'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

Uzuri jf hakuna option ya kufuta uzi so tutafukua kaburi muda ukifika. Yanga tunaamini defense through offense kwahiyo hao kina mutala wanaokimbia na mpira hadi wanapitiliza uwanja mipira haitowafikia.


Cc. Bantu Lady
Timu yeyote itakayokubali kupishana na simba imeisha.
 
Tatizo lenu sijui huwa mnafikiria baada ya miaka mitatu hii timu itakuwaje. Kila mechi ina approach tofauti haimaanishi kisa simba kacheza vile na yanga atacheza hivyo hivyo
 
Mji wa moto!
 
Hutosikia hilo
 
Watu wote wenye jicho na akili ya mpira waligundua kuwa Simba walikuwa wakipoteza mpira wanafanya haraka sana na wanakaba kwa kasi kurudisha mpira kwenye himaya yao, kitu ambacho hata kocha APR alikiri.

Mbinu hii ndio inampa credit kubwa sana Miguel Gamond sasa hapa atayekuwa na kasi ya ku retain position ndio atamtawala mwinzie siku ya tarehe 8. Advantage aliyonayo simba dhidi ya yanga kwenye hili eneo la kiufundi ni umri wa wachezi (overall) sasa watani msiingie na matokeo.
 
Simba nyekundu na Simba nyeupe ,...hii Simba nyeupe ni nouuumaaaaa
 
Unajicho la mpira ,..umenena vyema
 
Hapa hakuna timu ya kuifunga yanga wala ata sale hakuna goli zitaanzia tatu kwenda juu tena bila maana sioni foward yakupita ukuta wa yanga wala beki ya kuzuia foward ya yanga. Final time Yanga 4-0 Simba.
Sawa Manara
 
Jones Clean tutakukumbusha Mkuu tuombe uzima siku zimebaki chache waangalie hao Wataalamu leo baadae ni kama mafundi gereji wale...
 
Tarehe 08/08 utakuja na uzi mpya kuwa bado mnaunda timu ndiyo maana mmekula nyingi.
 
Tutaona mbeleni mbivu na mbichi, ni kawaida kwenye Simba day kusikia sifa kwa wachezaji na kocha ila ligi ikianza hali inakuwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…