Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Tunazungumzia uhaba wa vifaa. Kuwa miaka ya nyuma hakuna, sasa kama jezi zilifanana kwa fikra zako, si kuna jezi ya away na nyumbani.

Si angebadili rangi tu. Tatizo lipo pale pale uhaba wa vifaa vya michezo.

Ikiwa hujui hilo, utajua kweli kwanini mnaitwa Gongowazi? Au Ndala?
Tatizo hawakufanya Pre match meeting ndi ilipelekea timu kuvaa jezi zinazo fanana . mwaka 1972 hakuna timu inaweza kucheza kwa kukosa jezi. Kwa hakika wewe mbumbu fc.
 
Tatizo hawakufanya Pre match meeting ndi ilipelekea timu kuvaa jezi zinazo fanana . mwaka 1972 hakuna timu inaweza kucheza kwa kukosa jezi. Kwa hakika wewe mbumbu fc.
Kwahivyo miaka ya 1972 kushuka chini ndo nyie Vyura mlikosa viatu na jezi?
 
mwaka 1972 hakuna timu inaweza kucheza kwa kukosa au viatu jezi.

Kwahivyo unakubali kuwa kuna miaka klabu zilikosa jezi?

Mbona hueleweki wewe chura? Sasa ulikuwa unashangaa nini!
 
Mwaka 72 Shida ilikua jezi zimefanana na mwenyeji ikaonekana busara avue jez, wacheze tumbo wazi alafu ulikua mchezo wa kirafiki. Baada ya mapumziko zikaletwa jezi nyingine waka zivaa. Kwaiyo ndugu usidanganye watu ukifikiri wote ni mbumbu fc.
Kadanganya nini sasa,hawakucheza vifua wazi? Si jambo la ajabu?
 
Ndugu mleta mada inaonyesha unakumbukumbu sana. Tukumbushe na tukio la Simba kula kichapo cha kutosha kipindi cha kwanza na kutokomea jumla kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakati Wa mapumziko. Ilikuwa ni mwaka gani?
Ha ha ha mkuu yote tutayaleta. Ngoja kwanza
 
Mtani nakuona tu unavyotaka kututoa kwenye mstari. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pia niseme ilikuwa zamani hiyo na kitu ka hiyo haiwezi jirudia tena.
Binamu simba ni team ya vibaraka toka enzi, kwa miaka hiyo Mtanganyika hakuna na uwezo wa kununua viatu
 
Nitakuwepo Insha' Allah na huenda tukafanya kolabo la wakali kutoka Msimbazi sembo, Ghazwat kukuleteeni mtanange hapa JF kwa mara ya kwanza.

Usibonye kidude. Uangalie namna mnyama mkali mwituni akirarua vilivyo.
Ewaaaaaa. Hapo sawa Mtani.

Mie pia nitakuwepo tuone nani Mkali. 😜😜
 
Ewaaaaaaa. Wacha nikazie kwenye hayo matokea Binamu.

Hawataamini.
Mama Samsung mwana Yanga mwenzangu kesho mapema kunywa mchemsho wa Supu hapo canteen ya jirani nikipita nakuja lipa waambie bili ya Zero Iq A.K.A mr Teki nooooo.
 
Mama Samsung mwana Yanga mwenzangu kesho mapema kunywa mchemsho wa Supu hapo canteen ya jirani nikipita nakuja lipa waambie bili ya Zero Iq A.K.A mr Teki nooooo.
😂😂😂😂 nzuri hii Baba Tecno yaani kesho asubuhi Chap nakwenda aiseee ili niliweke sawa koo kwa ajili ya jioni.

Wataipata pata💃💃💃💃💃💃
 
Back
Top Bottom