Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Tarehe kama ya leo Oktoba 25, 2015 tulipiga kura na kuchagua haya maisha, mnakumbuka?

Nimeiona hii katika Tweeter Account ya Wakili maarufu Jebra Kambole ambaye ' actually ' ndiyo ameandika hivi na hapa tena naiona ID yenye mwanzo wa herufi ' Je ' hivyo nikijiongeza mwenyewe ' Kimoyomoyo ' naweza kupata jibu ' mujarab ' kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu sana Gentamycine nadhani ni coincidence za herufi tu kwenye hayo majina!
 
Hilo li laana limekuangukia wewe na kizazi chako milele yote walahi
Mwenye Enzi Mungu huwa hadhihakiwi walahi
Jamani mtu akijuta na kutubu kwa makosa aliyoyafanya huwa anasamehewa. Sasa sisi wenzenu tulipomwona akipiga push up na usoni alionekana kama binadamu. Bahati mbaya tukamchagua. Mtusamehe jamani, tunajuta na binafsi sitarudia makosa hata kama nitakayemchagua hata shinda. Ni afadhani mtu akunyanyase na kukufedhehesha lakini ukijua hukumchagua haiumi sana. Najua nitakayemchagua 2020 anaweza asitangazwe mshindi lakini potelea mbali nitakuwa na amani ya moyo kuliko majuto haya niliyonayo sasa. Maana kila huyu jamaa anapoumiza mtu fulani mimi naumia kwamba nilichangia kumweka kwenye hayo madaraka ya kuumiza watu. Sitaki hili linitokee tena! Nimegundua waweza kuwa na kila kila na vyeo vyote lakini ukikosa amani ya moyo ni mbaya sana!
 
Kwahiyo mkuu unajuta ulikopeleka kura yako,
Najuta sana! Najuta sana! najuta sana! Kila anapoumiza watu najiona nami nimechangia kuwaumiza kwa kumpa kura yangu. Sirudii tena. Najua nitakayemchagua 2020 anaweza asitangazwe mshindi lakini nitakuwa nimepata amani ya moyo. Kuumiza watu ni laana. Hii laana itamtafuna yeye na kizazi chake. Jitu gani hili lisilo na ubinadamu? Halafu bahati mbaya siku hizi NEC haijisumbui hata kuhesabu kura bali inamtangaza tu yule waliyeagizwa atangazwe.

"Nikulipe mshahara, nikupe nyumba ya kuishi na gari halafu umtangaze mpinzani kashinda..hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hapo ujue kazi imekushinda"
 
Ninyi nyote mnaolaumu uongozi uliopo madarakani ni wenye mavyeti feki na wapiga dili, tena mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom