Northpole
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 590
- 853
Nidhamu haiachi njia yake,sema walikuwa waoga. Ingekua nidhamu halisi tusingefika huku.Ni kweli kabisa mkuu, Enzi hizo kulikuwa na nidhamu na watu wanafuata sheria kweli kweli
Ila leo unajenga unavyotaka
Unaweza kukuta mtu anajenga kukwepa jua lisimchome asubuhi, na mwingine anaamua kuweka ukuta kwenye dirisha la jirani na bwana ardhi hana ubavu maana kapewa hela
Sasa hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku na kuna watu wengi wanaona sawa tu
Sheria hazifuatwi ni virugu tu sio nchi tena limekuwa soko