Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Boflo,

Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia
 
huu uganga au kitu gani?
 
Mbona huu kama ushirikina shirikina hivi? Sometimes wanaume ndio wanakuwa na issue- mbegu kukosa mikia etc katika mazingira kama haya, and it is very difficult to detect unless you go to a very good specialist.
 
Ushauri sawa na nguvu za giza!!!
Hebu tupe scientific explanations to the treatment!??
 
Pole, kuna jamaa alikuwa na tatizo kama lako na akalipost kwenye Net, na baadhi ya ushauri alopata kama kiingereza kinapanda basi fuata haya. Sorry, nimeshindwa kutafsiri kwasababu ya kukosa muda manake mwenzenu kwasasa niko kwenye end of trimester/semister exams.

1. If you're healthy, haven't started trying (and are therefore unaware of a problem), the primary strategy you need is HAVE A LOT OF SEX. You don't need to mess with the fertility stuff until you've been unsuccessful for a year of regular, unprotected sex. (Six months if you're nearer the end of your lifetime fertility.)

2. Have lots of sex, but don't let sex become a chore. Pay attention to your cycle's timing, but don't really worry about getting pregnant each month, and don't buy pregnancy tests until you have a reason to test. Keeping those in the house will only make you anxious.

3. Enjoy sex. Have fun. Don't make it a duty.
And during the miserable two week wait each month, if you're an anxious sort of person, do whatever it takes to take your mind off of testing. And don't test too early. Really wait a full 14 - 17 days before you test so the first one or two days are bound to be accurate.

4. There is so much focus on infertility these days that its hard to remember that for most people its just not that hard.
5. Unless you have reason to believe you're going to have difficulity, just stop worrying about it and enjoy the ride

6. Do. Not. Stress.
7. I can understand the desire to want to control it a little, timing wise, which is probably what you're after with the studying-up and the charting and all

8. Mostly though, this is one of those things where there's nothing much to think about until it's been a year or so and you haven't managed to conceive. Take prenatals, make sure to be getting enough folic acid which is known to prevent certain birth defects (and which some experts recommend should be taken by all women of childbearing age, just in case, even when there's minimal chance of conception). Otherwise, just enjoy the ride. It's a pretty exciting one.

9. Sounds like this will be your first pregnancy. Given that you're young and that you haven't disclosed any reason to think you'll have any difficulty in getting pregnant, I think the advice you're looking for here is "screw like rabbits."

10. The thing you both need to do now is make sure you are healthy. You should both abstain from alcohol and any other recreational substances
11. If sex with no extraordinary intervention doesn't do it, and you think there's a problem, talk to your ob/gyn. A sonogram, read by a good ob (especially a "fertility specialist"), can tell exactly where your egg is *right now*, which temperature can't. The doctor can then tell you when to have sex for the best chances of fertilization. And yes, I've heard stories of couples being ordered to go home and get busy immediately

12. You may want to try some of the MedHelp fertility boards but note 95% of those people are in infertility treatments but still, trying to have a baby and the rollercoaster of frustration and emotions can get to you. Reach out and talk with people going through the baby process. It does help. They do talk about cervical mucus, ovulation, etc. the same as any non-infertile person goes through.
 
Mbona huu kama ushirikina shirikina hivi? Sometimes wanaume ndio wanakuwa na issue- mbegu kukosa mikia etc katika mazingira kama haya, and it is very difficult to detect unless you go to a very good specialist.
Nime mufundisha Dawa za kienyeji unasema huu ni ushirikina unaweza towa ushahidi kama huo ni ushirikina?Ningemwambia Atumie Dawa ya Asprin na panadol ungeniunga mkono namwambia atumie dawa zetu za Asili unasema huo ni ushirikina unakumbuka Enzi za mababu zetu walikuwa wanatumia dawa za miti shamba na walikuwa na Afya nzuri kuliko vijana wa siku hizi wanaotumia Sindano. Ama kweli Waswahili husema Miafrika Bwana ndivyo ilivyo Tuamkeni Dawa za kizungu zikiwa hazifanyi kazi tutumie dawa za kiasili jamani tuacheni ujinga tuamkeni.
 
Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia

Mzizi mkavu nahisi unatania lakini kama ni kweli unaweza kuona watu wanavyodharau dawa za asili. VIkija vidonge vya kumeza vyeme maziwa ya Farasi kutoka London hapo watu hawahoji. Akiambiwa kajaribu dawa fulani ya pharmacy yenye mchanganyiko labda wa hayo mayai wala hatujiulizia mara mbili.

WAnaosoma ni ushirikina waseme babu zetu au bibi zetu waliweza kuzaa watoto mpaka kumi tena bila mkasi ena bila kwenda hospitali je walikuwa ni washirikina. Siku hizi naona wanawake kuzaa lazima wapigwe mikasi. Lets lerna to appreaciate our culture, custom belief and taboo.zina nafasi katika jamaii tunayoishi.
 
