Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongo
Kwa sababu asilimia kubwa ya waswahili ni waongo, waizi, na wala rushwa kwa hiyo kama wewe umo unaona wote ni waongo tu
Mimi nafaidika na nini kwa kudanganya umri? Kuna tuzo humu wanatoa au utanipa msaada wowote
Najua mtandao huu tu ndio unaingia ila huijui mitandao mingine duniani
Hebu jipngeze download Tapatalk kuna hobbies nyingi sana huko
Ila kwa wewe ukiona wapenzi wa small aircraft wanavyoongelea ndege zao ungejiona masikini wa kutupwa
Au wenye magari ungelia kwa wivu
Hiyo miaka ya 80 kwa taarifa yako nilikuwa middle East tena nina kazi yangu na maisha mazuri tu
Ukiwa masikini kila kitu utaongea kwa wivu pole sana
Tembea dogo mimi namaliza mda nakuja kustaafu
Don't judge me ok
Ndio ujinga huu na kasumba tulionao watanzania tulio wengi.
Kwa hiyo kwenda nchi za nje mfano huko Middle East nakadharika ndo unaona ni jambo la ajabu?
Pole sana maana pamoja na kwenda huko nje bado
Unafikra za kizamani mno.
Nchi za nje sasa hivi kila mtu anaenda na hata kusoma nimesomea huko pia kwa hiyo bado nina pata mashaka mpaka karne hii unaona jambo la kwenda ughaibuni kama fimbo.
Et una kazi yako na maisha mazuri sasa hivyo vimefata nini nikuone wivu mtu kama wewe ambaye sikufahamu na ID yako fake? I’m better than that au unafikiri kila mtu ni wakupenda sifa hapa jukwaani na kuanza ku brag?
Mtu mzima anajielewa hawezi kuwa na maneno kiasi hicho ukweli ni dhahiri kwamba ulichokisema ni uongo mtupu.