Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Mkisoma vzr hapo juu kungurumweupe kaelezea vzr sn..

Rudia kwa makini. ...halafu nyie wanaume jueni kuwa ni vzr kwanza kujua cku za mwanamke wako...means mzunguko wake kwasbb mzunguko wa hedhi unatofautiana mwanamke 1hadi mwingine
 
jamani mi mpenz wangu mbna hayupo ktk kundi lolote hapo kwan ye huona period after 30 dayz kuanzia 13/14 na kuziona tena mwezi ujao tarehe sawa na hzi.......msaada tafadhari

Kwa mi nilivyoelewa kanuni ni ileile ya kuhesabu ila tu cha mhimu ujue mzunguko wako/mwenza wako.

Kwa msaada zaidi km unatumia smart phone ingia play store halafu install ovulation calendar
Ingiza tarehe ya mwisho aliyoingia period ina caluculate na inakuletea mahesabu vzr sawa na alivyoeleza kungurumweupe hapo juu
 
naomba kuuliza ivi matumiz ya dawa(doz) yanaweza hasribu mzunguko? Koz nilitakiwa kubleed tar 8 bt nikaanza dawa mpaka leo holaa
 
unafanya ivi, unachukua tarehe ya kuanza ku bleed, unajumlisha jumla ya mzunguko wako alafu unatoa siku 15, iyo ndio siku uko likely kupata mimba ya mtoto wa kiume, au ukifanya tendo siku 2 au 3 kabla ya siku ya 15 utapata wa kike. mf. unaanza tare 1 ku blead. na una mzunguko wa siku 28. unafanya 1+28-15= 14, kwaiyo unahesabu 1 ile siku unaanza kubleed hadi siku ya 14, ukichapwa tuu ni mashaaalaah!!!
 
mmh,hebu nisaidie..me nimeanza trh21 mwez huu,mzunguko cku 28,ss inakua 21+28-15=34,ss nahesabu kuanzia siku ya kwanza kublee mpk cku ya 34 au?
 
jamani ni kwamba ivi nilkutana na boy wangu siku za hatari ambazo nljua kabisa ntanasa mimba lakini matokeo yake baada ya muda nmeingia bleed kama kawaida!msaada please na je ni siku gani sahii za kupata ujauzito mzunguko wangu n mfup mara siku 24 mara 26 yan ni irregular...help plzzzzzz!!!!
 
Kama mzunguko wako ni wa siku 24 basi fanya tendo siku ya 9, na kama ni 26 fanya tendo siku ya 11 tangu siku ya kwanza ya hedhi, izo ndizo siku za yai kutoka katika mzunguko wako. Pia usiache kumuhusisha Mungu kwenye swala hili! Ahsante
 
Sante ...ila kuna kpnd uwa inatokea nahis nina mimba afu gafla na bleed nayo hii imekaaje!
 
Waungwana nisaidieni mtu wangu kaanza bleed tarehe 29 usiku mzunguko wake unabadilika mara 22,mara 28 katikati hapoo je ni linii siku ya mbayaa!!nahitaji kuongeza idadi ya watu tz!!msaada wenuu.
 
Hebu nenda hospitali hata ushauri au wadada wa pharmacy watakushauri..
 
Back
Top Bottom