Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Tarehe kama ya leo Yanga SC iligomea mchezo, kwa madai Simba SC kuvaa viatu vya mpira

Mimi nipo kamili gado ila wewe mtani utakumbuka kunitagi kweli wakati huo mkono wako unatetemeka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.

Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. 😂😂😂
 
Simba muwage na adabu kwa Yanga. Yanga imewahi kukuokoeni mlipokaribia kushuka daraja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kujikaza wewe lol.

Mtani mtani Mtani. Haya lakini kesho sio mbali ujue.
Ni kweli sio mbali ila sidhani kama nyie mnatamani ifike au uwongo mtani[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.

Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh eti labda mtandao usumbue tayari nimeshapata jibu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom