Hohohooo mkuu mbona kama unaomboleza kwani trh kama ya Leo kunamtu alikufa?Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha
Mnakumbuka?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ndio hiyo.
View attachment 910048
Hapana tulipata jembeHohohooo mkuu mbona kama unaomboleza kwani trh kama ya Leo kunamtu alikufa?
Haswaaaa hakika maamuzi yetu yalikua sahihiHapana tulipata jembe
SanaHaswaaaa hakika maamuzi yetu yalikua sahihi
Zitto ndo mshambaTumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni_ Zitto
Nani anaomboleza??Hohohooo mkuu mbona kama unaomboleza kwani trh kama ya Leo kunamtu alikufa?
#kunguniwaulayaNani anaomboleza??
Akili ya kushikiliwaWenye akili tunaona matokeo na tunajivunia.
Hiyo picha ya avatar yako mhusika anatakiwa kutekwa, hafai kuwa bungeniZitto ndo mshamba
Mkuu sana Gentamycine nadhani ni coincidence za herufi tu kwenye hayo majina!Nimeiona hii katika Tweeter Account ya Wakili maarufu Jebra Kambole ambaye ' actually ' ndiyo ameandika hivi na hapa tena naiona ID yenye mwanzo wa herufi ' Je ' hivyo nikijiongeza mwenyewe ' Kimoyomoyo ' naweza kupata jibu ' mujarab ' kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
SigusikiHiyo picha ya avatar yako mhusika anatakiwa kutekwa, hafai kuwa bungeni
JOKA LA MAKENGE
Na nyie vichaa was mirembe mnapata raha sanaWavivu Na Matapeli wanapata Tabu Sana
Mkuu sana Gentamycine nadhani ni coincidence za herufi tu kwenye hayo majina!
Jamani mtu akijuta na kutubu kwa makosa aliyoyafanya huwa anasamehewa. Sasa sisi wenzenu tulipomwona akipiga push up na usoni alionekana kama binadamu. Bahati mbaya tukamchagua. Mtusamehe jamani, tunajuta na binafsi sitarudia makosa hata kama nitakayemchagua hata shinda. Ni afadhani mtu akunyanyase na kukufedhehesha lakini ukijua hukumchagua haiumi sana. Najua nitakayemchagua 2020 anaweza asitangazwe mshindi lakini potelea mbali nitakuwa na amani ya moyo kuliko majuto haya niliyonayo sasa. Maana kila huyu jamaa anapoumiza mtu fulani mimi naumia kwamba nilichangia kumweka kwenye hayo madaraka ya kuumiza watu. Sitaki hili linitokee tena! Nimegundua waweza kuwa na kila kila na vyeo vyote lakini ukikosa amani ya moyo ni mbaya sana!Hilo li laana limekuangukia wewe na kizazi chako milele yote walahi
Mwenye Enzi Mungu huwa hadhihakiwi walahi
Najuta sana! Najuta sana! najuta sana! Kila anapoumiza watu najiona nami nimechangia kuwaumiza kwa kumpa kura yangu. Sirudii tena. Najua nitakayemchagua 2020 anaweza asitangazwe mshindi lakini nitakuwa nimepata amani ya moyo. Kuumiza watu ni laana. Hii laana itamtafuna yeye na kizazi chake. Jitu gani hili lisilo na ubinadamu? Halafu bahati mbaya siku hizi NEC haijisumbui hata kuhesabu kura bali inamtangaza tu yule waliyeagizwa atangazwe.Kwahiyo mkuu unajuta ulikopeleka kura yako,