Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

My dear, ebu relax, soma siku zako vizuri, kama unasahau basi record illi uwe na kumbukumbu. Miezi saba haiwezi kudetermine status yenu ya kuzaa. Kama hujui kuhesabu basi nenda kwa madaktari wakusaidie kuhesabu.


Wish you well.

.
 
Pole sana dada, kuna watu wametoa ushauri mbaya hapa... Wasikukatishe tamaa! Tatizo kama hili lipo sana, kuna ndugu yangu mkewe alikuwa anapata mimba kwashida na baada ya miezi michache inatoka....zilitoka mimba 7 ndani ya miaka 8, uwezi amini mungu alivyo mkubwa mwaka juz alipata mimba baada ya miezi mitatu alikuwa chini ya uangalizi wa daktar, baada ya miez 8 alijifungua vizuri! Ushauri wangu, kwanza undoa hofu kabisa, kama ulibeba mimba ikatoka basi wote mpo fiti, miez saba kitu gani, watu wanakaa miaka kumi bila mtoto, cha muhimu zidisha maombi ww na mumeo labda kuna pepo mchafu! Pili mkamwone daktari wewe na mumeo! Heshimu ndoa yako dada!!!
 
pole dada,vipi kuhusu 'blood group' ya wewe na mwenzako ? ni vema kucheck kwani kuna makundi ya damu watu wakioana ni vigumu sana kutunga mimba
 
Katerero ndo kila kitu,kama vipi njoo nikusugue 'akanyangalamisa'...ila ukishapata usinijue tena.
 
Mhhhhhhhhhh! dunia hii ni kigeugeu sana. Binafsi nnavyoogopa kumpatia 'kitumbo' waifu, maana mara zote tulipokosea makalculation kitu kilijibu tena live bila chenga..........kumbe masikini wewe ni bila bila......... ama kweli we ukisema cha nini wenzio wanajiuliza watakipata lini. Binafsi yaani naogopa kweli mimba, siku wife akiniambia ameshika tena nadhani ntapata BP.

Pole sana dada, vumilia utaipata Mungu akipenda. Nikuulize swali.....Ulishawahi kuugua kisonono? Uliambiwa sababu gani ya mimba kutoka?
 
pold na Mwombe na mtegemee Mungu kwani ndo jibu pekee ktk maisha yako
 
Wewe una haraka gani, wait until the time is right...
 
Nashukuru jaman kwa ushauri.tatizo mume wangu ni mtu wa kusafiri.

this! Now u r coming to a diagnosis. Infertily ni kutoweza kupata mtoto ndani ya mwaka mzima wa continous sex with ur partner. So rekebisheni hapo kwenye mambo ya safari yawezekana huwa mnapishana.
 
Asante jaman nitajitahd ila kuna hivi vifaa vidogo vya kupimia mimba vinavyouzwa kwenye phamacy vinatoaga majibu ya kweli?
 
nikijua mzunguko wako huwa ni wa siku ngapi yaani menstrual circle basi nitakupa jibu. kama waweza niambie mzunguko wako ni wa siku ngapi maana inatofautiana namna ya kupata mimba na tarehe kwa mujibu wa mzunguko wako
 
Miezi saba ni michache mno kuanza kuingiwa na wasiwasi. Ila jaribu kupumzika vya kutosha na uondoe wasiwasi (wakati mwingine stress na wasiwasi huongeza ugumu wa kushika mimba) kuhusu hili ule vizuri na kama mwenzako mambo yake yako poa basi mambo yatajipa tu.



Du ushauri na mziki huu mziki ni ujumbe tosha kabisa greatest love of all utajikuta Mungu amejaalia neema yake
 
Last edited by a moderator:
Jaman habari za saa hizi?mimi nimeolewa nina mwezi wa 7 sasa sijapata mimba na hospitali nimepima sina shida yoyote na mpangilio wa siku naufatilia.naomba wenye ujuzi mnielekeze.asante

Poleeee! taratibu utashika tu dada, mimba na mwishowe watoto ni mipango ya Mungu! Vuta subira utapata.
 
Kamuaneni sana kuanzia siku ya 12 tangu umeingia period hadi siku ya siku ya 16!sababu yai hupevuka after 14 days, na shahawa za mwanaume zinaweza kudumu kwa masaa 48 so ukido siku ya 12 zinaweza kua hai hadi siku 14 zikakutana na za bimkubwa na hapo kuna possibility ya kupatab dume kama mimba itatungwa na kama ukido 15 after period, means zitaweza kutungisha mimba ya babygirl, ikumbukwe spam za mwanamke zinadumu kwa masaa 36 tu!!!!!!!!!!!!
 
Mimi na mke wangu tumejaaliwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yetu. tulikubaliana kwamba, mwenetu akifikisha miaka 3 tutafute mtoto wa pili. kipindi chote tangu mke wangu ajifungue alikuwa anatumia njia ya uzazi wa mpango ya kuchoma sindano, na mtoto wetu alipofikisha miaka 3 mwishoni mwa mwaka jana, alisimama kuchoma hizo sindano ili tuanza michakato ya kumtafuta mtoto wa pili. mwenzenu naona mwaka unakatika lakini sioni dalili mke wangu kushika mimba.......... kulikoni, au ndio sindano zishaharibu uzazi?

Nimekuwa worried na mustakabali wa kutengeneza familia, nawaomba wataalamu wa utabibu mtusaidie...................... Tunatanguliza shukrani zetu za dhati...............
 
Kwa mawazo yangu mimi ninahisi hizo Sindano alizokuwa anatumia ndio zilizo mharibu mambo ya uzazi Mke wako nakushauri uende kwa Daktari akamcheki vizuri kisha rudi hapo tume maelezo ya Doctor amesemaje? ndio tunaweza kukusaidia na kukupa ushauri utumie dawa zipi za mitishamba.
 
Dah! aise hebu mtu atupatie elimu nzuri hapa. maana wife wangu ndio anataka aende kuanza weekend inayokuja.
 
Back
Top Bottom