Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?


Nimeiona hii katika Tweeter Account ya Wakili maarufu Jebra Kambole ambaye ' actually ' ndiyo ameandika hivi na hapa tena naiona ID yenye mwanzo wa herufi ' Je ' hivyo nikijiongeza mwenyewe ' Kimoyomoyo ' naweza kupata jibu ' mujarab ' kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Na nitafanya tena 2020 mwezi wa kumi tarehe tajwa na NEC.
Sijawahi jutia maamuzi yangu
Viva Magufuli.
 
Na CCM nao lazima wafurahi maana hawasumbuliwi tena kujibu hoja za wapinzani majukwaani toka kila kona ya nchi na wabunge wa upinzani wanahamia kwao
 
Siku hii niliota Magufuli anadondoka kutoka ghorofani, lakini kitu cha kushangaza akafika anasimama!
Sikujua maana ya ile ndoto ila alipotangazwa na kuanza kutawala ndipo nikaelewa.
Kwa iyo ndoto yako tafsir yake alishndwa kiualisia ndo maana ya kuanguka kutoka ghorofan ila kwa "muujiza wa IT" kashnda au?
 
Ipiiii
 
Ndiyo tulimtoa fisadi kwenye ramani ya siasa

Watanzania walifanya maamuzi ya hekima kumkataa Lowassa na kumsimika Magufuli. Bado naamini ulikuwa uamuzi sahiii kwani amekuja na operesheni safisha nchi"
Ilikuwa lazima kumshtukia Edward kwani alionekana "anapenda saaaaaaaaaana kwenda Ikulu" Hafai hata 2020.
Poleni timu Lowassa pamoja na kumlamba sana miguu EL mwaka 2015, uDC, u Salva na vyeo vingine mtaendelea kuvisikia kwenye u.tube!!! Mtapata taaabu sana! Kweli mkamia maji hayanywi. Hongera Jakaya kwa kukata mzizi wa fitina....
 
Hilo li laana limekuangukia wewe na kizazi chako milele yote walahi
Mwenye Enzi Mungu huwa hadhihakiwi walahi
 
Yule fisadi
 
Natembea kifua mbele walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…