Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kwanini watu hawajachangia hadi sahzi et......mi nashangaaaaa!
Guyz.
Mi huwa sielewi miezi halali ambayo mama mjamzito anaishi na mimba.
Hivi huwa anajifungua anapoanza mwezi wa tisa au baada ya kuumaliza mwezi wa tisa?
Please help me.
thanks sasa nimejua maana nilikua nashangaa? sasa nimeelewa vyemaUmri halali wa Mimba ni Siku 280.
Yaani Wiki 40 (+ / - 2 weeks)
Kwa hesabu sahihi za hapo juu, ni mwisho wa mwezi wa tisa ndipo unatimiza wiki 40 au siku 280,
Kama mama atajifungua two weeks before basi atakuwa ameiSHI NA miezi nane na wiki 2 (yaani katikati ya mwezi wa tisa wa Mimba)
Kama mama atajifungua two weeks after, basi atakuwa ameishi na mimba Miezi tisa na wiki 2 (hizi wiki mbili ni za mwezi wa kumi)
na Mimba haihesabiwi toka siku uliyojamiiana na kutunga.
Mimba inahesabiwa kuanzia siku ya kwanza uliyoanza ku'bleed, then by 14 days toka siku hiyo ndipo una'consive.
Kwa hiyo ukitoa hizi siku 14 toka umeona siku zako za mwisho, kiuhalisia ujauzito wenyewe toka unaingia hadi unatimiza umri ni wiki 38 kamili, ila ni lazima ujumlishe hizi siku 14 (wiki 2) ili kupata umri kamili wa mima.
Nawasilisha.
mjamzito anaanza kutapika na miezi mingapi?2mbo linaanza kuonekana miezi mingapi?
Mimi siyo mtaalamu ila nafikiri pia inachangia na mwili wa mtu wengine matumbo yaanza kuonekana mapema sana hata miezi miwili mitatu utamhisi tayari lakini wengine unapomhisi ndo anakaribia kujifungua.2mbo linaanza kuonekana miezi mingapi?
Guyz.
Mi huwa sielewi miezi halali ambayo mama mjamzito anaishi na mimba.
Hivi huwa anajifungua anapoanza mwezi wa tisa au baada ya kuumaliza mwezi wa tisa?
Please help me.
Je unapata siku zako kama mzunguuko ulivyo? Tangu ulipomaliza yaani mwisho wa sindano,umejaribu vya kutosha kumpata mtoto. Ni vizuri Ma doudou urudi katika thread yako kujibu hoja ili madokta wanapokuja majibu yanakuwa ya uhakika. Mie si dokta lakini toa shaka hilo mbona tatizo lenye ufumbuzi hapa JF.

siku zipo sawa na sijawahi miss hata siku moja