Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Asante kwa taarifa ndugu, ila fafanua kidogo , Kuna kitu gani unakiona kinaendelea hapo?Nipo kahama hapa submarine panatoka macontainer ya kupogia kura kila siku chadema fuatilieni na kuna watu waccm wanakaa hapa akiwemo kishimba aliyekuwa mbunge wa sasa wa ccm embu fuatilieni mujihakikishie
Hahaha mi ccm mijinga ile!, eti jitu linashinda kura za maoni, linaondolewa halafu anawekwa mtu ambaye kapata kura moja, lenyewe linaambiwa litateuliwa halafu linakubali, si ujuha huo?!Kwa mfano niliouona kwenye kura za maoni za wajumbe wa Ccm mwaka huu, Nina imani kwa asilimia 100 kuna historia kuu lazima iandikwe mwaka huu!
Magufuli anataka kutufanya watanzania kuwa watu wajinga sana na anataka awe anatugeuza geuza kama anavyowafanya madoli yake. Ila mwaka huu Watanzania tunaenda kumwambia kwa sauti moja kuwa na sisi ni binadamu kama yeye na tuna heshima zetu na maamuzi yetu.Hahaha mi ccm mijinga ile!, eti jitu linashinda kura za maoni, linaondolewa halafu anawekwa mtu ambaye kapata kura moja, lenyewe linaambiwa litateuliwa halafu linakubali, si ujuha huo?!
Aliyekukata anakuteua vipi sasa?!
Tena hayo ndiyo usiyategemee kabisa.
Asante sana Mkuu Bagamoyo. Chadema wana sifa zote za kustahili kuwa Chama Tawale kuanzia hapo November 202019 September 2020
Musoma,Tanzania
CHADEMA WASEMA SASA BASI NYAVU ZA WAVUVI KUCHOMWA MOTO
I have a dream one day my green shoes will fly perpendicular...if it have real wings....CCM kwaheri October 28
Ole mnaocheka sasa maana kilio chenu ki karibu. Lazima ubadiri avatar yako iyo November 2020. Tutakumbushana hapaππππππ
Sera za Lissu zinaingia kweli kwenye moyo na akili. Hadi kuna muda mtu unasema huyu ndo angekuwa tu Raisi wa Kwanza wa Tanzania. Huyu jamaa ni akili kubwa kweli. No wonder Mungu alisema hapana kwenye risasi za magufuli na watu wakeNimejifunza mengi sana kwenye mkutano fulani mh.lisu watu wako kimya ila wana mengi moyoni nimewaona hata wana ccm ninawafahamu wamemuelewa lisu.tuombe Mungu maana huyu Mungu ni wa wote
Oyeeeeee!! Mungu atuwekee waja wake hiki kiumbe pale ikulu hapo October 28 mwaka huu. Kwa Jina la Yesu!Lissu hoyeeee
Acha tu! Mie Kuna dogo ninamfahamu hadi amerudi kijijini. Hana ajira tangu amalize chuo mwaka 2015. CCM hawastahili hata kupewa tena mwezi mmoja baada ya October 2020!Miaka 5 ya shida