Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia

Nime mufundisha Dawa za kienyeji unasema huu ni ushirikina unaweza towa ushahidi kama huo ni ushirikina?Ningemwambia Atumie Dawa ya Asprin na panadol ungeniunga mkono namwambia atumie dawa zetu za Asili unasema huo ni ushirikina unakumbuka Enzi za mababu zetu walikuwa wanatumia dawa za miti shamba na walikuwa na Afya nzuri kuliko vijana wa siku hizi wanaotumia Sindano. Ama kweli Waswahili husema Miafrika Bwana ndivyo ilivyo Tuamkeni Dawa za kizungu zikiwa hazifanyi kazi tutumie dawa za kiasili jamani tuacheni ujinga tuamkeni.Mbona huu kama ushirikina shirikina hivi? Sometimes wanaume ndio wanakuwa na issue- mbegu kukosa mikia etc katika mazingira kama haya, and it is very difficult to detect unless you go to a very good specialist.
Kama ni ushirikina towa ushauri wako na wewe usiropoke kama ulielewa pombe mkuuuNo ni ushirikina 100%.
Sio Uganga hiyo ni Sayansi ya kiswahili Mkuu nendeni shule mkajifunze Sayansi ya kiswahili Amkeni jamani.
Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia
pole sana muombeni mungu atawasaidia msikate tamaa, mtangulizeni mungu kwa kila jambo hakuna linalo shindikana kwake
Hashiki mimba kwa sababu imesawa affect kisaikologia! mkiwa mnado mnafikiria mimba tuu! hebu mreluxe bwana mimba itashika tuu...mbona mapema sana. Kuweni na imani na Mungu atawasaidia tuu...by the way angalia usikute mambo yako ni mkono wa tembo yawe yamesogeza kizazi...
Mkuu mda wa Miaka 2, kwa maoni yangu ni muda mdogo sana ndani ya ndoa, mimi nilioa na nikakaa kwa muda wa takriban miaka 3, hali ilikuwa kama ya kwako, kwa upande wangu tulipokwenda kwenye vipimo mimi na mama yenu, tatizo lilikutwa kwangu, nikapewa rufaa kwenda jijini Dar es Salaam, na baada ya matibabu mambo yalienda sawa tatizo liliondoka , Daktari aliyenipa tiba anapatikana pale Tumaini Hospitl Upanga anaitwa Dr. Kapona nakushauri uende kumuona Mwenyezi Mungu atajaalia afungue na aondoe matatizo uliyonayo Mkuu Pole sana.
Asante sana kwa aliyetoa hii thread maaa ametusaidia na wengine, naomba muendelee kuchangia kwa hekima wengi tuna hilo tatizo jamani
Maadamu mumeambiwa na doctor kwamba hamuna matatizo ya uzazi muwe na subira na mzidi kumwomba mungu. Mimi nina mfano hai ya watu waliokuwa na tatizo kama lako kwa mujibu wa maelezo yako. Mdogo wa mke wangu alikaa miaka mitatu bila kupata mimba. Tuka arrange waje DSM toka mikoani wanapoishi kwa ajili ya kwenda kumwona doctor hapo Muhimbili tuliyemwelezea tatizo lao. Walipofika hapa DSM wakiwa wamechelewa kidogo doctor akawa amepata safari ya kikazi ya muda wa mwezi moja huko Norway hivyo akatushauri tumsubiri mpaka arudi. Huwezi kuamini, ule muda wa mwezi moja waliokaa DSM wakimsubiri doctor, huyo mama akapata mimba. Mpaka sasa wana watoto watano. Ilionekana waliadhirika kisaikolojia na mazingira tu. JARIBUNI KUPUNGUZA WASIWASI NA MBADILISHE HALI YA HEWA MAMBO YATAJIPA TU. POLE SANA
Pole sana jamaa yangu. Mi sio Doctor ila nina kaushauri tu. Kuna mazingira amabayo huwa yanaruhusu mama kupata mimba. Mimba ni kupanga na zaidi mimba hupatika kwa furaha na sio kwenye maudhi. Jiandaeni kutengeneza mimba. Inawezekana kuna mazingira ambayo hayamfurahishi mmoja wenu. Inawezekana kuna hisia kati yenu kuwa huyo atakeyezaliwa atakuwaje, atalelewaje nk. Pia hata ulevi, uvutaji uliokithiri unaweza sababisha upatikanaji wa mimba kuwa mashakani. Msukumo wa familia moja nao ni factor nyingine. Kama mnakiri kuwa nyote mko sawa na kweli mko sawa, basi chunguzeni kasoro zenu, kukosekana kwa upendo wa dhati, ulevi, uvutaji,majivuno ya mmoja wenu na hata kutokuwa na imani na mwenzako na mambo kama hayo. Ukigundua kasoro yoyote ama bibi ama wewe basi ifanyie kazi. Tulizeni mawazo jadilianeni kwa pamoja kuhusu hilo then mtaamua sasa mnataka nini. Mimi naamini ninyi ndo wa kuamua kupata hiyo mimba ama la. Kusiwepo wa kumlaumu mwenzake hapo mtaanzisha malumbanao ambayao hamtamaliza mpaka mnazeeka.
Angalieni msije mkadanganyika na kalumanzira eti wana dawa! Mtapotea bureee. Mwisho mtangulizeni Mungu zaidi kwa kila jambo.
Kila la kheri Boflo
nime mufundisha Dawa
za kienyeji unasema huu ni ushirikina unaweza towa ushahidi kama huo ni ushirikina?Ningemwambia Atumie Dawa ya Asprin na panadol ungeniunga mkono namwambia atumie dawa zetu za Asili unasema huo ni ushirikina unakumbuka Enzi za mababu zetu walikuwa wanatumia Dawa za miti shamba na walikuwa na Afya nzuri kuliko vijana wa siku hizi wanaotumia Sindano.Ama kweli waswahili husema Miafrika Bwana ndivyo ilivyo Tuamkeni Dawa za kizungu zikiwa hazifanyi kazi tutumie dawa za kiasili jamani tuacheni ujinga tuamkeni .
Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia.
What is meaning of Usangoma.? nini maana ya Usangoma.?Hayo ni majina tu, lakini maana ni ile ile Usangoma.
Maziwa ya Farasi yanapatikana kama yupo Dar yanapatikana Jeshini aende kwenye kambi ya Jeshi atapata.Hebu soma ushauri wako na uutolee majibu ni wapi unafiti dawa za kienyeji kama si ushirikina. Hasa jibu hiyo bold. Where does it fit katika dawa za kienyeji kama si ushirikina.
Maziwa ya farasi kwa mbongo atoe wapi-mweleze wapi yanapatikana. au ndiyo wale wale wa kalete panya wa rangi ya manjano!!!!!
Mimi sio Mganga lakini mimi ni M Scientist wa Dawa za Kienyeji ukiwa na Tatizo lolote lililoshindikana hospitalini nione mimi nitakupa ushauri wangu au niandikie email yangu ni hi hapa (fewgoodman@hotmail.com) nitakusaidia tu.mmmmh we mganga wa kienyeji au?
Inategeme pia staili unayotumia kukutana na mwenzi wako wa ndoa, kama wataalamu wanasema nyote hamna shida, jaribu kuzingatia ni muda gani mwenzio anakuwa kwenye ovulation ndo muanze kazi ya uumbaji, isijekuwa tarehe zina wachenga. Ushauri wa mzizi mkavu inabidi atupe ushahidi kidogo ( evidence base) ili kuupa uzito, isije kuwa ana wafanya ninyi ndo 'guinea pigs'.