Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa


Umenikmbusha mbaaaali... Baiolojia ya Form three, topiki ya Reproduction... hicho ulichokisema kimo kichwani hadi leo... uanaume noma!!!:A S tongue:
 
bRAVO BRAVO JF:A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Nimeelimika vya kutosha., tuendelee kuelimishana
 


Mwanamke akishusha engine I mean akitoa mimba zaidi ya mara 3 uwezekano wakupata mimba ni mdogo mno
 
Pia naomba wataalamu au wenye uzoefu wanijibu maswali yafuatayo:-

1. Yai la kike hukaa ndani ya fallopian tube kwa muda wa masaa mangapi kabla ya kufa/kuharibika kama haikufanikiwa kukutana na mbegu za kiume??

2. Mwanaume ana chromosome XY. Na hizi je huishi masaa au siku ngapi kama hazikufanikiwa kukutana na yai la kike? Kuna wengine wanasema Chromosome Y hukaa masaa 12, wengine wanasema hukaa mpaka masaa 48 kabla ya kufa. Na X wanadai hukaa masaa 72, wengine wanasema hukaa siku 4. Sasa jibu sahihi ni lipi?

Wenye uzoefu tafadhali.
 

kWELI KUNGURU.... NILIPATA ELIMU HOYO KTK BAIOLOJIA YA fORM THREE... NAKUMBUKA TULIMPA MSUKOSUKO WA MASWALI TICHA, ILA KILA MTU ALELWA VEMA HILO SOMO!!:smile-big:
 
Mbona watu wanachambua 22,28 na 35 day menstrual cycle vipi hawa wenye 26 na 27. je hali hii ni normal maana kuna demu alilalamika atasema miezi yake haipo stable huwa ina badilika kuna wakati anapata 26 day , 27 days wakati mwingine anapata 28 but huwa zinabadilika randomly.
 
Wana JF kuna watu najua wanahangaika kutafuta a Baby boy or a baby Girl without success, na tatizo kubwa kwa wengi ni kupata Baby boy, ila kuna tafiti za Kisayansi zinadhibitisha uwezekano mkubwa 50%-75% na hata 90% wa kupata mtoto wa jinsia unayemtaka wa Kiume au Kike, ukifuta taratibu zifuatazo, na wote tunaweza, ni timing kati ya baba na mama, utafiti unaonyesha pia wanaume wanaofanya Sex mara nyingi uwezekano wao wa kupata mtoto wa kiume ni mdogo,READ THIS na wasaidie wengine
 
mara nyingi kwa siku au mwezi au mwaka?

unaweza kujibana atleast hata 2 weeks au 18 days kutofanya mapenzi na kula vyakula vyenye afya then una time cycle ya mama/mkeo then
kama unataka mtoto wa kiume uwezekano ni mkubwa sana
 
unaweza kujibana atleast hata 2 weeks au 18 days kutofanya mapenzi na kula vyakula vyenye afya then una time cycle ya mama/mkeo then
kama unataka mtoto wa kiume uwezekano ni mkubwa sana
Asante ndugu Rais, hapa nimepata ung'avu sasa
 
Nimeipenda we kweli ni pridaa wa ukweli kama ndugu yetu Dokta Slaa. Hpe I'll work on it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…