Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
- Thread starter
- #41
Timu yeyote itakayokubali kupishana na simba imeisha.Uzuri jf hakuna option ya kufuta uzi so tutafukua kaburi muda ukifika. Yanga tunaamini defense through offense kwahiyo hao kina mutala wanaokimbia na mpira hadi wanapitiliza uwanja mipira haitowafikia.
Cc. Bantu Lady