figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi.
Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Wala hamna ufutio wa kufuta kwenye kumbukumbu.
Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Wala hamna ufutio wa kufuta kwenye kumbukumbu.