Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Tarehe 9-12-1961 ilikukuta wapi?

Mkuu huwa nakuheshimu sana hapa jukwaani , naomba nizidishe heshima, Kama ulikuwepo wakati wa uhuru! 🙌🏻
Kwa hakika nilikuwa nimeisha zaliwa ila sikumbuki hiyo siku
Huwa sina mzaha mwingi sana humu yakija masuala kama haya
Kweli kuna wakati huwa natania kutokana na uzi ulivyo kama siasa na mahusiano
Ila kwa hili nadiriki kabisa
Tena nakumbuka father aliponunua hiyo gari nilichukua ufunguo juu ya kabati ya chumbani kwake na hilo tukio nakumbuka vizuri sana mpaka vilivyokuwa juu ya kabati hilo, kulikuwa na kitambaa cha kushonwa na mama na juu kulikuwa na chenji na saa yenye kengere juu sijui ilienda wapi

Basi nikapitia funguo nikiwa mdogo bado nikaenda nikawasha na kuligonga kwenye ukuta
Ilikuwa karibu sana na ukuta kwa hiyo haikudhurika kabisa

Ila wanoko walikuwepo tangu zamani, zee moja likamwambia baba nilikula makofi mawili ya fasta
Yaani naweza kuandika siku nzima ukweli
Naomba uendelee kunipa heshima yangu
Ila kuna vitu siwezi kuvisahau kama Train za ukoloni jamani nilipanda first class na father akiwa bado kijana yaani supu ile siwezi kusahau halafu mhudumu mzungu na mswahili

Umenifanya nirudi utoto kwa mda God bless you 🙏 my dear
 
Umenifanya nirudi utoto kwa mda God bless you [emoji120] my dear

Porojo tu hamna cha maduka ya ushirika wala nini unakuta ni mtu wa 80s tu hapo unaanza uongo usio na maana.
 
Porojo tu hamna cha maduka ya ushirika wala nini unakuta ni mtu wa 80s tu hapo unaanza uongo usio na maana.
Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongo
Kwa sababu asilimia kubwa ya waswahili ni waongo, waizi, na wala rushwa kwa hiyo kama wewe umo unaona wote ni waongo tu

Mimi nafaidika na nini kwa kudanganya umri? Kuna tuzo humu wanatoa au utanipa msaada wowote
Najua mtandao huu tu ndio unaingia ila huijui mitandao mingine duniani

Hebu jipngeze download Tapatalk kuna hobbies nyingi sana huko
Ila kwa wewe ukiona wapenzi wa small aircraft wanavyoongelea ndege zao ungejiona masikini wa kutupwa
Au wenye magari ungelia kwa wivu

Hiyo miaka ya 80 kwa taarifa yako nilikuwa middle East tena nina kazi yangu na maisha mazuri tu
Ukiwa masikini kila kitu utaongea kwa wivu pole sana

Tembea dogo mimi namaliza mda nakuja kustaafu
Don't judge me ok
 
Kwa hapa Jf watu wa kuzungumzia story za uhuru kwa kujionea wakiwa tayari na akili za kiutu uzima ni wachache sana (miaka 80-90), na kwanamna yoyote ile kwa umri huo hawawezi kuwa na haiba ya mleta mada.

Humu wengi ni miaka 20 hadi walau 60 kwa uchache, tudanganyane tu.
Kwakweli hakuna namna, tuendelee kudanganyana tu
 
P

Si kweli.Muulize mzee@MohamedSaid
Kuna hii picha aliileta M Said na kuelezea kuwa ni Kariakoo mwaka 1950 mtaa wa Congo
Mpaka nyumba akawa anazitaja za kina nani

Ila ukiangalia hiyo picha kwenye mitandao ya Historia utakuta kila mmoja ameweka mwaka anaoujua sijui kwanini wanapotosha
Screenshot_20231209_105051_Google~2.png
 
Kuna hii picha aliileta M Said na kuelezea kuwa ni Kariakoo mwaka 1950 mtaa wa Congo
Mpaka nyumba akawa anazitaja za kina nani

Ila ukiangalia hiyo picha kwenye mitandao ya Historia utakuta kila mmoja ameweka mwaka anaoujua sijui kwanini wanapotosha View attachment 2837563
Kuna wengine ni kizazi cha uongo tu kwa asili.
 
Back
Top Bottom