Uchaguzi 2020 Tarehe 29 ni Kijani na Njano, kushoto, kulia, juu na chini

Uchaguzi 2020 Tarehe 29 ni Kijani na Njano, kushoto, kulia, juu na chini

Najua kulewesha tuu...hivyo ukipata muda naomba unisaidie kujijibu

Hapana.. wewe nitaendelea tu kukuwuliza maneno sijui maana yake unapoyaandika.. karibu ng'ombe.. mbuzi.. kondoo.. ni raha tupu hapa kijijini.. pokea 💛💚💛
 
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache:

"Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya asiye fanya kazi asile...,kwa kweli sasa biashara yangu inashamiri sana" "Niliishi kwa kutegemea pesa za ziada kazini, hata kutunga uongo. Kwa kweli sasa ninajua nini maana ya kubajeti na nina furaha sana bila kuishi kama mwizi" "Nilikuwa sibajali mke na watoto, kwa kweli michepuko ingeniua, pesa bamekula sioni faida. Sasa hivi mimi na mke tupo vizuri, nimekoma" "Kwa kweliii wajukuu zangu, Magufuli ametuweka vizuri walimu; tuna uhuru wa kufanya biashara zetu wenyewe nje ya kufundisha na maisha yapo bora. Huwezi ishi tegemea kikapu kimoja"

Ni mengi sana, nitaendelea

Shukurani sana

Rais jembe, imeweka historia nyingiiiii. Pigeni vigelegele wanawake.. wanaume pigeni miluzi..

Magufuli oyeeeeeeeee

Nalia kwa furaha.. tano tena.. kaa chini ndugu.. kaweke tiki kwa tanoooo tenaaaaaa

JPM 2020 [emoji817]

View attachment 1610080

Inaendelea posti #21.. oyeeeee
Huyu mtu akishinda wanaojiita wanyonge watalia na kusaga meno
 
Hapana.. wewe nitaendelea tu kukuwuliza maneno sijui maana yake unapoyaandika.. karibu ng'ombe.. mbuzi.. kondoo.. ni raha tupu hapa kijijini.. pokea [emoji169][emoji172][emoji169]
Ngoja niache mashindano kuna siku tutakutana pahala tuyajenge
 
Boma Ng'ombe mistari ni mirefu ya wapiga kura na yote imejaa.
Naenda Machame kusini nione kinaendelea kitu gani huko?
 
Huyu mtu akishinda wanaojiita wanyonge watalia na kusaga meno

Acha kutumia meno wanyone.. sema nyie wadokozi na mafisadi n.k. .. wapenda vya dezo kwa kujaa uvivu.. kachukueni vya 20K mufanye biashara..

Leo 💚💛💚💛💚💛💚
 
usibishane na watu walioharibika saikolojia mkuu, unaheshimika sana humu
achana na mental disorder people

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app

Ha ha haaaaa.. acha kudakia..kuna watu humu hatujuani.. na bila kujali vyama nk.. tunaheshimiana..

So tuliza boli.. leo utapokea dozi za kutosha .. nakuongezea 💉💉💉💉💉💉💉

MAGUFULI BABA LAOOOOOO
.. 💚💛💚💛💚💛💚
 
salari
Usifikiri wote ni kama mabeberu wenu huko.. inaonyesha unajua mengi zaidi.. juu yake huyo mtu wenu.. sasa unamuingiza Baba lao kisa uchaguzi 🤣🤣🤣🤣

Utalii umeisha rudini kwenu kwa mabeberu wakawafunze hizo tabia zaidi na zaidi.. mpate mlo kila wakati

Leo 💚💛💚💛💚
 
CCM inaafutwa saa hii kila kona.

pole sanaaaaaaaaa... leo lia tu..kesho kachukue kitambulisho cha 20K..ili uache kukaa kusubiri pesa za kudokoa..

tano tena kama kawaaaaaaaaaaaa

karibu kusherekea kuanzia 00:00 hrs usiku huu

💚 💛 💚 💛 💚
 
Karibuni woteeeeeeeee
Kesho ndio yaja.. maakulaji...
Sale zozote hata nyekundu na buluu karibuni.. na vidole juu.. wote wananchi wa Rais mpendwa JPM

Magufuli Tano tena💚💛💚💛💚
 
Back
Top Bottom