Nakuonya usiamini sana Ulichokiona leo kwani leo kila Mchezaji morale yake ipo juu ili Kuwaonyesha Mashabiki alichonacho, kumuaminisha Kocha na Tajiri aliyekuwa juu kuwa hakukosea Kuwasajili. Mechi ya Simba na Yanga haitabiriwi na perfomance ya ama Simba Day au Wananchi Day kwani ni Game yenye Umafia mwingi sana wa Nje ya Uwanja.
Ila la kuhusu Wachezaji wa Simba SC kuwa Wepesi na Kasi nakubaliana nawe hivyo kikubwa Mimi na Wewe tuombee tu hii hali ( morale ) yao isishuke na kusiwepo tena na Mdudu Mtu wa Kuiharibu hii Timu yetu na basi Msimu huu nasi tufanye vyema Kitaifa na Kimataifa.
Mungu Ibariki Simba Sports Club.
Amen / Amina.