'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

Andika list ya first eleven ya Simba, alafu andika list ya first eleven ya Yanga alafu pembeni andika umri wa kila mmoja kisha njoo tena uandike uzi au urekebishe huu
Andika wewe majina ya hao wazee wenu.
 
Timu yoyote kabla haijacheza na Yanga inakuwa timu bora kila eneo,lakini baada ya dk 90 kuisha itatafutwa historia ya ubovu wake wa miaka mitano iliyopita.

NB: Baada ya match ya tarehe nane hatutaki kusikia kuwa timu haina muunganiko na wala wachezaji kuzoeana.
 
kwa kasi ya jana na morali kwa kweli matumaini ni makubwa agost 8. wanasimba tujae uwanjani mtuwakilishe tusiopo bongoland
 
Una hakika?Una hakika?Una hakika?
 
Ungesoma utangulizi ungeelewa. Nilisema 'kasi ya umeme' mobility ya wachezaji wa simba inanipa imani.
 
mashabiki wa simba ni sawa kabisa na mashabiki wa ali kiba washazoea shida na kujipa matumaini
Simba Tarehe 8 anashinda.Mmefanya kafara ya damu na kuwalisha watu supu,kilichotokea mashabiki wa Simba kununua supu pale Taifa kunywa kabla hawajaingia Hapo mipangoa yote imeharibika.Taarifa nilizonazo kule mitaa ya Jangwani wazee Wana haha Sasa hivi.
 
Uzuri jf hakuna option ya kufuta uzi so tutafukua kaburi muda ukifika. Yanga tunaamini defense through offense kwahiyo hao kina mutala wanaokimbia na mpira hadi wanapitiliza uwanja mipira haitowafikia.


Cc. Bantu Lady
 
Pressure huwa mnajipa wenyewe.. Mnakuwaga na matumain makubwa na timu yenu kuliko uhalisia. Tena ningeshaur mkicheza na Yanga msicheze kma mlivyocheza jna kwamba mnapishana tuu, Kuna magep mengi sana mlikuwa mnaayaacha ambayo ni hatar sana kwa mpinzani kama atayatumia vizuri. Vijana wenu wakubal kubak nyuma na kutumia nafasi punde tu watakapo pora mpira wakimbie mbio kwenda kufunga
 
Wako vzr ila wanahitaji 1/2years kuwa vzr zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…