Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Muhasibu😂😂Kwa hii kasi ya umeme ya hawa 'Gen Z' wa Simba kuna wazee siku ya tarehe 8 watapimwa umri hadi mpaka wakimbie mechi.
Na kiufundi Simba ya sasa ipo aggressive sana, ipo na kasi sana mpaka wapinzani mapigo ya moyo yameanza kwenda mbio. Wanywa supu na wavaa vitenge jiandaeni kisaikolojia.
Nakuonya usiamini sana Ulichokiona leo kwani leo kila Mchezaji morale yake ipo juu ili Kuwaonyesha Mashabiki alichonacho, kumuaminisha Kocha na Tajiri aliyekuwa juu kuwa hakukosea Kuwasajili. Mechi ya Simba na Yanga haitabiriwi na perfomance ya ama Simba Day au Wananchi Day kwani ni Game yenye Umafia mwingi sana wa Nje ya Uwanja.Kwa hii kasi ya umeme ya hawa 'Gen Z' wa Simba kuna wazee siku ya tarehe 8 watapimwa umri hadi mpaka wakimbie mechi.
Na kiufundi Simba ya sasa ipo aggressive sana, ipo na kasi sana mpaka wapinzani mapigo ya moyo yameanza kwenda mbio. Wanywa supu na wavaa vitenge jiandaeni kisaikolojia.
Hakuna Mechi ambayo GENTAMYCINE naigopa au naziogopa kama za Simba na Yanga kwani yoyote yule ANAKUFA tu.Pima umri haooooooooooo
Hakuna bhana, mpira ni mchezo wa Wazi.. Yanga iko Bora kuliko Simba kwa namna yoyote YANGA 70% Vs 30% SIMBA. Mpira hauna uchawi ndio maana mlikuwa mnamlilia MO asajili wachezaji wa MAANA. Kama uchawi ungekuwa unafanya kazi basi wewe ungekuwa mshambuliaji wa SIMBA leo hii.Hakuna Mechi ambayo GENTAMYCINE naigopa au naziogopa kama za Simba na Yanga kwani yoyote yule ANAKUFA tu.