Hizi issue zinanifanya nikumbuke suala la jingine la gongo kuharamishwa .sioni mantiki . Serikali makini ilitakiwa iwawezeshe watu wa vijijini wanaotakawatenengeze hiyo kinywaji kwa viwango. sio kukurupuka kuhukumu kuwa ni haramu wakati Tanzania distilarie wanatengeneza konyagi. Ni kuua UBINIFU na na kukandamiza bidhaa zenye ORIGIN yetu wenyewe.

Kumbe sisi waafrika wenyewe tunauwa na kuukandamiza ubunifu wetu. Hatuna chetu sisi ni watumiaji wa bidhaa ziliztongenezwa na wao. Usafiri (Ndege, Treni BAsi), Dawa nk. Yaani mwatu wamekubali tuwe end user wa kila kitu.

Kuna wagonjwa hata uko ulaya wakwenda kutibiwa china kwa hizo njia wanazooita za kienyeji.Just because wachina hawa kuingore njia zao za kitabibu.
 
Pole sana boflo. inaonekana siku hizi watu wana stress sana za maisha. Nakushauri unapomega tunda wala usiwaze mimba wala nini, wewe enjoy ndoa yako tu. Utashangaa maajabu ya Mungu. Mimi hapa najiandaa kufunga uzazi kutokana na watoto wanazidi kuongezeka kila kukicha.
Kama wenzangu walivyoshauri, inakubidi uchukue likizo uende sehemu ambayo utapata utulivu wa moyo. Diet also is very important.
 
Boflo,

Kabla ya kumuoa ungefanya pretest kama ni productive hii imekula kwako.

Kbala
 
pole sana muombeni mungu atawasaidia msikate tamaa, mtangulizeni mungu kwa kila jambo hakuna linalo shindikana kwake

Hashiki mimba kwa sababu imesawa affect kisaikologia! mkiwa mnado mnafikiria mimba tuu! hebu mreluxe bwana mimba itashika tuu...mbona mapema sana. Kuweni na imani na Mungu atawasaidia tuu...by the way angalia usikute mambo yako ni mkono wa tembo yawe yamesogeza kizazi...

Mkuu mda wa Miaka 2, kwa maoni yangu ni muda mdogo sana ndani ya ndoa, mimi nilioa na nikakaa kwa muda wa takriban miaka 3, hali ilikuwa kama ya kwako, kwa upande wangu tulipokwenda kwenye vipimo mimi na mama yenu, tatizo lilikutwa kwangu, nikapewa rufaa kwenda jijini Dar es Salaam, na baada ya matibabu mambo yalienda sawa tatizo liliondoka , Daktari aliyenipa tiba anapatikana pale Tumaini Hospitl Upanga anaitwa Dr. Kapona nakushauri uende kumuona Mwenyezi Mungu atajaalia afungue na aondoe matatizo uliyonayo Mkuu Pole sana.

Asante sana kwa aliyetoa hii thread maaa ametusaidia na wengine, naomba muendelee kuchangia kwa hekima wengi tuna hilo tatizo jamani

Maadamu mumeambiwa na doctor kwamba hamuna matatizo ya uzazi muwe na subira na mzidi kumwomba mungu. Mimi nina mfano hai ya watu waliokuwa na tatizo kama lako kwa mujibu wa maelezo yako. Mdogo wa mke wangu alikaa miaka mitatu bila kupata mimba. Tuka arrange waje DSM toka mikoani wanapoishi kwa ajili ya kwenda kumwona doctor hapo Muhimbili tuliyemwelezea tatizo lao. Walipofika hapa DSM wakiwa wamechelewa kidogo doctor akawa amepata safari ya kikazi ya muda wa mwezi moja huko Norway hivyo akatushauri tumsubiri mpaka arudi. Huwezi kuamini, ule muda wa mwezi moja waliokaa DSM wakimsubiri doctor, huyo mama akapata mimba. Mpaka sasa wana watoto watano. Ilionekana waliadhirika kisaikolojia na mazingira tu. JARIBUNI KUPUNGUZA WASIWASI NA MBADILISHE HALI YA HEWA MAMBO YATAJIPA TU. POLE SANA

Pole sana jamaa yangu. Mi sio Doctor ila nina kaushauri tu. Kuna mazingira amabayo huwa yanaruhusu mama kupata mimba. Mimba ni kupanga na zaidi mimba hupatika kwa furaha na sio kwenye maudhi. Jiandaeni kutengeneza mimba. Inawezekana kuna mazingira ambayo hayamfurahishi mmoja wenu. Inawezekana kuna hisia kati yenu kuwa huyo atakeyezaliwa atakuwaje, atalelewaje nk. Pia hata ulevi, uvutaji uliokithiri unaweza sababisha upatikanaji wa mimba kuwa mashakani. Msukumo wa familia moja nao ni factor nyingine. Kama mnakiri kuwa nyote mko sawa na kweli mko sawa, basi chunguzeni kasoro zenu, kukosekana kwa upendo wa dhati, ulevi, uvutaji,majivuno ya mmoja wenu na hata kutokuwa na imani na mwenzako na mambo kama hayo. Ukigundua kasoro yoyote ama bibi ama wewe basi ifanyie kazi. Tulizeni mawazo jadilianeni kwa pamoja kuhusu hilo then mtaamua sasa mnataka nini. Mimi naamini ninyi ndo wa kuamua kupata hiyo mimba ama la. Kusiwepo wa kumlaumu mwenzake hapo mtaanzisha malumbanao ambayao hamtamaliza mpaka mnazeeka.
Angalieni msije mkadanganyika na kalumanzira eti wana dawa! Mtapotea bureee. Mwisho mtangulizeni Mungu zaidi kwa kila jambo.
Kila la kheri Boflo

