Mayasa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 583
- 295
Pitia topic hii usome taratibu utajifunza mengi humo.. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/17287-tarehe-13-and-14-ndo-mimba-inaweza-kutungwa-4.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.
Miezi saba ni michache mno kuanza kuingiwa na wasiwasi. Ila jaribu kupumzika vya kutosha na uondoe wasiwasi (wakati mwingine stress na wasiwasi huongeza ugumu wa kushika mimba) kuhusu hili ule vizuri na kama mwenzako mambo yake yako poa basi mambo yatajipa tu.
Jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante