu kuutaka uwenyekiti ilikuwa na walakini - hajui kutumia uugwana, hana lugha ya ki diplomasia anapayuka sana.

Kwa hiyo awe tayari kujipima ubavu ya Jabari.

Kwahiyo mnataka mbowe aendelee kuwa mwenyekiti!

Wewe ni mtu wa huko kaskazini sio??
 
Kila jambo lina wakati wake. Kwa sasa nadhani kwa heshima tu, mh. Mbowe angeachia ngazi tena angetangaza rasmi kumuunga mkono Lissu. Kwa kufanya hivyo angekuwa ameonesha ukomavu na ujasiri wa hali ya juu sana.
 
Likitokea hili yule aliyesema FAM ni Alfa n Omega kwa CHADEMA sijui ataambia nini watu..wacha tucheki huu mpambanoo hahaa
 
Mandela anaheshimika mpaka leo na jina lake litaendelea kuwa reference katika kupigania haki, kujitoa kwaajili ya watu , siyo kwa sababu alikaa madarakani kwa muda mrefu, bali kwa sababu ya kuwaonesha njia wananchi wa Afrika Kusini.

Mbowe ataheshimika na kukumbukwa nyakati zote kama atachukua uamuzi huo kuliko kufanya vinginevyo.

Hajachelewa sana kufanya hivyo.
Ndicho atachofanya amini hili andiko
 
Hatma ya kubomoka au kujengeka kwa CHADEMA ipo mikononi mwa FAM sababu kwa stage ruliyofika kuna mpasuko wa wanachama wanaomtaka TAL na wale wanaomtaka FAM sasa chqma kimejengwa kwa nguvu kubwa na waasisi wake na kikaachwa kwenye mikono ya FAM kwa sasa mgawanyiko wowote kwwnye chama ni hatari sana kwa mustakabali wa chama kijumla.

FAM qkiacha kugombea haitakuwa na athari kubwa kuliko TAL asipogombea sababu kundi.linalomsapoti lipo tayari kuharibu umoja wa chama na kufita nguvu iliyowekwa na waasisi wake jambo ambalo FAM hayupo tayari kuliona likitokea na chama kufia mikononi mwake.

So natarajia kuona FAM akijitoa kwenye kugombea na kubaki kwenye baraza la wazee na mshauri mkuu wa chama. Hii italinda heshima yake pamoja na uhai wa chama.
 
Eti kuindoa ccm.!

Mtarudi hapa kulaumiana tena. Bora ange….. zitakuwa nyingi sana
 
Back
Top Bottom