'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
803
Reaction score
1,329
Kwa hii kasi ya umeme ya hawa 'Gen Z' wa Simba kuna wazee siku ya tarehe 8 watapimwa umri hadi mpaka wakimbie mechi.

Na kiufundi Simba ya sasa ipo aggressive sana, ipo na kasi sana mpaka wapinzani mapigo ya moyo yameanza kwenda mbio. Wanywa supu na wavaa vitenge jiandaeni kisaikolojia.
 
Muhasibu😂😂
 
Nakuonya usiamini sana Ulichokiona leo kwani leo kila Mchezaji morale yake ipo juu ili Kuwaonyesha Mashabiki alichonacho, kumuaminisha Kocha na Tajiri aliyekuwa juu kuwa hakukosea Kuwasajili. Mechi ya Simba na Yanga haitabiriwi na perfomance ya ama Simba Day au Wananchi Day kwani ni Game yenye Umafia mwingi sana wa Nje ya Uwanja.

Ila la kuhusu Wachezaji wa Simba SC kuwa Wepesi na Kasi nakubaliana nawe hivyo kikubwa Mimi na Wewe tuombee tu hii hali ( morale ) yao isishuke na kusiwepo tena na Mdudu Mtu wa Kuiharibu hii Timu yetu na basi Msimu huu nasi tufanye vyema Kitaifa na Kimataifa.

Mungu Ibariki Simba Sports Club.

Amen / Amina.
 
Hakuna Mechi ambayo GENTAMYCINE naigopa au naziogopa kama za Simba na Yanga kwani yoyote yule ANAKUFA tu.
Hakuna bhana, mpira ni mchezo wa Wazi.. Yanga iko Bora kuliko Simba kwa namna yoyote YANGA 70% Vs 30% SIMBA. Mpira hauna uchawi ndio maana mlikuwa mnamlilia MO asajili wachezaji wa MAANA. Kama uchawi ungekuwa unafanya kazi basi wewe ungekuwa mshambuliaji wa SIMBA leo hii.
 
Hapa hakuna timu ya kuifunga yanga wala ata sale hakuna goli zitaanzia tatu kwenda juu tena bila maana sioni foward yakupita ukuta wa yanga wala beki ya kuzuia foward ya yanga. Final time Yanga 4-0 Simba.
 
Back
Top Bottom