Sina la Kuongeza Boflo jambo la Msingi endelea Kupiga Mzigo na Kumuomba Mungu huku ukiufanyia Kazi Shauri ambazo nimezisamaraizi
 
Inategeme pia staili unayotumia kukutana na mwenzi wako wa ndoa, kama wataalamu wanasema nyote hamna shida, jaribu kuzingatia ni muda gani mwenzio anakuwa kwenye ovulation ndo muanze kazi ya uumbaji, isijekuwa tarehe zina wachenga. Ushauri wa mzizi mkavu inabidi atupe ushahidi kidogo ( evidence base) ili kuupa uzito, isije kuwa ana wafanya ninyi ndo 'guinea pigs'.
 
nime mufundisha Dawa
za kienyeji unasema huu ni ushirikina unaweza towa ushahidi kama huo ni ushirikina?Ningemwambia Atumie Dawa ya Asprin na panadol ungeniunga mkono namwambia atumie dawa zetu za Asili unasema huo ni ushirikina unakumbuka Enzi za mababu zetu walikuwa wanatumia Dawa za miti shamba na walikuwa na Afya nzuri kuliko vijana wa siku hizi wanaotumia Sindano.Ama kweli waswahili husema Miafrika Bwana ndivyo ilivyo Tuamkeni Dawa za kizungu zikiwa hazifanyi kazi tutumie dawa za kiasili jamani tuacheni ujinga tuamkeni .

Hebu soma ushauri wako na uutolee majibu ni wapi unafiti dawa za kienyeji kama si ushirikina. Hasa jibu hiyo bold. Where does it fit katika dawa za kienyeji kama si ushirikina.
Maziwa ya farasi kwa mbongo atoe wapi-mweleze wapi yanapatikana. au ndiyo wale wale wa kalete panya wa rangi ya manjano!!!!!

Ukitaka mke wako ashike Mimba chukuwa Yai la kuku wa Kienyeji ulichome kwa moto mpaka liwe majivu kisha yale majivu uweke katika maji glasi moja kisha anywe kisha mkutane kimapenzi atashika mimba. Na hii ingine Mwambie mke wako achome moto nywele zako wakati akiwa kwenye siku zake kwa kila siku awe anajifukiza nywele zako kwa Sehemu yake ya Siri kutwa mara 3 na anapomaliza siku zake akutane na wewe kimapenzi atashika mimba inshallah. Na ingine hii itakusaidia sana mnyishwe Maziwa ya Farasi mke wako lakini asijuwe kuwa hayo ni maziwa ya farasi kisha nenda kafanya nae mapenzi wakati huo huo atashika mimba jaribu hizo zote zitakusaidia.
 
Hebu soma ushauri wako na uutolee majibu ni wapi unafiti dawa za kienyeji kama si ushirikina. Hasa jibu hiyo bold. Where does it fit katika dawa za kienyeji kama si ushirikina.
Maziwa ya farasi kwa mbongo atoe wapi-mweleze wapi yanapatikana. au ndiyo wale wale wa kalete panya wa rangi ya manjano!!!!!
Maziwa ya Farasi yanapatikana kama yupo Dar yanapatikana Jeshini aende kwenye kambi ya Jeshi atapata.
 
Inategeme pia staili unayotumia kukutana na mwenzi wako wa ndoa, kama wataalamu wanasema nyote hamna shida, jaribu kuzingatia ni muda gani mwenzio anakuwa kwenye ovulation ndo muanze kazi ya uumbaji, isijekuwa tarehe zina wachenga. Ushauri wa mzizi mkavu inabidi atupe ushahidi kidogo ( evidence base) ili kuupa uzito, isije kuwa ana wafanya ninyi ndo 'guinea pigs'.

Mkuu mimi siwafanyi hao wenye matatizo 'guinea pigs' mimi hizo dawa nimetowa kwenye Vitabu vya kale nineteen kweusi vya huo mwaka walivyokuwa wanatumia Mababu zetu ikiwa ushauri wangu ataupenda ajaribu kutumia la kama haupendi auache tu kama ulivyo kwa lugha ya kiingereza (Make it or Break it)
 
Back
Top Bottom