'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

Timu yoyote kabla haijacheza na Yanga inakuwa timu bora kila eneo,lakini baada ya dk 90 kuisha itatafutwa historia ya ubovu wake wa miaka mitano iliyopita.

NB: Baada ya match ya tarehe nane hatutaki kusikia kuwa timu haina muunganiko na wala wachezaji kuzoeana.

Tutawapiga chuma tano
 
Andika list ya first eleven ya Simba, alafu andika list ya first eleven ya Yanga alafu pembeni andika umri wa kila mmoja kisha njoo tena uandike uzi au urekebishe huu
Andika weww.. yeye ameshamakiza.
 
Back
Top Bottom