Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Basi mtani njooni hivohivo tu [emoji38]Halafu mtacheza na nani? Maana sisi ndio tunawapa jeuri ya kujifanya mnajua soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mtani njooni hivohivo tu [emoji38]Halafu mtacheza na nani? Maana sisi ndio tunawapa jeuri ya kujifanya mnajua soka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipo kamili gado ila wewe mtani utakumbuka kunitagi kweli wakati huo mkono wako unatetemeka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaaa. Naanzaje kuumwa Hajar Mieee kisa Simba. Duuh.
Yaani Mtani kesho ntakutag uje tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha kujua hapa Mtani.hahahahaa kwamba tunajifariji sio duuh inatisha na kufurahisha laiti mngejuaa..............
Kipindi hiki hata mkienda kwa sangoma kipigo kiko palepale! [emoji375][emoji375][emoji375]Naona watani zangu mnafarijiana.
aretasludovick , Ghazwat , Sapta Sapta na we naniliu kuku mweus kesho pia muwe na nguvu hizi hizi.
Na tutawapiga tu maana hakuna namna nyingineHilo haliwezi kutokea wasubiri tu kipondo [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu hata wasipooga waje tu kwenye karamu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi mtani njooni hivohivo tu [emoji38]
Hahaaaa. Tunaachaje kuja sasa wakati ushindi wetu Mtani.Basi mtani njooni hivohivo tu [emoji38]
Mimi mzima kabisa best habari ya weweHahaaaa. Tunaachaje kuja sasa wakati ushindi wetu Mtani.
Mzima lakini?
Mmmhhhhh una uhakika wewe [emoji196] [emoji16] [emoji16]Hakuna cha kujua hapa Mtani.
Game za Simba na Yanga zinajulikana bana yaani mara nyingi kinachotarajiwa sicho kinachotokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu hata wasipooga waje tu kwenye karamu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.Mimi nipo kamili gado ila wewe mtani utakumbuka kunitagi kweli wakati huo mkono wako unatetemeka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂😂 unajua kujikaza wewe lol.Kweli mkuu hata wasipooga waje tu kwenye karamu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂 wacha nicheke tu.Kipindi hiki hata mkienda kwa sangoma kipigo kiko palepale! [emoji375][emoji375][emoji375]
Ni kweli sio mbali ila sidhani kama nyie mnatamani ifike au uwongo mtani[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kujikaza wewe lol.
Mtani mtani Mtani. Haya lakini kesho sio mbali ujue.
Naona unasoma historia ya marehemu kazana mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Simba muwage na adabu kwa Yanga. Yanga imewahi kukuokoeni mlipokaribia kushuka daraja.
Yaani namhurumiaMkuu mtie moyo mtani wetu asijekuumwa akakosa kushuhudia hat-trick ya kagere [emoji23] [emoji23]
Mmhh eti labda mtandao usumbue tayari nimeshapata jibu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaa. Haujawahi tetemeka mkono wangu aiseee.
Sababu kikawaida Mtani najua mpira una matokea matatu hivyo kwa hali yeyote ile nitakuja tu labda mtandao usumbue. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Isije kuwa kinyume tu Mtani.
Inaonekana wewe ni mmoja wa wale wang'oa viti. Nakuona vile kesho utaenda na matokeo mfukoniNaona unasoma historia ya marehemu kazana mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]