Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

naomba kuongeza hapo.mbezu za kiume zinazoweza kutoa mtoto wa kiume huweza kukaa muda wa masaa 48.na zinazoweza kutoa mtoto wa kike hukaa masaa 72.kwa hiyo toka siku ya 11 mpaka siku ya 14 yai linapokuwa released ni masaa 72.KWA HIYO BASI,kama wataka mtoto wa kike wapaswa kufanya tendo la ndoa siku ya 11 au 12 maana mbegu za kutoa mtoto wa kiume zinakuwa zimeishiwa nguvu kabisa ifikapo siku ya 14 na za kike zitakuwa bado zina dunda .ila kwa siku ya 13,14 yenyewe ukifanya tendo la ndoa mara nyingi posibility ya kupata mtoto wa kiume ni kubwa maana speed ya mbegu zitoazo mtoto wa kiume ni kubwa kuliko zitoazo mtoto wa kike.na itakuwa ni ndani ya masaa 48 .

Umenikmbusha mbaaaali... Baiolojia ya Form three, topiki ya Reproduction... hicho ulichokisema kimo kichwani hadi leo... uanaume noma!!!:A S tongue:
 
bRAVO BRAVO JF:A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Nimeelimika vya kutosha., tuendelee kuelimishana
 
Hongera sana kwa mleta mada, jamani nimepitia hoja zote na nimekutana na hoja kama mbili zenye matatizo kama yangu. Ningependa kupata masaada maana nimekuwa nijaribu sasa ni kama 6 months ku concieve na nimeshindwa kabisa na nipo kwenye ndoa ni one year sasa. Ila huko nyuma kabla ya huyu bwana nilishashushaga engine kama mara 6 hivi. Je inamaanisha mayai yameisha au vipi! Mzunguko wangu kwa kweli ni wa mawengemawenge, maana sina mzunguko maalum (mfupi wala mrefu), unakuwa mara siku 22, next months 24 the other 20...25....32..and so on.


Mwanamke akishusha engine I mean akitoa mimba zaidi ya mara 3 uwezekano wakupata mimba ni mdogo mno
 
Pia naomba wataalamu au wenye uzoefu wanijibu maswali yafuatayo:-

1. Yai la kike hukaa ndani ya fallopian tube kwa muda wa masaa mangapi kabla ya kufa/kuharibika kama haikufanikiwa kukutana na mbegu za kiume??

2. Mwanaume ana chromosome XY. Na hizi je huishi masaa au siku ngapi kama hazikufanikiwa kukutana na yai la kike? Kuna wengine wanasema Chromosome Y hukaa masaa 12, wengine wanasema hukaa mpaka masaa 48 kabla ya kufa. Na X wanadai hukaa masaa 72, wengine wanasema hukaa siku 4. Sasa jibu sahihi ni lipi?

Wenye uzoefu tafadhali.
 
Mkuu Mr. Kiroboto,

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:

1st
, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed!


4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama kawaida:

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th.

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba!

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili linakuwa tayari kurutubishwa!

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!

Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao!

kWELI KUNGURU.... NILIPATA ELIMU HOYO KTK BAIOLOJIA YA fORM THREE... NAKUMBUKA TULIMPA MSUKOSUKO WA MASWALI TICHA, ILA KILA MTU ALELWA VEMA HILO SOMO!!:smile-big:
 
Mbona watu wanachambua 22,28 na 35 day menstrual cycle vipi hawa wenye 26 na 27. je hali hii ni normal maana kuna demu alilalamika atasema miezi yake haipo stable huwa ina badilika kuna wakati anapata 26 day , 27 days wakati mwingine anapata 28 but huwa zinabadilika randomly.
 
Wana JF kuna watu najua wanahangaika kutafuta a Baby boy or a baby Girl without success, na tatizo kubwa kwa wengi ni kupata Baby boy, ila kuna tafiti za Kisayansi zinadhibitisha uwezekano mkubwa 50%-75% na hata 90% wa kupata mtoto wa jinsia unayemtaka wa Kiume au Kike, ukifuta taratibu zifuatazo, na wote tunaweza, ni timing kati ya baba na mama, utafiti unaonyesha pia wanaume wanaofanya Sex mara nyingi uwezekano wao wa kupata mtoto wa kiume ni mdogo,READ THIS na wasaidie wengine
 
mara nyingi kwa siku au mwezi au mwaka?

unaweza kujibana atleast hata 2 weeks au 18 days kutofanya mapenzi na kula vyakula vyenye afya then una time cycle ya mama/mkeo then
kama unataka mtoto wa kiume uwezekano ni mkubwa sana
 
unaweza kujibana atleast hata 2 weeks au 18 days kutofanya mapenzi na kula vyakula vyenye afya then una time cycle ya mama/mkeo then
kama unataka mtoto wa kiume uwezekano ni mkubwa sana
Asante ndugu Rais, hapa nimepata ung'avu sasa
 
Nimeipenda we kweli ni pridaa wa ukweli kama ndugu yetu Dokta Slaa. Hpe I'll work on it
 
Back
Top Bottom