PostGE2025 Tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Ujumbe kwa Samia na CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba 2025 walipokuwa wanalazimisha kuongoza Nchi.

Hii Video ni Ushahidi kwamba tarehe 29 Oktoba 2025 haitasahaulika. Wala hamna ufutio wa kufuta kwenye kumbukumbu.
Your browser is not able to display this video.
 
Ameonhgia kwenye vitabu vya akina Hitler
 
Damu isiyo na hatia huwa haipoi
 
Damu isiyo na hatia huwa haipoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…