Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #201
Tarehe 28/10/2020 imeshafika. Nakushauri uwe sehemu ya historia kuu inayoenda kuandikwa Tanzania siku ya leo. Chagua Tundu Antiphas Lissu awe Rais wa Jamhuri ya Muungano TanzaniaKama kawaida ya kila mwanachadema
Kura za mapema znz hio rundo la kura ndani ya bahasha
True wameshinda vikwazo vikuu sembuse hivi vidogoHakuna hila dhidi ya wapenda haki Lissu na Maalim Seif itafanikiwa mwaka huu kwa Jina la Yesu
Nimekataa shule mapema kwani sikuona umuhimu wake, nimekariri Qur'an tu hapa nilipo.Una kiwango gani cha elimu?
Pole kwa mkasa wa vyeti Feki! Haya yameefanyika kwa maslahi makubwa ya Taifa. Tunashukuru JPM ametuingiza uchumi wa kati ameusimamia vyema wakati wa korona hata waliokumbele yetu kwa mbali kwa sasa wanatuonea wivu, njia aliyochukua juu ya COVID-19 Dunia yote inafuata. Waliosema tusifanye kazi tujifungie kwa kuwa kuna korona leo wanakusanya watu bila aibu! Sidhani kama kuna haki. Kodi na maduhuli ya Serikali yanalipwa vyema sasa kuliko wakati mwingine, lipa hata elfu tatu tu ya umeme moja kwa moja kwenye akaunti kupitia GePG ya Serikali! Lazima achukiwe na wachumia tumbo wote, na amekubali kujitoa kwa ajili yetu,tano tena aendelee kujenga Nchi!Sina uchungu nae, nasimamia haki! Siwezi kuwa sawa na mtu muuaji, mtekaji, na anaebambikia watu makesi
Siwezi pia kum support mtu aliyeharibu uchumi wa nchi na kutengeneza nchi ya wachuuzi badala ya walipa kodi
Hapo sasa nimekuelewa!Nimekataa shule mapema kwani sikuona umuhimu wake, nimekariri Qur'an tu hapa nilipo.
Nani ana cheti feki??? Nimekwambia mie ni msomi mwenye kazi ya maana na exposure kubwa kuliko hata wewe!!Pole kwa mkasa wa vyeti Feki! Haya yameefanyika kwa maslahi makubwa ya Taifa. Tunashukuru JPM ametuingiza uchumi wa kati ameusimamia vyema wakati wa korona hata waliokumbele yetu kwa mbali kwa sasa wanatuonea wivu, njia aliyochukua juu ya COVID-19 Dunia yote inafuata. Waliosema tusifanye kazi tujifungie kwa kuwa kuna korona leo wanakusanya watu bila aibu! Sidhani kama kuna haki. Kodi na maduhuli ya Serikali yanalipwa vyema sasa kuliko wakati mwingine, lipa hata elfu tatu tu ya umeme moja kwa moja kwenye akaunti kupitia GePG ya Serikali! Lazima achukiwe na wachumia tumbo wote, na amekubali kujitoa kwa ajili yetu,tano tena aendelee kujenga Nchi!
Ninazidi kukuelewa utakuaje kuwa una elimu ya juu na exposure kuliko mtu usiyemjua?! Kwa hiyo wote na Benki ya Dunia waliothibisha kuwa TZ ipo uchumi wa kati hawajui kitu ispokuwa wewe?! Hongera sana!!!Nani ana cheti feki??? Nimekwambia mie ni msomi mwenye kazi ya maana na exposure kubwa kuliko hata wewe!!
Uko uchumi wa kati upi??? Kwa akili yako Tanzania kweli iko uchumi wa kati???
Hiyo corona mnayotumia kama mtaji wenu mbona haijaathili Zambia??? Msumbiji??? Congo???? Hamjioni kama ni wajinga kutumia corona kama mtaji wakati sehemu kubwa ya africa haijaathili???
Kwani yeye siyo mtanzania? Mimi pia ni Mtanzania lakini kura yangu siwezi kumpa Tundu. Tangia aanza kampeni hadi anafunga kampeni sikumsikia akisema atatufanyia nini watanzani. Sasa nimchague kwa lip?Endelea kuongelea ushabiki. Watanzania wanafanya maamuzi magumu mwaka huu
Ameahidi kilomita ngapi za lami iwapo tutampa kura?Kwani yeye siyo mtanzania? Mimi pia ni Mtanzania lakini kura yangu siwezi kumpa Tundu. Tangia aanza kampeni hadi anafunga kampeni sikumsikia akisema atatufanyia nini watanzani. Sasa nimchague kwa lip?
Hapa anathibitisha hisia za wengi kwamba ana cheti fake. Hakwenda shule ndo maana ni mwepesi kutangaza elimu yake hata kwa wenye id fakeutakuaje na elimu ya juu na exposure kuliko mtu usiyemjua
Kwa heshima aliyoipa Nchi JPM kula za wazalendo zote tunampa! Nchi kama Rwanda, Kenya, Burundi, Malawi zinapasua anga halafu Tanzania kimya, wakati ina raslimali kuliko wote hao zikiwemo za pekee kama Tanzanite! Asante JPM kura za ujazo tunakupa leo.Nani ana cheti feki??? Nimekwambia mie ni msomi mwenye kazi ya maana na exposure kubwa kuliko hata wewe!!
Uko uchumi wa kati upi??? Kwa akili yako Tanzania kweli iko uchumi wa kati???
Hiyo corona mnayotumia kama mtaji wenu mbona haijaathili Zambia??? Msumbiji??? Congo???? Hamjioni kama ni wajinga kutumia corona kama mtaji wakati sehemu kubwa ya africa haijaathili???
Kumpigia kura lissu ni kuuza nchi na uhuru wake. Kuirudisha nchi kwa mabeberu 2020 inafuta mantiki ya wazee wetu kupigania uhuru 1961.Tarehe 28/10/2020 imeshafika. Nakushauri uwe sehemu ya historia kuu inayoenda kuandikwa Tanzania siku ya leo. Chagua Tundu Antiphas Lissu awe Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania
Kumpigia kura Lissu ni ishara ya ukombozi wa nchi yetu kifikra, kiuchumi na kimaendeleo. Kama hadi leo Kuna watanzania wanakunywa maji ya tope, wanakatishwa kwenda shule kwa maisha duni na hawapati elimu bora, huku viongozi wa Ccm ndo wakijineemesha kwa jasho la wananchi hakuna namna Ccm wanatakiwa kurudi madarakani.Kumpigia kura lissu ni kuuza nchi na uhuru wake. Kuirudisha nchi kwa mabeberu 2020 inafuta mantiki ya wazee wetu kupigania uhuru 1961.
Na by the way we unampigiaje kura huyo lissu wakati kila post yako unatwambia uko Canada?
Kwa heshima aliyoipa Nchi JPM kula za wazalendo zote tunampa! Nchi kama Rwanda, Kenya, Burundi, Malawi zinapasua anga halafu Tanzania kimya, wakati ina raslimali kuliko wote hao zikiwemo za pekee kama Tanzanite! Asante JPM kura za ujazo tunakupa leo.
Safi sana. Niko njiani kumpa kura Meya Jacob ya Ubunge na Tundu Antiphas Lissu ya UraisTayari nimepiga kura ya Haki, Uhuru na Maendeleo ya watu.
Ni siku ya kuchagua shida huzuni au furaha kicheko.
Umeulizwa??? Unachuki Mbaya sana. JitafakariSafi sana. Niko njiani kumpa kura Meya Jacob ya Ubunge na Tundu Antiphas Lissu ya Urais