Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Hakuna cha kujua hapa Mtani.

Game za Simba na Yanga zinajulikana bana yaani mara nyingi kinachotarajiwa sicho kinachotokea
Mmmhhhhh una uhakika wewe [emoji196] [emoji16] [emoji16]
 
Mimi nipo kamili gado ila wewe mtani utakumbuka kunitagi kweli wakati huo mkono wako unatetemeka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.

Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba muwage na adabu kwa Yanga. Yanga imewahi kukuokoeni mlipokaribia kushuka daraja.
 
Kipindi hiki hata mkienda kwa sangoma kipigo kiko palepale! [emoji375][emoji375][emoji375]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wacha nicheke tu.

Mlishaanza kuyumba game mbili mkawa mnatafutana.

Kesho mjiandae maana tutawayumbisha tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kujikaza wewe lol.

Mtani mtani Mtani. Haya lakini kesho sio mbali ujue.
Ni kweli sio mbali ila sidhani kama nyie mnatamani ifike au uwongo mtani[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.

Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh eti labda mtandao usumbue tayari nimeshapata jibu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…