GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tarehe kama ya leo tulifanya maamuzi ya kidemokrasia kama taifa katika uchaguzi mkuu na kupata serikali iliyoko madarakani sasa. Je wewe mdau wa maendeleo ya taifa lako unasemaje, unatembea kifua mbele na kujipongeza kwa uchaguzi wako kwa kutumia kura yako ama unajutia kwa kupeleka kura yako ulikoipiga,
Nimeiona hii katika Tweeter Account ya Wakili maarufu Jebra Kambole ambaye ' actually ' ndiyo ameandika hivi na hapa tena naiona ID yenye mwanzo wa herufi ' Je ' hivyo nikijiongeza mwenyewe ' Kimoyomoyo ' naweza kupata jibu ' mujarab ' kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.