DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Hiyo siku nilikua nacheki mechi ya yanga wakikata mauno uwanjani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlikuwa makendeni mwa babu yako [emoji23]Bado nilikuwa kwa baba na baba bado alikuwa kwa baba yake.
Kwa hakika nilikuwa nimeisha zaliwa ila sikumbuki hiyo sikuMkuu huwa nakuheshimu sana hapa jukwaani , naomba nizidishe heshima, Kama ulikuwepo wakati wa uhuru! 🙌🏻
Kwa hakika nilikuwa nimeisha zaliwa ila sikumbuki hiyo siku
Huwa sina mzaha mwingi sana humu yakija masuala kama haya
Kweli kuna wakati huwa natania kutokana na uzi ulivyo kama siasa na mahusiano
Ila kwa hili nadiriki kabisa
Tena nakumbuka father aliponunua hiyo gari nilichukua ufunguo juu ya kabati ya chumbani kwake na hilo tukio nakumbuka vizuri sana mpaka vilivyokuwa juu ya kabati hilo, kulikuwa na kitambaa cha kushonwa na mama na juu kulikuwa na chenji na saa yenye kengere juu sijui ilienda wapi
Basi nikapitia funguo nikiwa mdogo bado nikaenda nikawasha na kuligonga kwenye ukuta
Ilikuwa karibu sana na ukuta kwa hiyo haikudhurika kabisa
Ila wanoko walikuwepo tangu zamani, zee moja likamwambia baba nilikula makofi mawili ya fasta
Yaani naweza kuandika siku nzima ukweli
Naomba uendelee kunipa heshima yangu
Ila kuna vitu siwezi kuvisahau kama Train za ukoloni jamani nilipanda first class na father akiwa bado kijana yaani supu ile siwezi kusahau halafu mhudumu mzungu na mswahili
Umenifanya nirudi utoto kwa mda God bless you [emoji120] my dear
Kwa hapa Jf watu wa kuzungumzia story za uhuru kwa kujionea wakiwa tayari na akili za kiutu uzima ni wachache sana (miaka 80-90), na kwanamna yoyote ile kwa umri huo hawawezi kuwa na haiba ya mleta mada.Kwakweli 😃
Haha, kwamba kiuno cha mzee kilikuwa transparent, kwanza sidhani hata kama huko kiunoni kwenyewe ulikuwa ushafika [emoji28][emoji28]
Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongoPorojo tu hamna cha maduka ya ushirika wala nini unakuta ni mtu wa 80s tu hapo unaanza uongo usio na maana.
Kweli mkuu utani mwingi humu ila ni kuchambua tu na mengine unacheka tu na kuongeza sikuTuwe makini tu maana kamba zitakua nyingi.
Kujua na kuzaliwa ni vitu viwili tofautiMh Mbowe mwenyewe hakuwa akijua nn kinaendelea.
Kwakweli hakuna namna, tuendelee kudanganyana tuKwa hapa Jf watu wa kuzungumzia story za uhuru kwa kujionea wakiwa tayari na akili za kiutu uzima ni wachache sana (miaka 80-90), na kwanamna yoyote ile kwa umri huo hawawezi kuwa na haiba ya mleta mada.
Humu wengi ni miaka 20 hadi walau 60 kwa uchache, tudanganyane tu.
Hahahahaaaa.....Kama kuna uzi ambao utajaa uongo, basi ni huu.
Kwa hiyo una 89 years sasa hivi, lakini mbona bado huwa unahangaika na warembo humu?!Miaka 27 mkuu
Kuna hii picha aliileta M Said na kuelezea kuwa ni Kariakoo mwaka 1950 mtaa wa CongoP
Si kweli.Muulize mzee@MohamedSaid
Wachache watakuelewa matatizo yote ya nchi hii huyo bwana ndio alisababishaMiaka 60 za uhuru ila bado tuko vile vile kila kitu loh Nyerere kauua hi nchi.
Kuna wengine ni kizazi cha uongo tu kwa asili.Kuna hii picha aliileta M Said na kuelezea kuwa ni Kariakoo mwaka 1950 mtaa wa Congo
Mpaka nyumba akawa anazitaja za kina nani
Ila ukiangalia hiyo picha kwenye mitandao ya Historia utakuta kila mmoja ameweka mwaka anaoujua sijui kwanini wanapotosha View attachment 2837563