Tatizo hawakufanya Pre match meeting ndi ilipelekea timu kuvaa jezi zinazo fanana . mwaka 1972 hakuna timu inaweza kucheza kwa kukosa jezi. Kwa hakika wewe mbumbu fc.Tunazungumzia uhaba wa vifaa. Kuwa miaka ya nyuma hakuna, sasa kama jezi zilifanana kwa fikra zako, si kuna jezi ya away na nyumbani.
Si angebadili rangi tu. Tatizo lipo pale pale uhaba wa vifaa vya michezo.
Ikiwa hujui hilo, utajua kweli kwanini mnaitwa Gongowazi? Au Ndala?
Kwahivyo miaka ya 1972 kushuka chini ndo nyie Vyura mlikosa viatu na jezi?Tatizo hawakufanya Pre match meeting ndi ilipelekea timu kuvaa jezi zinazo fanana . mwaka 1972 hakuna timu inaweza kucheza kwa kukosa jezi. Kwa hakika wewe mbumbu fc.
Ha ha haMkuu ikifika ile Tarehe ambayo Mikia walitia mpira kwapani Timu zilipoenda mapumziko match ya Yanga,nishtue.
Ha ha ha we jamaa yaani ilikuwa simba wakati huo ikiitwa Sunderland!!!Nimejibu kuwa Simba. Wakati huo ikiitwa Sunderland..
Au hujui kuwa kabla ya kuitwa Simba ilikuwa ikiitwa Sunderland?
Kadanganya nini sasa,hawakucheza vifua wazi? Si jambo la ajabu?Mwaka 72 Shida ilikua jezi zimefanana na mwenyeji ikaonekana busara avue jez, wacheze tumbo wazi alafu ulikua mchezo wa kirafiki. Baada ya mapumziko zikaletwa jezi nyingine waka zivaa. Kwaiyo ndugu usidanganye watu ukifikiri wote ni mbumbu fc.
Ha ha ha mkuu yote tutayaleta. Ngoja kwanzaNdugu mleta mada inaonyesha unakumbukumbu sana. Tukumbushe na tukio la Simba kula kichapo cha kutosha kipindi cha kwanza na kutokomea jumla kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati Wa mapumziko. Ilikuwa ni mwaka gani?
Binamu simba ni team ya vibaraka toka enzi, kwa miaka hiyo Mtanganyika hakuna na uwezo wa kununua viatuMtani nakuona tu unavyotaka kututoa kwenye mstari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia niseme ilikuwa zamani hiyo na kitu ka hiyo haiwezi jirudia tena.
πππππ Aiseeeee.Binamu simba ni team ya vibaraka toka enzi, kwa miaka hiyo Mtanganyika hakuna na uwezo wa kununua viatu
Binamu mm mzima, hapa nasubiri ushindi wa kesho Simba 1-3 Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeeee.
Mzima lakini binamu?
Ewaaaaaaa. Wacha nikazie kwenye hayo matokea Binamu.Binamu mm mzima, hapa nasubiri ushindi wa kesho Simba 1-3 Yanga
Mama Samsung mwana Yanga mwenzangu kesho mapema kunywa mchemsho wa Supu hapo canteen ya jirani nikipita nakuja lipa waambie bili ya Zero Iq A.K.A mr Teki nooooo.Ewaaaaaaa. Wacha nikazie kwenye hayo matokea Binamu.
Hawataamini.
Hawawezi kuchomokaEwaaaaaaa. Wacha nikazie kwenye hayo matokea Binamu.
Hawataamini.
ππππ nzuri hii Baba Tecno yaani kesho asubuhi Chap nakwenda aiseee ili niliweke sawa koo kwa ajili ya jioni.Mama Samsung mwana Yanga mwenzangu kesho mapema kunywa mchemsho wa Supu hapo canteen ya jirani nikipita nakuja lipa waambie bili ya Zero Iq A.K.A mr Teki nooooo.
Umeonaeee. Sababu wanasahau game za simba na Yanga hazitabiriki.Hawawezi kuchomoka
KabisaaUmeonaeee. Sababu wanasahau game za simba na Yanga hazitabiriki.
Yaani saa hio hakuna habari ya kikosi cha bilioni ngapi sijui.